Natafuta kazi ya Uandishi/uhariri

cadnopoints

Member
Sep 14, 2019
65
59
Habari wakuu..!

Natafuta kazi ya uandishi/uhariri wa kazi mbalimbali za maandishi kwa lugha ya Kiswahili na kiingereza kama vile makala, hotuba n.k

Kwa yeyote mwenye mchongo tafadhali tuwasiliane.

-Nina utaalam na masuala ya computer (Word, PowerPoint, SPSS na Excel including VBA n.k)

-Ni mtunzi wa kazi za sanaa (hadithi za kufikirika n.k)

Niko Dar es salaam.

Nawasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom