Natafuta watu watatu wa kufanya nao kazi

small mind

Senior Member
Jun 1, 2012
129
58
Habari za mida hii.

Mimi ni kijana mjasiriamali mdogo,kwa maana ya mtaji mdogo na idadi ndogo ya wateja.Pamoja na hayo nahisi kwamba kuna fursa nyingi ambazo nashindwa kuzitumia ipasavyo kwa sababu tu ya kuwa peke yangu na kukosa support ya watu sahihi.

Hivyo basi nahitaji vijana watatu preferably mabinti wawili na kijana wa kiume mmoja Wawe na sifa zifuatazo.
  1. .Umri wao usizidi miaka 23.wawe wakazi wa Jiji la Dar es Salaam-
  2. Wawe na ujuzi wa masoko na kutafuta wateja-Aggressive marketers
  3. Wawe na interest ya kujifunza kuhusu teknolojia mbalimbali
  4. Wawe wanamiliki Computer Laptop yenye maungio ya internet
  5. Wawe wanafahamu vizuri lugha ya Kiingereza
  6. Wawe wavumilivu,wenye bidii na kujituma
  7. Wasiwe na tamaa,uvivu au uzembe
  8. Wawe na maono makubwa kwa maisha yao binafsi na jamii
  9. Wawe na uwezo wa kujieleza mbele za watu
  10. Wawe wepesi na wenye bidii ya kujifunza kitu kipya
  11. Wawe wanapenda kusoma vitabu mbalimbali.
  12. Wawe smart and presentable
  13. Wawe wanaielewa vizuri mitaa ya jiji na wanaopenda kusafiri
  14. Wawe outgoing and sociable
  15. Wawe na uwezo wa kufanya kazi indepedently
  16. Uzoefu hasa wa kufanya data collection ni sifa ya nyongeza
Iwapo unafikiri unavigezo hivo tafadhali tuwasiliane PM kwa maelezo zaidi. au email:blog4monyetz@gmail.com.Iwapo unasifa hizo tafadhali tuma wasifu wako ukielezea kwa kifupi kwa nini unafikiri wewe unafaa kwa fursa hii,kiwango cha mashahara unachotaka,na sifa yoyte ya kipekee ambayo unayo.Iwapo uko free na hili basi tuma pia picha yako (FULL) na majina yako ya mtandaoni na mawasiliano mengine.

Fursa ni kwa ajili ya watu watatu tu.Na mwisho wa kutuma taarifa zenu ni Jumanne ya tarehe 7 Sept 2020
 
Mkuu Hawa watu unataka kuwaajiri au ku partner nao kwenye biashara?
 
Kwa nini unataka wa umri huo 23 we una umri gani?
Mkuu,Kwanza ndio umri ambao unaweza kumfundisha mtu,Hii ni kind of apprenticeship.Sasa nitatafuta Apprentice Mwenye Miaka 60?Au we unafikiri sababu ni nini.Angalia hizo sifa nilizotaja hapo utaelewa Kwamba kama kijana ana umri huo na anasifa hizo basi huyo ana potential ya kuwa mtu mkubwa sana na mwenye mafanikio.
 
Kibongo bongo sivo ilivo ondoa hiyo perception kabisa.
Mkuu,Kwanza ndio umri ambao unaweza kumfundisha mtu,Hii ni kind of apprenticeship.Sasa nitatafuta Apprentice Mwenye Miaka 60?Au we unafikiri sababu ni nini.Angalia hizo sifa nilizotaja hapo utaelewa Kwamba kama kijana ana umri huo na anasifa hizo basi huyo ana potential ya kuwa mtu mkubwa sana na mwenye mafanikio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom