kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Kazi: Wanahitajika wadada wawili wa delivery

    Habari JF Narudi tena kwenu baada ya kupata wadada wa awamu ya kwanza kazi ya kuserve, Tunaendelea kupeana liziki nahitaji wadada wawili tena wa kutafuta oda za chakula hapa Dodoma twn na kusambaza. Ni kazi ambayo ina target yake angalau kwa siku upate angalau oda 30. Mshahara ni 220000 kwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kazi, nimesomea Ualimu

    Habari wana JF mimi ni binti wa miaka 24 natafuta kazi ya aina yoyote ile nitafanya iwe tu halali. Elimu yangu nimemaliza chuo mwaka jana kozi ya ualimu kwa masomo ya kiingereza yaani literature na linguistic UDSM. Lakini nitafanya kazi yoyote itakayopatikana naombeni msaada wenu tusaidiane...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali, nina elimu ya kidato cha nne

    Natafuta kazi yoyote halali. Elimu yangu ni kidato cha nne pia nimehitimu mafunzo ya udereva veta ila sina uzoefu sana sababu sijawahi fanya kazi ya udereva popote ila nikipewa kazi nafanya properly.
  4. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwanadamu mwenye akili timamu anakaa ofisini kuwafanyia watu kazi kwa zaidi ya miaka mitano?

    Habari za Leo wakuu, Leo nilikua najaribu kuiuliza akili yangu swali lifutalo. Hivi inakuwaje mwanadamu mwenye akili timamu anakaa ofisini kuwafanyia watu kazi kwa zaidi ya miaka mitano? Yaani kwamba mwanadamu unafanya kazi za watu ambazo sio zako. Yaani hapo ndio najiuliza, wakuu. Wakuu...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini utendaji kazi wa Raisi unapimwa kwa kipimo cha siku 100 na sivinginevyo?

    Habari wanajukwaa. Imekuwa ni kawaida kwa Kiongozi Mkuu wa nchi hasa nchi zinzotumia title ya Raisi, kama hii ya kwetu, kutumia kigezo cha siku 100 za kwanza za Raisi kuwa Ikulu kufanyiwa tathimi ya utendaji kazi wake. Wachambuzi wa mambo ya siasa, wasomi, wanazuoni na Wananchi wa kawaida...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za huyu Gwiji wa fasihi(Mohammed Said Abdulla, 1918-1991).

    Nafikiri ukiacha Shaaban Robert na Kezilahabi huyu, bwana naye yumo kati ya waandishi magwiji. Baadhi ya kazi alizoandika ni. 1.Mzimu wa watu wa kale 2. Kisima cha Giningi. 3. Duniani kuna watu 4.Siri ya sifuri 5.Mke mmoja waume watatu 6. Mwana wa yungu hulewa 7. Kosa la bwana Msa.
  7. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Idara ya Elimu (Sekondari) Wilaya ya Ulanga wanafanya kazi kwa mazoea

    Habarini za muda huu ndugu zangu, Malalamiko yangu ni kwa Idara ya Elimu Sekondari katika wilaya ya Ulanga. Hawa jamaa sijui ni uzembe au kujisahau katika majukumu yao. Kumekuwa na utofauti wa ulipwaji stahiki mbalimbali kati ya idara ya msingi na sekondari. Mfano, suala la ulipaji nauli za...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake mnafeli kutoa huduma bora maeneo yenu ya kazi na biashara

    Good morning future Billionnaires[emoji23] Miaka ya nyuma iliyopita tulikuwa tunawapa credit sana wanawake kwenye kutoa huduma sehemu nzuri, ukimkuta dukani, awe mapokezi au sehemu yoyote ile hutoa huduma nzuri. Lakin kwa utafiti wangu usio rasmi kwa sasa wanawake mnayumba sana hamtoi huduma...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa tumia taaluma yako kukwepa kuonekana unafanya kazi za Jaffar Haniu

    Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais( Ikulu) ni nafasi mbili tofauti zenye majukumu tofauti. Lakini kwa uteuzi wa Gerson Msigwa na Jaffari Haniu itakuwa vigumu sana kutenganisha majukumu haya na kuleta picha kwamba Gerson anamfunika Jaffari au anaingilia kazi zake. Kwanini...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kazi katika uzoefu huu nilio nao ikiwa nitakufaa

    Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 29,nna mke na mtoto mmoja, elimu yangu ni kidato cha nne naishi Dar. Nimejitokeza hapa kuomba kazi utakayo ona naweza kufanya kwako kulingana na uzoefu nilio nao. 1. USAFI WA KAWAIDA AINA ZOTE Naweza kufanya usafi wa kawaida nyumbani...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake bwana tukifanya kazi muda mrefu na kuchelewa kurudi nyumbani mnalalama ila tukikaa nyumbani bila kutoka tena mnalalama

    Mwanzo Mimi binafsi nilikuwa nafanya kazi na taasisi fulani ila badae mwaka 2017 ilifunga shughuli zake nchini Tanzania. Nikapoteza kazi na nikawa muda mwingi nipo nyumbani napanga mipango ya kupata pesa nikiwa nyumbani muda mwingi . Yaani kwa wiki nilikuwa natoka siku 4 siku tatu nipo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ukutubi (librarian),data entry,record management,customer care, receptionist and personal assistant.

    Habari wana JF. Mimi ni kijana umri miaka 27 ninaishi Ubungo,Dar es salaam Tanzania Nina degree ya library and information studies natafuta kazi ya ukutubi katika shule au vyuoni pia ninauzoefu wa kazi hii. pia ninatafuta kazi ya kutunza kumbukumbu (record management) katika ofisi yeyote au...
  13. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kwenda kufanya kazi Ulaya

    Wakuu naombeni mwenye uwezo au conection ya kunipeleka ulaya anisaidie niepukana na haya maisha ya kifukara. Mara mia nikawe fukara huku duniani kuliko kuwa fukara hapa nyumbani. Mimi kazi yoyote ile nafanya, isipokuwa kuolewa. Sihitaji ushauli wa kujiajiri sababu sina mtaji. Hapa tu niko...
  14. JamiiForums Tanzania Diva aomba kurejea Clouds Media, apewa sharti la kwenda kufanya kazi Wasafi FM. Kutambulishwa hivi karibuni

    Wasalaam wana jamvi. Baada ya Mtangazaji Diva kuacha kazi kwa mwaka sasa ni rasmi kurejea tena. Baada ya kukaa muda mrefu bila kufanya kazi na uku hakuna media iliyomfata kutaka kufanya nae kazi baada ya kukaaa muda mrefu nje ya utangazaji. Mtangazaji Diva aliandika barua kwa kusaga kuomba...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Shule Binafsi ziheshimu likizo za watoto wetu

    Imekuwa ni kawaida kwa watoto wanasoma Shule za Binafsi kuwabebesha watoto mafurushi ya kazi za kufanya wakiwa likizo almaarufu Kama HOLIDAY PACKAGES na wakati mwingine watoto wanaendelea kwenda shuleni wakati wa likizo kwa kile kinachoitwa HOLIDAY COACHING. Sasa hizi ni likizo? Likizo...
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji kibarua cha 4,000 kwa siku

    Wakuu nahitaji mwenye kazi anisaidie! Naishi Dar. Malipo walau iwe 4,000 Au zaidi kwa siku. Elimu nilifeli form 4.
  17. JamiiForums Tanzania Je, kwa mshahara wa Shilingi 310,000 unaweza kuishi Dar es Salaam?

    Habari wadau! Ebu nisaidieni hivi kweli 310,000/= inatosha mtu kufanya kazi na kuishi DAR au unatakiwa kuwa na miundombinu mingine?
  18. JamiiForums Tanzania Godbless Lema aazimia kuondoa kazi za Diamond YouTube/Facebook

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Mh Godbless Lema ameandika katika mtandao wa Twitter kuwa wapo katika mchakato wa kuondoa kazi/videos za Diamond Platnumz katika mitandao ya YouTube na Facebook. Godbless Lema anadai Diamond amekuwa akijali "njaa" kuliko haki, hivyo kijana Huyo kutoka Tandale ni...
  19. JamiiForums Tanzania Panya Magawa astaafu kazi ya kufichua mabomu kimataifa

    Panya wa Tanzania mwenye sifa ya kufichua mabomu kimataifa astaafu Cambodia Magawa (panya) aliyejishindia tuzo kwa ushujaa wake anastaafu katika kazi yake ya kufichua mabomu yaliotegwa ardhini. Kila ugunduzi alioufanya ulipunguza hatari ya kuumia au kifo kwa watu wa Kambodia. Katika kazi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…