kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Smart Eagles

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi Morogoro Mjini Mshahara 180,000/= + Internet ya bure

    Anahitajika binti mwenye uwezo mkubwa wa kutumia simu na computer. Ofisi yetu inafanya kazi 2 ambazo ni kutoa huduma ya internet Morogoro mjini na kukata tiketi za treni ya SGR. Anahitajika mdada smart anayefahamu kutumia computer na simu vizuri, awe sharp na asiye na hasira za hapa na pale...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Watanganyika waanza kuzuiwa kufanya kazi Zanzibar

    Watanganyika wote walioko Zanzibar ni tumbo Joto. Waanza kuzuiwa kuingia Ofisini kufanya kazi. Iinadaiwa wanafanya kazi za Wazanzibar na Vijana wa Zanzibar wanakaa jobless. MY TAKE Watanganyika tukijibu watavuka kurudi Zanzibari kwa kupiga mbizi. Wazanzibar wajinga, wamesahau Mchanga wa...
  3. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi ya Guest house

    Kama uko na nyumba ya wageni na unahitaji mfanyakazi Niko hapa, nitafanya kazi zote, na Seriously ndani ya miaka miwili utajenga guest nyingine. Mtu seriously pekee anicheki
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na Wadau kutoka JamiiForums, hatua za maboresho zimechukuliwa

    Tanesco imetolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na wadau hapa JamiiForums, baadhi ya sehemu maboresho yameanza. Pia soma ~ KERO - Mwaka wa 3 sasa TANESCO hawajaweka Transfoma hapa Msambiazi-Korogwe, tunateseka umeme kukatika ~ KERO - TANESCO Iringa Mjini wanakata umeme laini ya viwandani...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi

    Habari wadau, Natafuta nafasi ya kazi ya ustawi wa jamii (SOCIAL WORK) hata kazi zingine tofauti na taaluma yangu ZINAZOFAA. Nina elimu ya chuo (kaliua institute of community development) Pia nina ujuzi katika matumizi ya kompyuta, huduma kwa wateja, care giver. Kwa mwenye nafasi au taarifa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa kazi kwa sababu ya mke wa boss

    Aiseee baada ya watu kunisema sana kwamba nimeshakua niache kupiga punyeto na chabo nitafute mpenzi... Nikaona okay, ngoja nitafute demu sasa. Jana nimefika ofisini, mke wa boss akawa ananichekea chekea... Nikaona yes, mambo si ndio haya. Nikamchombeza chombeza pale, anacheka cheka tuu...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Connection ya Kazi

    Habari wakuu! Nilikua naomba konekshon ya kazi. Tanzania hii, ila ikiwa Mwanza itapendeza zaidi. Nimesomea mambo ya ustawi wa jamii(social work). Mwnye fursa kwa unyenyekevu sana naomba unisaidie..
  8. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi lodge kutakufanya uogope ndoa

    Astaghfirullah!! nipo apa mapokezi kuwaonyesha vyumba na kuwakabidhi wateja funguo kiukweli ni mzozo. Hivi uko kwenye ndoa mnaishi vipi mbona kina mama fulani na baba fulani wanapishana tu.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Aweso awasimamisha kazi Viongozi wa MWAUWASA, asema mafundi wamejaa rushwa

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewasimamisha kazi viongozi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kutokana na huduma ya maji kuwa changamoto huku akimuacha Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo, Nelly Msuya ambaye anatarajiwa kukamilisha majukumu yake wiki mbili zijazo. Aweso...
  10. Super Sub Steve

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Msingi Zinazohitaji Kufanyiwa Kazi Haraka katika Shule ya Wasichana Jokate Mwegelo Sekondari, Kisarawe

    Shule ya Jokate Mwegelo Girls Sekondari iliyopo Kisarawe ni miongoni mwa shule zinazofanya vizuri kitaaluma, jambo linalotokana na juhudi na kujituma kwa walimu pamoja na wanafunzi wake. Hata hivyo, shule inakabiliwa na changamoto kadhaa za msingi zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Iweje Zanzibar Tarehe 1 Muharam 1448 Sikukuu Inaadhimisha Mwaka wa Kiislamu Bara ni Siku ya Kazi?

    https://youtu.be/6tQNJaVTWlo?si=kcNDLLVOAAy8RaOA
  12. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi mpya za kazi ajira portal leo kwa sekta kama mifugo, Afya, elimu, uongozi nk

    Kwa wanaotaka kuomba. kama una changamoto ya mfumo tuwasiliane kwa 0623446608 (Whatsapp na kawaida) Au 0792715343 unikusaidie kirahisi. Usisahau kuwa Mimi siyo mfanyakazi wa PSRS ila natoa msaada ingawa nimeona "flagging" ya malalamiko ya wadau. Kwa ufupi njia zangu za kusaidia watu ziko open...
  13. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wabongo tunaamini kazi za kukaa ofisini ndio kazi zenye Pesa?

    Yani mtu anaamini ukifanya kazi za ofisini ndio utakuwa una pesa na maisha mazuri, mfano wa kazi hizo iwe profesional; udaktari, ualimu, afisa sijui nini na nini nk, au ofisi za kibiashara iwe duka, cash points nk Katika mihangaiko yangu kuna deals nafanya tofauti na kaduka kangu ka kuuza...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni CEO Mwenye Kampuni ambayo bado haijaanza kazi tangu isajiliwe? yakupasa kufahamu hili

    Leo hii unajiuliza maswali lukuki yanayokuumiza kichwa bila majibu, maswali kama; 1. Inakuwaje TRA wananiletea assessment za madeni ya riba na adhabu (Interest and penalties) wakati kampuni yangu haijaanza kazi? 2. Kwanini TRA wananisumbua kila mwaka wakinitaka kufile annual return wakati...
  15. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Shughuli VS. Kazi

  16. Pipilomomo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Kazi, nina elimu ya form four

    Habari humu ndani! Mimi ni mwanamke miaka 29, elimu yangu form four. Natokea dar es salaam(goba).Nilikuwa na uhitaji wa kazi hasa shuleni ninauzoefu nayo,hasa kulea watoto na usafi.Kama kuna mtu ana connection pleas naomba anisaidie.
  17. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Mwanamke usikubali manyanyaso, tujitahidi kufanya kazi

    Shikamoon wakubwa zangu wadogo zangu hamjambo Habari za jumapili. Leo niongee na dada zangu na wadogo zangu waliopo humu ni jinsi gani utateseka na kuumia ikiwa tu, huna pesa yako mwenyewe. Mfano ,mtu anakutongoza,anaonesha nia kabisa ya kukutaka na usumbufu wa hapa na pale, lakini siku...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi mpya za kazi ajira portal leo kwa sekta kama mifugo, Afya, elimu, uongozi nk

    Usiache kuomba na kama una changamoto tuwasiliane unikusaidie kirahisi. Usisahau kuwa Mimi siyo mfanyakazi wa PSRS ila natoa msaada ingawa nimeona "flagging" ya malalamiko ya wadau. Kwa ufupi njia zangu za kusaidia watu ziko open kulingana na utaalamu wangu ingawa sioni sababu ya kuweka public...
  19. Mmole Mix Shop

    JamiiForums Tanzania CHWs wa Ruangwa Tunaomba Ufafanuzi Kuhusu Malipo ya Posho na Upatikanaji wa Vifaa vya Kazi

    Ndugu wanajukwaa, Naandika ujumbe huu kwa niaba ya baadhi ya Wahudumu wa Afya ya Jamii (CHWs) wa Wilaya ya Ruangwa, Mkoa wa Lindi, ili kuwasilisha kilio chetu kuhusu changamoto zinazotukabili katika utekelezaji wa majukumu yetu. CHWs tumekuwa tukifanya kazi kubwa ya kuelimisha jamii kuhusu afya...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana kituo cha kazi wa kuja tabora mc nije dar wilaya yoyote ile elimu msingi ngazi ya mshahara mwalimu grade IIIB kwa mawasiliano 062028216

    ELIMU: Elimu ya Msingi NGAZI YA MSHAHARA: TGTS C KITUO NILIOPO: Tabora Municipal Council (Tabora MC) – Makao makuu ya mkoa, huduma na miundombinu iko vizuri sana. KITUO UNACHOHITAJI: Dar es Salaam (Halmashauri yoyote: Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo, au Kigamboni) MAWASILIANO: 📞 0620282169...
Back
Top Bottom