Ushauri wa haraka nilipe deni au nikanunue kitendea kazi

Ushauri wa haraka nilipe deni au nikanunue kitendea kazi

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
900
Reaction score
3,112
Nadaiwa 150 na nilikubaliana na mdeni namlipa hela yake tarehe 3 mwezi huu wa 6.

Hela nimepata ila kifaa cha ofisini kimekufa leo leo na spea kupafa ni mpaka niagize chini haizidi 40 ila pia kifaa kama hicho hapa mjini wanauza 150.

Hiki kifaa bila kuwepo ofisini ni sawa tu na nimefunfa ofisi kwa sababu asilimia 70 ya kazi nakitumia

Je? nitumie hiyo hela kununua kifaa hili deni ninalodeiwa ni majanga tu ya ofisini kifaa cha mteja kikafa hivo nikamuahidi kumlipa.

Niko njiapanda.

Poleni pia machawa kaa maumivu ya kunyimwa kombe.

Ila poleni zaidi vijana kwa sababu hamkua na chaguo la kuwakataa waleta mikosi.

Husika na kichwa cha habari hapo juu.
 
dawa ya deni ni kulipa
lakini hicho kifaa ni cha muhimu zaidi mkuu bila hicho hata nifunge ofisi ni sawa tu au kuna mtu anaweza nisaidia hizi raba za pump ya hot air gan yangu imekufa
 

Attachments

  • 20260602_202029.jpg
    20260602_202029.jpg
    459.1 KB · Views: 15
  • 20260602_203951.jpg
    20260602_203951.jpg
    406 KB · Views: 13
Nunua kifaa mkali.

Hafu mteja analipwaje pesa? Si umeharibu kifaa chake, mlipe kifaa.
hata hivo sio pesa mkuu kwa maana ni tv ilipasuka kioo sasa gharama ya kioo ni 150 hivo kesho ndo nilikuwa nikamuwekee kioo cha tv yake
 
Nunua kifaa mkali.

Hafu mteja analipwaje pesa? Si umeharibu kifaa chake, mlipe kifaa.
hata hivo sio pesa mkuu kwa maana ni tv ilipasuka kioo sasa gharama ya kioo ni 150 hivo
Sema mafundi hamtabiriki unaweza kupewa chance ndo ukaingia mitini
hapana mkuu kwanza mm huwa najisikia amani sana kumlipa mteja ili kila mtu abaki na amani yake ila hii kidogo imekuwa ngumu ndo maana nikaomba ushauri
 

Attachments

  • 20260602_203225.jpg
    20260602_203225.jpg
    464.5 KB · Views: 11
  • 20260602_203904.jpg
    20260602_203904.jpg
    449.1 KB · Views: 16
Nadaiwa 150 na nilikubaliana na mdeni namlipa hela yake tarehe 3 mwezi huu wa 6.

Hela nimepata ila kifaa cha ofisini kimekufa leo leo na spea kupafa ni mpaka niagize chini haizidi 40 ila pia kifaa kama hicho hapa mjini wanauza 150.

Hiki kifaa bila kuwepo ofisini ni sawa tu na nimefunfa ofisi kwa sababu asilimia 70 ya kazi nakitumia

Je? nitumie hiyo hela kununua kifaa hili deni ninalodeiwa ni majanga tu ya ofisini kifaa cha mteja kikafa hivo nikamuahidi kumlipa.

Niko njiapanda.

Poleni pia machawa kaa maumivu ya kunyimwa kombe.

Ila poleni zaidi vijana kwa sababu hamkua na chaguo la kuwakataa waleta mikosi.

Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Acha mambo ya uswahili na ubabaishaji. Lipa deni la watu kwa wakati mliokubaliana ili kujijengea imani na uaminifu. Hayo mambo ya kuharibikiwa kifaa hayahusiani na deni unalodaiwa.
 
Back
Top Bottom