Kama unaweza kunisaidia kupata kazi Serikalini msaada wako tafadhali

faru joni

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
478
733
Habari za usiku huu ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta kazi serikalini

Elimu yangu ni: Degree ya ICT
Jinsia: Kiume
Umri: 29
Uzoefu kazini: 4 Years.

Uzoefu katika mambo yafuatayo:

1. Penetration Testing (vulnerability, sniffing, exploit & tools and social engineering )

2. To secure system by (linux, DNS, and cryptography )

3. To secure connectivity like ( switch, router, firewall, VPN, IPS and IDS)

4. Digital forensics investigation (mobile and computer )

5. Computer networking

6. system analysis and design

7. IT support, project management, and fleet management system

8. Security system (cctv camera, alarm system, electric fence, and bio metric finger print)

Mtu atakayenisaidia kupata nitampatia shilingi milioni (1,000,000) moja kama shukrani.

Note: Najua ntaambiwa kuna kupitia ajira portal na mimi nimejiunga uko muda mrefu pasipo mafanikio yoyote.

anayeweza kunisaidia karibu sana na mungu awabariki.

Napatikana Dar es salaam
0678815431
 
kuna sehemu nimesema kama natoa rushwa mkuu, nimesema nampatia ya shukrani tuu

Umesema utampatia kama shukrani.. na umemwambia kabla hajafanya jukumu unalolotaka akufanyie, milioni hiyo ni kwa ajiri ya kumtamanisha .. ilipaswa usiiseme kwake hiyo shukrani mpaka akufanyie kazi umshtukize kumpatia.. sabab umetangaza kabla ya kazi hiyo ni rushwa tu
 
nampa ya shukrani tu
 
Habari za usiku huu ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta kazi serikalini

Elimu yangu ni: Degree ya ICT
Jinsia: Kiume
Umri: 29
Uzoefu kazini: 4 Years...
Kazi Serikalini zinapitia Utumishi, Siku hizi hakuna njia za panya. Kuna kazi za e- government authority zilitangazwa Utumishi uliziona? Walikua wanataka watu Kama ww
 
nashukuru mkuu, ila kazi zipo za serikali hambazo haupitii utumishi mkuu, sio zote unapitia utumishi
 
Utaweza kumdukua kigogo?

Hapo ungeongeza kwenye hizo professional skills zako kama unaweza
 
nashukuru mkuu, ila kazi zipo za serikali hambazo haupitii utumishi mkuu, sio zote unapitia utumishi
Tatizo we unaonekana kilaza sana....kazi za ICT zipo nyingi sana.....mziki wa DUCE sio mchezo kama upeo duni ..nyie ndo wala mnapataga 2 afu kazi mkipata hamna uwezo raia wakitaka huduma mnasema "system ipo chini"na hamna uwezo kufix
 
Habari za usiku huu ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta kazi serikalini

Elimu yangu ni: Degree ya ICT
Jinsia: Kiume
Umri: 29
Uzoefu kazini: 4 Years.

Uzoefu katika mambo yafuatayo:

1. Penetration Testing (vulnerability, sniffing, exploit & tools and social engineering )

2. To secure system by (linux, DNS, and cryptography )

3. To secure connectivity like ( switch, router, firewall, VPN, IPS and IDS)

4. Digital forensics investigation (mobile and computer )

5. Computer networking

6. system analysis and design

7. IT support, project management, and fleet management system

8. Security system (cctv camera, alarm system, electric fence, and bio metric finger print)

Mtu atakayenisaidia kupata nitampatia shilingi milioni (1,000,000) moja kama shukrani.

Note: Najua ntaambiwa kuna kupitia ajira portal na mimi nimejiunga uko muda mrefu pasipo mafanikio yoyote.

anayeweza kunisaidia karibu sana na mungu awabariki.

Napatikana Dar es salaam
0678815431
TAKUKURU wana hasira sana baada ya kuzinguliwa kwenye lile jengo lao.

Sasa kijana chunga sana.

PS: Kwanini hiyo 1000k usiitumie kupiga mishe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom