Moles_OG
Member
- Aug 25, 2015
- 26
- 26
Habari za wakati huu ndugu zangu, kwanza nikiri tu kwamba JF imekuwa msaada sana kwangu pindi ninapokuwa na issues mbalimbali, response imekuwa kubwa.
Kwa leo nilikuwa naomba mawasiliano au kama kuna mtu anayefanya kazi ofisi za NIDA Arusha (Especially ofisi za Kisongo) ili nimuombe anisaidie jambo langu ambalo nimekwama, maana nilienda ofisi za NIDA Temeke wakaniambia mpaka niende Arusha, sasa kwenda Arusha kwa haraka ni kipengele.
Tafadhali kama kuna mtu anayefanya kazi NIDA Arusha au unamfahamu anayefanya kazi huko, naomba connection tafadhali. Asante kwa ushirikiano