Kumbe mimi na wewe hatupo?

Kumbe mimi na wewe hatupo?

Elevenn

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
9,775
Reaction score
19,437
Kwamba nikijaribu kujitafta mimi halisi sipo?

Najua utabisha, but honestly hakuna self! Yaani you don't exist, wewe ni kama thought, wazo flani tu ambao liko implanted kama jina, jinsia, baba, mama, mtoto, mjukuu nk

Tukianza na physical body, hii ni kama vessel au chombo kinacho beba uhai uhai ukitoka it perishes.

Mind,(akili) ni kama time mashine, inafanya kazi kwa kumbukumbu na matukio. So kama time ikistop na wewe haupo, so he wewe ni muda? (mind)? Lahaula

Nafsi, hii nayo ni illusion, inakuwepo in relevance to mind and body. Ni kama mwanga, unahitaji medium ili uonekane, hiyo medium ikipotea, existence yake nayo haipo. So nafsi japo wengi husema ndo wewe nayo ni batili, lasivyo basi wewe haupo wewe, wewe ni kila kitu na kama wewe ni kila kitu basi haupo.

Kwa maelezo hayo, basi ni dhahiri mimi na wewe hatupo. Yaani sisi ni kama AI tumejitengeneza kwa kutumia akili ambayo basically ni kiuongo kama mguu, na kiuongo hicho sio sisi.

Nawatakia utazamaji mzuri wa world cup Leo.
 
Screenshot_20260524-012908~2.jpg
 
"Illusion of the self" (au kwa Kiswahili: Hadaa/Dhana ya Kudanganya ya "Mimi") ni dhana ya kifalsafa, kisaikolojia, na ya kineurosayansi inayosema kwamba: Huyo "mimi" unayemjua—ule utambulisho wako thabiti, wa kudumu, na unaojitegemea ndani ya kichwa chako—hayupo halisi jinsi unavyofikiria.
 
Back
Top Bottom