Uchaguzi 2020 CHADEMA tumieni huu muda vizuri wa kampeni, maana baada ya hapo tutakuwa na miaka 5 ya kuchapa kazi

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,483
20,432
Magufuli ni mtu anayesimamia maneno yake, aliwahi kusema hakutakuwa na siasa za majukwaani mpaka 2020 na kweli imetokea hivyo.

Tutakapo rudi baada ya uchaguzi hakutakuwa na siasa za maandamano kwa hiyo Lissu ajitahidi kuutumia huu muda vizuri majukwaani na sio kueleza amepigwa risasi ngapi kila siku.

Tutakaporudi huu muda hautakuwepo tena, itakuwa ni kujenga reli, barabara, madaraja, meli, kununua madawa,kulipa mikopo ya wanafunzi, kusambaza umeme vijijini nk na sio kiguu na njia kuandamana
 
Naona Ccm kama wanaaga. Yaani washashindwa. Pamoja na nguvu ya mitambo ya ushindi +vipenyo+wasanii+mahakama+tume+tv zote+wezi wa fomu+kukata majina ila bado uwanja umelala upande mmoja.

Yaani Rungwe akijipromo kidogo zaidi yaani anaingia ikulu fasta.
 
Awamu hii kuna uwezekano magufuli akaja kuondolew kinguvu na jeshi kama rais wa Mali mpaka sasa nchi imekosa uelekeo kiuchumi
 
Back
Top Bottom