kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Visa vya kweli dada wa kazi wachawi. Ambatana nami

    Hii Dunia isikie vituko na majanga yake kwa wengine yasikukute. Dada Jenifa amepitia visa na mikasa vya housegirls wachawi kwa uchache ntaweka visa vitatu (3). 1. Huyu alimtoa kijijini kwao kwa ant yetu alikuwa na kawaida yq kuharibu kila aina ya mmea dawa uliopo bustanini hasa ukifikia hatua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania unafanya kazi na nani inahusika sana kwenye utaftaji

    leo nina furaha sana , nimepiga hela nzuri sana na aliyechangia nipigie hii pesa ni mfanyakazi wangu tena , tena ana umri mdogo ukilinganisha na watu wote ninaofanya nao kazi , i think nimpe vyeo awe msaidiz wangu tu...
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa 27 wasimamishwa kazi kwa kuingiza Sokoni Sukari iliyoharibika

    Uamuzi huo umetolewa na Mkuu wa Utumihsi wa Umma, Felix Koskei dhidi ya Mdhibiti Mkuu wa Viwango Nchini Kenya na Maafisa wengine 26 wa serikali waliohusika na kutoa Vibali vya kuruhusu kuuzwa Tani 1,000 za Sukari iliyokwisha muda wake. Taarifa imeeleza kuwa mifuko 20,000 ya Sukari iliingizwa...
  4. TAJIRI MSOMI

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mambo haya yakifanyiwa kazi na wadau (TRA, wananchi wafanyabiashara, wizara husika) itaongeza uwajibikaji wa kila mdau kwenye makusanyo ya kodi

    NATAMANI KIKOSI KAZI KILICHOUNDWA NA WAZIRI MKUU,TRA na SERIKALI WANGEWEZA KUTATUA TATIZO LA PENATI KWA KUTO KUFANYA FILING ZA P.A.YE,SDL,VAT, MAKADIRIO, NA RITANI ZA MWAKA KWA KAMPUNI/BIASHARA ZENYE MTAJI CHINI YA BILIONI MOJA Awali ya yote, mimi ni mdau na mfanyabiashara ndogondogo wa sector...
  5. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?

    Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora? Nahitaji jiko ebu nishaurine wadau najua wengi wenu mnauzoefu . ✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
  6. R

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU wanalipwa mishahara ya kazi gani kwa uozo na rushwa zilizoelezwa kwa Waziri Mkuu?

    Mkurugenzi wa TAKUKURU na wafanyakazi walio chini yake wanalipwa fedha nyingi kutoka kwenye kodi za wananchi. Pamoja na malipo mazuri hakuna kazi yoyote ya msaada wanayotoa kwa serikali na jamii kwa ujumla. Kama wangekuwa active hizi taarifa za madhila ya wafanyabiashara wangekuwa wanazo na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha somo la Kiingereza

    WanaJF nakuja kwenu kuomba kazi ya Ualimu wa Kingereza. Iwe msingi au sekondari popote naweza kufundisha. Nimemaliza UDSM pale na nina Upper Second (3.8). Pia nina uzoefu wa kufundisha zaidi ya miaka mitatu maana hadi naandika uzi huu bado nipo kazini. Naweza kufanya kazi popote na niko tayri...
  8. OLS

    JamiiForums Tanzania Kazi na ajira ni tofauti

    Katika lugha ya kawaida, maneno "kazi" na "ajira" mara nyingi hutumiwa kwa namna ambayo inafanana. Tunatumia maneno hayo kuelezea jinsi tunavyopata kipato chetu. Katika mazingira ya kawaida, hatuhitaji kutumia maneno sahihi kila wakati. Tunajaribu tu kufahamika. Hivyo, hatuhitaji kufuatilia...
  9. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Hatima ya mtumishi aliyefukuzwa kazi kwa utoro kazini akiwa shuleni kwa barua

    Kwenu wanasheria. Mpwa wangu alikuwa chuo akisoma shahada ya pili! Kwenye kile kipindi cha giza alitolewa kwenye ajira kwa kisingizio kwamba alikuwa nje ya kituo cha kazi na kwamba muajiri alikuwa hajui alipo. Amejaribu kufuatilia lakini ngoma ngumu. Japo kuna wadau wanasema anaweza kurudi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni kazi gani uliwahi kuifanya ukiwa umefulia ambayo leo ukiikumbuka unacheka tu?

    Nikiwa pale udbs bana,ndipo Wakati lile jengo la pssf Tower lilikua linajengwa.kuna kipindi nilifulia nikawa sina hata mia mbovu..home nako nimeacha wife ana mimba. Nikawa napiga vibarua vya kubeba zege pale ili walau kukidhi mahitaji. Saivi hapa namsimulia wife ananicheka tu.. Ni kazi gani...
  11. secretagent

    JamiiForums Tanzania Wauguzi wanafanya kazi kubwa sana

    Kazi ya uuguzi ni ngumu sana Wauguzi waongezewe mshahara Nawasilisha
  12. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Ombi: Makalla Dar ishamshinda. Mama mrudishe Makonda

    Sijawahi kupenda mambo binafsi ya Makonda,ila naikubali kazi yake ya Uongozi na Uchapakazi Sina haja ya kuweka resumé yake hapa kwani kazi zake zinaishi Kama Mama hatojali,mrudishe Makonda
  13. D

    JamiiForums Tanzania TRA wapo sahihi kabisa kupuuza maagizo hewa ya wanasiasa! Serikali inafanya kazi kwa maandishi

    Ni aibu kubwa sana ukiisikiliza speech ya waziri mkuu! Ni kweli viongozi wakuu waheshimiwe lakini kauli tupu pasipo maandishi ni usanii mtupu! Wahenga waliwahi kusema "government work on paper " Maagizo bubu ya midomo kama hayo tuliyasikia kwenye shirika la umeme kwamba Nguzo za umeme ni...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya utozaji wa ushuru

    WAZIRI ASHATU KIJAJI AAHIDI KUTATUA KERO YA UTOZAJI USHURU KWA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOA WA MANYARA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya utozaji wa ushuru wa Shilingi...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mwenye kujua kazi ya 2% ya makato ya Mshahara wake kwenda CWT tukutane hapa

    Niko siti ya mbele karibuni walimu. Tahadhari, walimu wa ajira mpya itakayotolewa mapema mjihadhari na mkato ya 2% ya vyama vya wafanyakazi, lipeni 5,000 makato ya kila mwezi. KARIBUNI
  16. amshapopo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi kazi za ndani zinavyotokomeza ndoto za watoto wa kike

    Imekuwa ni kawaida kwa desturi zetu za sasa, hususani maeneo ya mijini pindi familia inapohotaji msaidizi wa kazi za ndani ya nyumba, hupelekekea kupiga simu maeneo ya pembezoni mwa miji Ili kupata msaidizi wa kusaidia kazi za ndani. Wengi wetu tumekuwa tukihitaji wafanyakazi hawa bila kufuata...
  17. beatboi

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi ambazo mtoto wa mjini hawezi kuzifanya...

    ~kondakta wa daradara < hawezi kupiga kelele > ~kusaidia fundi < wanaita kazi ngumu> ~kuuza duka <hawawezi kukaa sehem moja> ~biashara mtandaoni < wanakwambia utapeli> ~udereva < wanaogopa ajari > ~kuuza mishkaki,chips,ndizi,karimati,mihogo,migahawa <biashara ndogo hutoboi> ~kilimo hakilipi...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Nini Kauli ya Serikali Kuhusu Makato ya Tozo na Mtandao Kutokufanya Kazi Vizuri

    MBUNGE KUNTI MAJALA - NINI KAULI YA SERIKALI KUHUSU MAKATO YA TOZO NA MTANDAO KUTOKUFANYA KAZI VIZURI Mhe. Kunti Majala Mbunge wa Viti Maalum amemuuliza swali Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Mganga wa Kienyeji aliyemfanyia Kazi Tukuka Musiba akawa ndiyo huyu huyu wa Yanga SC inayoenda kuwa Bingwa wa CAFCC 2023

    Tafadhali Poti wangu Musiba kuna Demu Mmoja wa Kihaya na Kinyiramba si tu ananisumbua bali ananikondesha pia kwa Kunikatalia kunipa 'Tamu Baioloji' yake. GENTAMYCINE nipo chini ya Fito zako naomba unipe Namba yake / zake za Simu ili nimpigie anifanyie Kazi yangu ifanikiwe ning'oe Mzigo kama...
  20. Smt016

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Marumo wanavyocheza, kuelekea mechi ya marudiano Yanga inapaswa kufanyia kazi mapungufu yao

    Jamaa wana spidi na wanafika hadi langoni na pasi ni za uhakika sana. Inatakiwa benchi la ufundi lije na muarobaini wa kuwazuia jamaa wasifike langoni. Maana mechi ya Dar ilikuwa ni almanusura jamaa wapate magoli maana wamefika sana langoni na Diarra kufanya saves kadhaa. Jamaa watakuja na...
Back
Top Bottom