Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Idara ya Utawala na Rasilimali Watu. Tuna changamoto kubwa inayohusu mfumo wa PEPMIS, ambapo mwaka 2025 tulitakiwa kupanda daraja lakini haikuwezekana kutokana na supervisors kushindwa kuingia kwenye mfumo huo.
Cha kusikitisha ni kwamba...
Anonymous (b4b1)
Thread
kazi
kero
kupanda madaraja
mbalimbali
msaada
naomba
sana
serikali
vigezo
wako
Tumeajiriwa toka Januari 2026 wenzetu wachache wamepata mshahara wa Januari na Februari wengine malipo yetu bila ya sababu za msingi hatujapata chochote hadi sasa hivi.
Wengine wetu walijitolea kufanya kazi toka muda huo hadi sasa lakini mazingira yamekuwa magumu.
Halmashauri hakuna jibu la...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
kazi
magumu
mazingira
mazingira magumu
mpya
Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa Mkoani Morogoro, Gerson Msigwa leo Mei 31, 2026 akitoa taarifa ya Serikali kwa Umma wa Watanzania amesema;
"Watanzania, hasa vijana ambao kwa bahati mbaya watu wanaojiita wanaharakati wakiwa na wafadhili wao huko wanapokujua, wamejipa kazi ya kuhamasisha vijana wa...
Majuzi katika pita pita zangu mtandaoni nikaona tangazo la viwanja Manispaa ya Kigamboni huko Pemba Mnazi kuwa Kuna viwanja wataanza kugawa na blaa blaa kibao.
Basi bwana nikaona kama fursa lakini nikaona ngoja niende kwenye comments nilichokutana nacho nimeona mpaka aibu na comments zote ni...
Hii meli mpya kabisa inafanya route zipi?
Hii meli nakumbuka tuliambiwa imeanza rasmi safari zake kati ya Mwanza na Bukoba mwezi Sept mwaka jana.
Lakini sasa hivi nadhani hii route bado inahudumiwa na MV. Victoria peke yake.
Wenyeji wa Mwanza, Bukoba Musoma hii meli inato huduma huko mliko?
Au...
Nadhani sasa ni dhahiri kuwa mtu ukiua watu wengi, ni lazima uathirike kisaikolojia!
Haiwezekani hata kidogo uue maelfu ya watu wasio na makosa yoyote yale halafu akili yako iendelee kuwa timamu.
Maneno aliyoyaongea huyu bibi ambaye ndo katibu mkuu wa CCM, yanastaajabisha mno.
Yaani kabisa...
1. Utangulizi
i: Wimbi Jipya la Utumwa wa Kidijitali
Ulaghai Mtandaoni: Matangazo ya kazi feki yameshamiri kwenye mitandao ya kijamii.
Walengwa Wakuu:
Vijana wasomi, wanaojua kompyuta, na wanaozungumza Kiingereza vizuri.
Maeneo Hatari:
Nchi za Kusini-Mashariki mwa Asia (Cambodia, Myanmar...
kampuni nyingi bado kufuatilia laptop, printer, furniture au vifaa vya kazi kwa makaratasi au Excel.
Changamoto inaanza vifaa vinapopotea au kukosekana kwa taarifa nani anatumia kifaa gani.
Asset Management System inasaidia,
1. Kufuatilia vifaa vyote kwa urahisi
2. Kujua nani amepewa kifaa...
Ku-survive kama kijana Dar bila ya kumezwa na ufuska uliopo karibu yako kama pua na mdomo inatakiwa iwe sehemu ya SKILL maalum katika resume'.
Adventure kwa mzungu ni kutembea kuona vitu na kujaribu vyakula na weather mpya ila adventure kwa mtu mweusi ili kuzifanikisha sexual fantasies zake kwa...
Kama kuna watu wameshawahi kupitia kipindi cha kufukuzwa kazi , hivi maisha mliyasongesha kwa Namna gani baada ya kufukuzwa?
Life kitaa siyo poa mliwezaje kutoboa kwenye msimu huo hadi mlipopata kazi nyingine au kuendelea na mishemishe kitaa?
Habari za usiku wakuu wa kazi,
Poleni na msiba wa mama JPM hakika hakuna aliyeumbiwa kukaa milele kwenye hii dunia.
Wakuu Twenzetu kwenye mada tajwa hapo juu nimekuwa kwenye kibarua kwa takribani miaka mitatu sasa .
Mshahara ni mdogo japo unasaidia kujikimu ila katika hali isiyo ya kawaida...
KWA: Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi Wote wa Mataifa ya Afrika.
KUHUSU: Vita Mufilisi Dhidi ya Sauti za Wananchi na Kupuuza Bomu Halisi la Kiuchumi na Usalama wa Taifa.
Waheshimiwa Viongozi,
Nawaandikia waraka huu wa wazi kutoa tahadhari ya kimkakati kuhusu mwelekeo wa sasa...
Wakazi wa Jiji la Arusha wamejikuta wakipata adha kubwa ya usafiri baada ya baadhi ya madereva wa daladala kugoma kuingiza magari yao barabarani wakipinga kile walichodai kuwa ni manyanyaso kutoka Land Transport Regulatory Authority (LATRA). Mgomo huo ulioshuhudiwa leo Jumatatu Mei 25, 2026...
Mimi ni Mkazi wa Mwanza, nimesoma Course ya Mortuary Attendant. Course yetu huwa hutolewa kwa Certificate, hadi sasa tumefika wafanyakazi 200 wa fani hiyo lakini cha kushangaza Serikali imejenga majengo ya mortuary Lakini imesahau kuajiri watumishi wake, naomba mtusaidie na sisi tuweze kupata...
Anahitajika Single Mama Madam wa chekechea awe na mtoto wake umri mwaka 1 au 2 au 3
Atakabidhiwa kusimamia shule na kupewa sehemu ya kukaa yeye na Mtoto wake
Atalipwa salary kwa makubaliano na Boss
Kipindi hichi cha likizo atapewa huduma za Tuition bure hela zake
Shule zikifunguliwa ataanza...
Kama unadhani Msigwa alihamia CCM kwa sababu aliichukia CHADEMA, basi wewe ni mtu wa kuhurumiwa sana.
Swali ni kama kazi ambayo alitumwa akaifanye CCM ameifanikisha au imeshindikana. Nahisi kama kuna watu CCM walimshitukia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.