Kufanya kazi katika maeneo ya vijijini huku makazi yako yakiwa mjini kunaleta changamoto nyingi za kifedha na kijamii. Baadhi ya changamoto hizo ni:
1. Gharama kubwa za kununua usafiri
Watumishi wengi wanaofanya kazi katika maeneo ya pembezoni hulazimika kumiliki usafiri binafsi, hasa pikipiki...
Inafahamika mapambano yetu sio ya silaha.
Tunawaomba Polisi watuache tuendelee kupambana.
Njia zetu za mapambano ni zilezile.
-Maandamano bila Kikomo.
-Mikutano ya hadhara bila kuzuiwa
-Kuishitaki serikari Kwa taasisi kimataifa
-Kuhamasisha watu waongeze kuipinga serikali haramu.
Sasa tutakua...
Habari wakuu,
Kumekuwa na mwamko mkubwa wa uwekezaji nchini, ambapo watu wengi wameanza kuwekeza kwenye Hisa (Shares) na Hatifungani (Bonds). Hata hivyo, bado kuna maswali mengi kuhusu tofauti zake, faida, hatari zinazoweza kujitokeza, na namna ya kufanya maamuzi sahihi ya uwekezaji. Kupitia...
Kazi ya polisi kiasili ilitakiwa kuwa kazi takatifu. Kazi ya kuwalinda wanadamu wenzako na mali zao, kazi inayokufanya uteseke, usilale, ili wanadamu wenzako na mali zao, viwe salama, hakika ni kazi ilistahili kuwa takatifu. Kwa sababu umejitoa kuteseka ili wanadamu wenzako wawe salama.
Lakini...
Anahitajika Laboratory technician mwenye diploma au certificate na awe na leseni hai na metical attendant
Kituo cha kazi Dar es salaam
Namba ya simu kwa mawasiliano ni 0713214258
Hadi jana tulikuwa na 144M cash. usipitwe ukichanga.changa tena buku inadhamani kubwa.sana kwetu.
Nitakuwa naleta updates hapa daily moto wa tonetone ni mkali sana ccm hawaamini macho yao.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la...
Marekani hutumia mfumo wa ulinzi wa tabaka nyingi (layered missile defense system). Mfumo huu haufanyi kazi kwa kutegemea kifaa kimoja tu, bali ni mtandao wa satelaiti, rada, kompyuta, na makombora ya kujihami unaofanya kazi kwa pamoja.
Hatua zake kuu ni hizi:
Ugunduzi wa mapema (Early Warning)...
Hapo zamani msani akimaliz kurekod wimbo na akahitaji kava au akiwa na show akahitaji poster, jambo la kwanza lilikuwa kumpigia Graphics Designer. Kaz hizi zilikuwa zinawapa hata 20k hadi 50k.
Watu wenye picha zilizofifia waliwatafuta graphics designers kuongeza ubora, waliohitaji picha zao...
Zaburi hizi
1)zaburi ya 23
(wagalatia 3:13,mwanzo 22:14 isaya 54:17)
2)zaburi ya 27
3)zaburi ya 64
4)zaburi ya 91
5)zaburi 112
(wagalatia 3:29,mithali 3:29)
6)zaburi ya kwanza 1
.(yeremia 17:7-8,wafilipi 4:19)
7)zaburi 30
Kama una kipato au kazi ambayo inaweza kuingiza kipato kuanzia milioni 50 kwa mwaka, weka hapa ni kazi au biashara gani ili watu wajifunze.
Au mtu afanyaje aweze kufika huko ikiwa ni hatua ya kijitoa kwenye umasikini, ni mradi gani afanye au mbinu gani atumie.
Nini aepuke ili asijekupotea...
Habari za kazi wakuu,
Makampuni mengi sasa hivi yanategemea vifaa vya kidijitali kama simu (smartphones) na tablets kuendesha shughuli zao za kila siku—iwe ni timu za mauzo (sales team), madereva, au wasimamizi wa miradi. Lakini je, una mpango gani kifaa kikiharibika, kikiibiwa, au kikipata...
Sababu bahati mbaya sasa hivi sisi wengi tuna mkwamo. Unakuta bosi ndio kama mimi wa miaka 70, mtoto kazaliwa 92, 95... Mimi nikifika pale, kwanza naangalia: "Wewe umevaa vipi sasa?" Si kitu cha kwanza ulivyovaa tu? Wewe unaambiwa sasa hivi unaenda ofisini huwezi kuingia na jeans, huyu umeona...
Katika kitu kilicho niumiza ni ile pesa ya kupeleka wasanii na wakaenda kujigamba ndio maana chawa wamekuwa wengi.
Sisi tunaosafiri au waliosafiri hata mtu hapa JF ukisema kumpeleka nje ya mkoa wake lazima kupata wazo au kujifunza kilichomo na kupeleka mkoa wake ili nalo limewahinda serikali ya...
Anaitwa mohammed
Anaishi mbagala mbande
Anatafuta kazi ya aina yoyote ile yupo tiyali
Kwa jinsi alivyonielezea shida zake nkaona vyema kumleta hapa jamvini
Namba ya 0693 166 490
Kuhusu hoja ya Mdau aliyezungumzia Dar: Jengo la Stendi ya Mwenge linakosa umeme mara kwa mara, inasemekana lina deni ufafanuzi umetolewa kutoka upande wa TANESCO.
Asante kwa kutufahamisha kuhusu changamoto hii.
Tumepokea taarifa yako na tunaichukulia kwa uzito. Kesho (Julai 15, 2026)...
Habari zenu! Mimi ni Mwalimu wa Kiingereza (English & Literature Teacher) kutoka Kenya, mwenye usajili wa TSC na Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education).
Natafuta fursa ya kufundisha nchini Tanzania na niko tayari kuhamia (relocate) mara moja nafasi itakapopatikana.
Sifa zangu kwa ufupi:
•📑...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.