kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Lionel Messi asimamishwa kazi PSG kwa wiki mbili

    Paris Saint-Germain imechukua uamuzi huo kutokana na kusafiri kwenda Saudi Arabia kufanya matangazo ya biashara bila ridhaa ya klabu yake. Wachezaji wa PSG walitakiwa kupata mapumziko ikiwa wangeifunga Lorient katika Ligue 1 lakini walipoteza kwa magoli 3-1, hivyo Kocha Christophe Galtier...
  2. JamiiForums Tanzania Tumepona, kazi iendelee

    Yamekuwa na nadhani yataendelea kuwa maoni yangu kwamba kubadili mitaala ya nchi ni moja ya mambo makubwa kabisa yanayoweza kuacha alama kwenye vizazi vyetu, na hivyo wakati Serikali inapofanya juhudi za kubadili mitaala ya shule zetu, ni vyema jamii kwa ujumla wake kujitolea kuchangia badala ya...
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UGANDA: Waziri wa Kazi apigwa Risasi na Mlinzi wake

    Waziri wa Nchi, Kazi, Ajira na Mahusiano ya Viwanda, Kanali Mstaafu Charles Okello Engola ameuawa kwa kupigwa risasi asubuhi ya Mei 2, 2023 na mlinzi wake akiwa nyumbani kwake Kyanja, Kampala Mlinzi huyo baadaye alifyatua risasi kadhaa hewani kabla ya kujiua Sababu ya mauaji hayo bado...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume mnaowaachia wake zenu Kazi ya kupeleka Watoto kupanda School Vans alfajiri kuweni makini

    Leo ni mara ya Tatu kila nikiwa naenda Beach Kupasha (Mazoezini) Alfajiri ili nipate Nguvu Tukuka za Kuwajibika vyema Kitandani na wale ninaowabahatisha katika 18 zangu nakutana na Wake za Watu (tena Wengine nawajua kabisa) wakiwa Wanabanduliwa / Wanalalwa na Wajuba. Nilichokiona leo na ambacho...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Kwenye nchi zilizoendelea kwasasa kuna uhaba mkubwa wa vijana wa kufanya kazi lakini wakati huohuo kuna janga kubwa la vijana wasikuwa na kazi Tanzania. Pamoja ni jitihada nyingi za serikali za kusaidia vijana kupata kazi na kufanya shughuli za kilimo ni lazima vijana nao wajiongeze walau kuweka...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri wa Mali asili na Utalii, Bodi ya Utalii na Mabalozi wetu pokeeni ujumbe toka tour guide Saimon Sirikwa

    Kutoka kwenye clip fupi ya mtanzania mwenzetu Bwana Saimon Sirikwa anayefanya kazi kwenye sector ya utalii nimejifunza mambo machache ambayo nadhani tunayapuuzia au hatutaoni japo ni muhimu Kwanza, serikali haijawatumia kabisa hili kundi la hawa watu wanaokutana na watalii moja kwa moja na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari acheni kuonea watumishi maskini, mnawasimamisha kazi waliowashauri mtoe fedha za matengenezo ya mfumo wa umeme mkakataa?

    Mhe. Rais kilichofanywa na wizara ya Habari hakina hata chembe ya Haki. Ukisoma barua ya wizara inasimamisha wafanyakazi kazi kisha barua hiyo hiyo inaeleza kwamba wanaharakisha mchakato WA tenda; unajiuliza Nani kawaambia wizara kama hitilafu ilivyotokea inahitaji tenda? Maana yake wanayo...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Siku ya Nyerere (Oktoba 14) iwe kielelezo cha uchapaji kazi wa Baba wa Taifa letu na sio alama ya uvivu (Kukaa Nyumbani) wa Mtanzania

    Habari za wakati huu ndugu zangu wote. Kufanya kazi kwa bidii ni jambo muhimu sana ambalo sote tunahitaji maishani mwetu. Haiwezekani kufikia malengo fulani makuu bila kufanya kazi kwa bidii. (Picha kwa hisani ya mtandao wa Google) Kwa maneno mengine ninaweza kusema ya kwamba, mtu asiyefanya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania OSHA yaimwagia sifa benki ya CRDB kwa kuzingatia usalama mahali pa kazi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako akimkaidhi tuzo Mkuu wa kitengo cha Ulinzi, Usalama na Mwendelezo wa Biashara wa Benki ya CRDB, Misana Mutani wakati Benki ya CRDB ikitunukiwa tuzo tatu ambazo ni mshindi wa kwanza katika kundi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba ateuliwe tena kukamilisha kazi aliyotumwa na Watanzania

    Tuliona kazi iliyotukuka iliyofanywa na Tume ya kukusanya maoni juu ya Katiba mpya mwenyekiti wa Tume hiyo akiwa Mzee Warioba. Walikuwepo wazee kama Mzee Sitta walioshiriki katika mchakato huo katika ngazi mbalimbali, pamoja na kuwa na afya njema enzi hizo, Leo hatunao tena Duniani lakini Mzee...
  11. JamiiForums Tanzania Upimaji wa utendaji kazi kwa kutumia OPRAS hauna tija!

    Inashangaza kuona baadhi ya maeneo bado wanatumia opras kama rejea ya utendaji kazi wa watumishi. Ikumbukwe kwamba fomu hizi hujazwa na mtumishi kwa kushirikiana na kiingozi wake. Kwa asilimia kubwa, hakuna uhalisia katika upimaji kwa kutumia hizi fomu
  12. B

    JamiiForums Tanzania Barrick yaendeleza rekodi ya ushindi tuzo za Wiki ya Usalama na afya Mahali pa kazi (OSHA)

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akikabidhi tuzo ya OSHA mshindi wa jumla wa maonesho hayo Mkufunzi wa Usalama mahali pa kazi wa Barrick Bulyanhulu, Azaely Kitenge (katikati) ni Mwenyekiti wa Bodi ya OSHA, Dkt. Adelhelm Meru...
  13. JamiiForums Tanzania Madini yetu, kazi zetu

    Doto Mashaka Biteko, mmoja wa wanasiasa vijana kabisa na ambao tangu kuingia katika siasa na katika serikali, wameonyesha siyo tu utendaji unaokwenda na wakati, bali pia uwezo wa kuzielewa wizara zao kiasi cha kuingia kwenye lile kundi waliofahamika miaka kadhaa huko awali kama “askari wa...
  14. JamiiForums Tanzania The Killer (1989) - Moja ya kazi Nzuri Sana ya John Woo

    Kama haujaiona hii Movie nashauri iangalie ni movie moja Nzuri sana (Good Story; Good Actions; and a Bit Emotional) kwa kuogopa kutoa Spoilers ngoja nikupe Theme Song yake kama Dondoo....; Anyway katika Ma-directors maridadi John Woo na yeye ni Mtaalamu (From Mission Impossible mpaka A Better...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi Ubalozi wa Uingereza, Mshahara Milioni 5.3 kwa Mwezi

    View Vacancy - Senior Programme Manager (04/23 DAR) The British Government is an inclusive and diversity-friendly employer. We value difference, promote equality and challenge discrimination, enhancing our organisational capability. We welcome and encourage applications from people of all...
  16. JamiiForums Tanzania Nani amefanikiwa kuapply kazi ya Mwandishi wa Taarifa Rasmi za Bunge

    Natumai sote tuna taarifa BUNGE letu lilitangaza nafasi za kazi hivi karibuni. Naomba kufahamu kama kuna yeyote aliyefanikiwa kutuma maombi ya nafasi ya mwandiishi wa taarifa rasmi za bunge.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Waungwana, msaada tutani

    Habari za muda huu Naomba kujuzwa, hivi kampuni inaposema tunatoa mshahara mnono kwa nafasi ya ulinzi inaweza ikawa kama Tshs ngapi ? Mana nimeona tangazo la kazi ya ulinzi katika mradi wa bomba la mafuta na wameandika tunatoa mshahara mnono Naomba kwa wenye uzoefu wanisaidisme kunijuza...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Mnaoshinda mitandaoni mnafanya kazi saa ngapi?

    Umofya kwenu members! Umofya tena !!! Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni. Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ? Tutafikia...
  19. JamiiForums Tanzania Utafiti Marekani umeonesha kwamba watu waliozaliwa kuanzia mwaka 1997 ni wabishi, wajuaji na hawana heshima

    Marekani utafiti umeonyesha kwamba ni vigumu sana kufanya kazi na kizazi Z ama generation Z ambao wamezaliwa kuanzia mwaka 1997. Meneja na wakurugenzi wa wakuu wa utumishi walioulizwa kwenye utafiti wamesema ni ngumu sana kufanya kazi na kizazi Z kwani ni wabishi, wajuaji, hawana nidhamu wala...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi hawana hamu na tarehe 1/5/2023 sikukuu ya wafanyakazi? Ni majeraha ya nyongeza ya 23% mshahara?

    Kama mjuavyo mwaka jana watu walikuwa kimuhemuhe cha nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3 kitu ambacho "msigwa na raisi wa tukta" hawana majibu ya namna asilimia hizo zilivyo ongezwa kwenye mishahara ya watumishi. Jambo hilo huwenda ndio chanzo cha watumishi walio wengi kupoa mioyo yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…