kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Ni asilimia 21 tu zitaenda kwa Wazanzibari katika Nafasi 1,097 za kazi kutoka TRA, marekebisho yanahitajika

    Kwanza nitoe pongezi kwa serikali iliyosikia kilio cha vijana kwa kutoa ajira zaidi ya elf 1 TRA. Kama mnavyojua, Kwenye ajira wazanzibar hupewa asilimia 21, kwa hio katika hizi nafasi 1,097 ni sawa na wazanzibari 230 tu, 230 hao bado ni wachache kulingana na idadi kubwa ya vijana wanaomaliza...
  2. JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI

    Wanahitakija Mabinti na vijana wenye uwezo wa kutoa Huduma ya Chakula/Hotel Maombi ya kazi : Jinsi ya Kutuma maombi andika barua ya kuomba kazi ukiambatanisha na mawasiliano yako na vyeti itapendeza zaidi tuma kwa Barua people iliyo ambatanishwa hapo chini Mahali : Dar es Salaam, Kinondoni &...
  3. JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI ZA UTENDAJI

    Wanaforums wenzangu naombeni msaada niweze kupata kazi ya utendaji nimatamanio yangu nipate ajira ya kudumu hata utendaji tu ni miaka mingi natafuta kazi naishia kupata vibarua tu vya muda mfupi. Nina diploma(2013) na degree(2016) ya uhasibu toka TIA. Asante
  4. D

    JamiiForums Tanzania Serikali kutumia kigezo cha kupitia JKT ili kupata nafasi za kazi wakati si vijana wote huchaguliwa kujiunga na JKT ni ubaguzi wa wazi

    Kumekuwa na tabia za hivi karibuni, kwamba ili upate nafasi za kazi kwa vyombo vya ulinzi na usalama, mojawapo ya sifa ya waombaji ni kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa. Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa. Hivi toka lini vijana wote waliohitimu kidato cha sita waliitwa wote kujiunga na jeshi...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na nani. Leo naomba nije na mambo 30 usiyoyajua kuhusu Qnet. Qnet ni network marketing ambayo imevuta...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kazi za TRA ni bora sanaa kimaslahi?

    Wajumbe salamaaa. Ni yuleyule Mr. Liverpool nikireport kutoka Anfield chini ya Mzee Klop..!! Ngoja niingie kwenye mada. Tarehe 22/10 TRA kupitia Sekretarieti ya ajira ili tangaza nafasi za ajira kibao. Lile Tangazo bana likafika Ofisini..!! Mimi ni mfanyakazi wa halmashauri fulani humu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye garage au yard

    Ndugu kama kuna mtu ana garage au yard anipe mchongo. Nishafanya kazi za garage na nin auzoefu nazo kwa ndani ya nchi na hata kwa nje ya nchi yaani nishakuaga katika kampuni za transit good s. Naweza Fanya KAZI zote za garage. Napatikana Dar. Kiufupi kazi zinazohusiana na gari gari Mimi niko...
  8. JamiiForums Tanzania Fursa ya kazi za uzabuni: Buzuruga Dispensary mwanza

  9. JamiiForums Tanzania Tumebuni mfumo (IT solution) kwenye mnyororo wa thamani wa kilimo (agriculrural value chain) tunatafuta mdau wa kufanya naye kazi

    Hi wakubwa. moja kwa moja kwenye mada, tumedisign mfumo (it solution) kwenye mnyororo mzima wa thamani kwenye kilimo (agricultural value chain) ambao utarahisisha mahusiano na mawasiliano kwa washikadau (stakeholders) wote ambao wanaingia kwenye sekta hii ya kilimo na ufugaji. washika dau hao...
  10. JamiiForums Tanzania Ufalme na Umalkia ndio kazi nyepesi na zenye mkwanja mrefu kuliko kazi zote duniani

    Ufalme na Umalkia ndio kazi nyepesi na zenye mkwanja mrefu kuliko kazi zote duniani. Hivi ni kwanini Uingereza hawapendi kutumia mfumo wa Urais. Sitouliza kuhusu Saudi Arabia, huko achana nako. Ufalme na Umalkia ndio kazi nyepesi na zenye mkwanja mrefu kuliko kazi zote duniani.
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri: ~ Makatibu wa CCM wa wilaya na Mikoa wabadilishiwe vituo vya kazi kabla ya uchaguzi wa chama 2022

    Kuna makatibu wa CCM wilaya na Mikoa wasipobadilishiwa vituo vya kazi. Mapema na ksbla ya ichaguzi mkuu wavchama CCM 2022 watachagua mamluki na watu wasio na sifa. Pili wamekuwa miungu watu kwa chama na kwa wananchi. Ninashauri waondolewe mapema na kuweka wengine wapya na waadilifu.
  12. JamiiForums Tanzania Je, Utulivu wa wamachinga katika msimu huu wa kutolewa, ni matokeo ya kazi nzuri ya Hayati Magufuli?

    Zamani ilikuwa ni ugomvi. Mama ntilie tu na migambo wa jiji ilikuwa ni vita. Nashangaa awamu hii, wamekuwa wapendwa, waungwana, nimeona kwa pamoja kwenye ukuta wa Mtaa wa uhuru wakitoa wenyewe bila hata kufukuzwa. Wakatoa mbaombao wakifuata utaratibu waliopewa. Aliyebuni hii mbinu anaakili...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali, nina elimu ya kidato cha sita

    Habari mkuu! Za hukoo; Mimi nikijana wa miaka 23, naishi Dar es salaam, elimu yangu ni form six nilikuwa naomba msaada wa kazi kwako, nikusaidie katika kazi zako. Mungu akubariki
  14. JamiiForums Tanzania Kajala kapata kazi benki

    Leo nilikuwa benki moja katika hali ya kushangaza teller aliyenihudumia alikuwa ni mwanadada Kajala. Kwa sababu za kibiashara inabidi jina la benki libaki kapuni. Hongera dada katika safari yako mpya
  15. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kuacha kazi ili upate stahiki zako zote

    Kwa sekta binafsi dogo ni mgonjwa. Yupo sick leave karibu two months sasa na anasema hataki tena kufanya kazi anataka apumzike kwa muda. Mnaozijua sheria tuambieni afanyaje ili achukue stahiki kama gratuity, pesa ya mizigo nk
  16. JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA kujadili ulinzi wa Rais ni upuuzi na kukosa kazi za kufanya

    Vijana wa CDNM huko twitani wamerukwa na wazimu, mmekosa ajenda mnaanza kujadili kuhusu ulinzi wa Rais, mlitaka Rais alindwe na nani tutaacha lini ujinga wa kupinga kila kitu, wapumbavu wameanza kutaka Mama samia afanye kila anachofanya Rais wa zambia Chilema, yani Chilema msafara wake...
  17. JamiiForums Tanzania Alipoingia alisema hataki 'Mabango' sasa Kazoea Utamu wa 'Mercedes Benz' anasema yakusanywe yote ili yafanyiwe Kazi je, tumueleweje?

    Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia. Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana hata Juzi Nyerere Day Shada la Maua limewekwa Chato Mkoani Geita kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021...
  18. JamiiForums Tanzania Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

    Wale vijana kwenye ile idara kwanza ni wapole na sio wazungumzaji Sana Ila vikao vyote top vya DC au DED wanakuwepo. Na huwa hawaongei Sana ni wakimya Ila wenye nguvu za kimamlaka hatari. Kama mke ni pis Kali wakimtaka watamla tuuuu huwezi bisha. Kwanza wanafahamika kwa uwazi kutokana na...
  19. JamiiForums Tanzania Mondi kama Mondi, Hakuna kipya humu just same Mondi akiendeleza kazi yake ya Muziki

    Mondi kama Mondi, Hakuna kipya humu just same Mondi akiendeleza kazi yake ya Muziki. Kusema ukweli mwamba amefikia hatua hata siku akiachia clip anapiga muayo usishangae ikaenda on Trending na ikawa hitsong sijui hitclip 🤠 Hii banger nadhani tageti yake kubwa ni Intaneshino na Clubs, Na ita...
  20. JamiiForums Tanzania Naona harufu ya ufisadi nafasi za kazi jeshi la Polisi, Zimamoto na uokoaji, Uhamiaji na Magereza. Rushwa na undugu vimetawala

    Habari! Kwa vijana ambao ndoto zao siku moja wapige au wapigiwe saluti zitaendelea kuyeyuka hii kutokana na uchache wa nafasi zenyewe. Huu mchakato utafanywa tu kutimiza sheria ila msitegemee sana huko vijana wenzangu. Watu washafanyiwa usaili bubu na kuambiwa wasubiri usaili fake. Hivi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…