Hotuba ya Rais ya kuvunja Bunge la 11: Ni vitu gani kama vioo vipo mbele ya Mheshimiwa Rais - teleprompter ya kusomea ni nini?

Mkogoti

JF-Expert Member
May 3, 2020
1,747
2,000
Nipo hapa naangalia hotuba ya Mweshimiwa Rais, sasa kuna kitu kinanitatiza kuna vioo viwili vipo mbele ya Mweshimiwa Rais mbele sijaelewa ni vitu gani vile?
1592400524760.png

1592399744982.png
 
Siempre Hechos

JF-Expert Member
Dec 9, 2016
1,054
2,000
View attachment 1480341

Ni teknolojia inayomwezesha msoma hotuba/habari kuweza kusoma hotuba/ habari yake bila kuangalia kwenye karatasi, hotuba hiyo inakuwa imeandaliwa nakuingizwa kwenye kamera maalum ambayo inasafirisha maandishi hayo Kwenda kwenye hivyo vioo au screen iliyozibwa na podium ili aweze kusoma bila watazamazi kuona hayo maandishi.

Teknolojia hiyo inaitwa “Teleprompter” inatumiwa sana na viongozi wa kitaifa ( Kama Rais) wakati wa kuhutubia na pia hata wasomaji wa taarifa ya habari kwenye luninga hutumia teknolojia hiyo wakati wa kusoma habari.
 
Blood of Jesus

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,441
2,000
Asante kwa elimu.

Mla Bata

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
5,283

Hii safi sanaa, naona mkulu ameamua kuwa modern sasa.
 
Asante sana mkuu shukrani
 
Zambotti

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,737
2,000
Kuna haka kadubwana nlikuwa nakionaga sana enzi za Obama kikiwa mbele yake.

Na hata Trump kwa uchache anakuwaga nako.

Mkuu wa nchi nae namuona ona nacho sometimes. Ni kidubwana gani na kinafanya majukumu gani hapo pembeni yake.
Screenshot_20200617-154639~2.jpg
 
Akthoo

JF-Expert Member
Nov 5, 2007
836
1,000
Inaitwa teleprompter: A teleprompter, also known as a autocue, is a display device that prompts the person speaking with an electronic visual text of a speech or script. Using a teleprompter is similar to using cue cards.
 
Zambotti

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,737
2,000
Inaitwa teleprompter: A teleprompter, also known as a autocue, is a display device that prompts the person speaking with an electronic visual text of a speech or script. Using a teleprompter is similar to using cue cards.
Thank you very much dude, hata hilo jina ndo kwanza naliskia hapa
 
Akthoo

JF-Expert Member
Nov 5, 2007
836
1,000
In the case of a presidential, or speech teleprompter, there's an LCD monitor flat on the ground, pointed at the ceiling. ... Special teleprompter software reverses the words on the LCD monitors, so that when the speaker looks through the one-way mirror, it appears normal again. However, the audience sees nothing of it.
 
Ulimwengu Mbaya

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
1,038
2,000
Kumbe mkuu alikuwa anasoma , maana Jana baada pilikapilika nikapita kijiwe Cha kahawa nikakuta upo ibishani wengine kama kawaida wakidifu kiwa mkuu alikuwa anatoa madini kichwani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom