Natafuta kazi ya Uandishi/uhariri

cadnopoints

Member
Sep 14, 2019
65
59
Habari wakuu..!

Natafuta kazi ya uandishi/uhariri wa kazi mbalimbali za maandishi kwa lugha ya Kiswahili na kiingereza kama vile makala, hotuba n.k

Kwa yeyote mwenye mchongo tafadhali tuwasiliane.

-Nina utaalam na masuala ya computer (Word, PowerPoint, SPSS na Excel including VBA n.k)

-Ni mtunzi wa kazi za sanaa (hadithi za kufikirika n.k)

Niko Dar es salaam.

Nawasilisha.
 
Kazi ulizo hariri ziko wapi?
 
Wengi tuna uwezo wa kufanya vitu fulani vizuri ila tatizo kubwa ni kuhamisha jambo hilo liwe katika mfumo wa biashara na kukuingizia kipato.

Mkuu nakushauri tafuta namna ya kujifunza business skills ili ugeuze huo ujuzi wako kuwa biashara.

Itakulipa zaidi ya mshahara unaoufikiria.

Siyo rahisi ila jaribu kuchukua hatua uanze.
 
Habari wakuu..!

Natafuta kazi ya uandishi/uhariri wa kazi mbalimbali za maandishi kwa lugha ya Kiswahili na kiingereza kama vile makala, hotuba n.k

Kwa yeyote mwenye mchongo tafadhali tuwasiliane.

-Nina utaalam na masuala ya computer (Word, PowerPoint, SPSS na Excel including VBA n.k)

-Ni mtunzi wa kazi za sanaa (hadithi za kufikirika n.k)

Niko Dar es salaam.

Nawasilisha.
Omba kazi TBC
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom