kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Fei Toto tafadhali ufanyie sana Kazi huu Ushauri wangu mzuri na nakuomba Usiupuuze kabisa

    Mdogo wangu Feisal Salum ( Fei Toto ) leo GENTAMYCINE nimeamua kukupa Ushauri wangu kama ambavyo pia nilimpa Mdogo wangu wa Kinondoni Biafra Jonas Mkude hakuufuata na sasa yamemkuta hadi anakwepa hata Kuonana nami. Fei Toto najua Sakata lako lote na labda leo niseme tu Ukweli kuwa Mpango...
  2. Doz m

    JamiiForums Tanzania Kwanini PSSR siku hizi wanaita watu kazini kwa awamu badala ya mkupuo kama ilivyozoeleka?

    Kwanini PSSR siku hizi wanaita watu kazini kwa awamu, badala ya kuita wote kwa mkupuo kama ilivyozoeleka? Yaani mfano, tumeomba kazi mwezi wa 5 mwaka jana, tukaitwa interview mwezi wa kwanza na wa pili, placement ndio inafanyika sasa lakini kwa awamu. Watu tumefanya usaili siku moja, halafu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Upo Arusha na unatafuta kazi yoyote halali? Njoo tufanye ujasiriamali

    Habari. Kama upo Arusha au Manyara na unatafuta kazi yoyote halali tuwasiliane Kwa fursa ya ujasiriamali. Unaweza kunipata Kwa Whatsapp 0656388678
  4. R

    JamiiForums Tanzania Upo Arusha na unatafuta kazi yoyote halali? Njoo tufanye ujasiriamali

    Habari. Kama upo Arusha au Manyara na unatafuta kazi yoyote halali tuwasiliane Kwa fursa ya ujasiriamali. Unaweza kupata Kwa Whatsapp 0656388678
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sekretariet ya ajira katika utumishi wa umma inafanya kazi nzuri: Isiingiliwe, mapungufu tuyaainishe ili wayarekebishe.

    Mazuri ya sekretarieti ya ajira kwenye utumishi wa umma: 1. Imejitahidi kuweka uwanja sawa kwa wote wanaotafuta ajira. Kama ni ugumu basi huo ugumu uko kwa wote!! Kinachotafutwa kwa sasa ni kutaka kuboreshwa uwanja kwa baadhi ya watu almaarufu kama "watoto wa wakubwa". Wanataka kuwapitishia...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sikujua tumefikia mpaka kazi ya Uchawa unatakiwa Kutuma maombi ya barua na CV.

    Kwema Waungwana! Leo nilikuwa kwenye interview kama mnavyojua kijana ni taifa la leo, na kijana ni nguvu kazi ya nchi. Nami nikasema nisibweteke mwishowe nisijeitwa majina mabaya. Acha nitafute kazi hata zile nilizoona hazihitaji Vyeti. Maana hizo za Vyeti kiukweli Ngoma ngumu, nimeomba mpaka...
  7. plagiarism

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tafuta pesa

    Hii ni kauli ambayo imekuwa ikitrend sana tokea mwaka jana Hadi Leo huku ikifanya wengine wajikwamue na wengine bado wasipate njia za kutoka. Binafsi nimegawanya katika njia mbili, 1: WATU WENYE AJIRA 2: WATU WASIO NA AJIRA 1: WATU WENYE AJIRA. Binafsi nimekuwa mmoja wa mashuda katika hili...
  8. USSR

    JamiiForums Tanzania Papa amvua Upadri Padri Munyeshyaka kwa kukiri kuzaa mtoto wa Kiume

    Padre Munyeshyaka raia wa Rwanda aliyekuwa akihudumu katika parokia ya Evreux kaskazini kwa Ufaransa amefukuzwa upadre na hakubaliwa kuhudumu popote duniani kwa kosa la kukiri kuwa na mtoto wa maika kumi. Padre Munyeshyaka pia anahitajika nchi Rwanda kwa makosa ya mauji ya kimbali nchini humu...
  9. jastertz

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi private company au NGO's, nina Shahada ya Takwimu

    Habari wana JF! Natamani kufanya kazi kwenye private company au NGOs. Nina BSC. STATISTICS. Nimezitafuta sizipati. I work under minimum supervision.
  10. jastertz

    JamiiForums Tanzania Ni vipi akili bandia kama ChatGP inaweza kuathiri kazi miaka ijayo?

    'Ubunifu huu umefanya wakati wetu wa burudani kufurahisha zaidi. Lakini haijafanya wakati wetu wa kufanya kazi kuwa muhimu zaidi. Imeondoa uzoefu wa kibinadamu wa kuchoka. Lakini je, imekufanya uwe na manufaa zaidi kazini? Wataalamu fulani wa teknolojia wanasema kwamba 'huenda usiwe na akili ya...
  11. torvic

    JamiiForums Tanzania Pharmaceutical Techinician ninatafuta kazi kwa jasho na damu

    hali ni tete wadau halimanusra nijute kuzaliwa mtoto wa kiume! naitwa torvic jinsia ni mwanaume nimesoma Diploma in Pharmaceutical Science nina leseni ya baraza la famasi inahitaji ku re-new uzoefu wa kazi upo kwa mwaka angalau naishi Dar, (kazi ikipatikana dar itafaa zaidi) ninauhitaji...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Muundo wa Jeshi la Uhifadhi Unafanya Kazi Vizuri

    MHE. MARY MASANJA - MUUNDO WA JESHI LA UHIFADHI UNAFANYA KAZI VIZURI Serikali imesema Taasisi za Uhifadhi nchini zimeendelea kutekeleza majukumu yake ipasavyo kufuatia muundo wa sasa wa Jeshi la Uhifadhi kuziwezesha Taasisi hizo kufanya kazi zake vizuri huku kila Taasisi ikiwa inasimamiwa na...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Anayefanya kazi halmashauri yoyote Dar es Salaam anisaidie kupata nafasi ya kujitolea

    Hi, Naomba msaada anaefanya kazi halmashauri yoyote hapa dar anae weza nisaidia nikapata nafasi ya kazi yaani kujitolea nijishikize tu. Nimechoka haya maisha hamuwezi amini najua ila ukweli ni kwamba nimechoka sana natamani nipate msaada wowote akili imekuwa domat unakuwa na jambo unataka...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Lionel Messi asimamishwa kazi PSG kwa wiki mbili

    Paris Saint-Germain imechukua uamuzi huo kutokana na kusafiri kwenda Saudi Arabia kufanya matangazo ya biashara bila ridhaa ya klabu yake. Wachezaji wa PSG walitakiwa kupata mapumziko ikiwa wangeifunga Lorient katika Ligue 1 lakini walipoteza kwa magoli 3-1, hivyo Kocha Christophe Galtier...
  15. G Jonathan Kamenge

    JamiiForums Tanzania Tumepona, kazi iendelee

    Yamekuwa na nadhani yataendelea kuwa maoni yangu kwamba kubadili mitaala ya nchi ni moja ya mambo makubwa kabisa yanayoweza kuacha alama kwenye vizazi vyetu, na hivyo wakati Serikali inapofanya juhudi za kubadili mitaala ya shule zetu, ni vyema jamii kwa ujumla wake kujitolea kuchangia badala ya...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UGANDA: Waziri wa Kazi apigwa Risasi na Mlinzi wake

    Waziri wa Nchi, Kazi, Ajira na Mahusiano ya Viwanda, Kanali Mstaafu Charles Okello Engola ameuawa kwa kupigwa risasi asubuhi ya Mei 2, 2023 na mlinzi wake akiwa nyumbani kwake Kyanja, Kampala Mlinzi huyo baadaye alifyatua risasi kadhaa hewani kabla ya kujiua Sababu ya mauaji hayo bado...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaowaachia wake zenu Kazi ya kupeleka Watoto kupanda School Vans alfajiri kuweni makini

    Leo ni mara ya Tatu kila nikiwa naenda Beach Kupasha (Mazoezini) Alfajiri ili nipate Nguvu Tukuka za Kuwajibika vyema Kitandani na wale ninaowabahatisha katika 18 zangu nakutana na Wake za Watu (tena Wengine nawajua kabisa) wakiwa Wanabanduliwa / Wanalalwa na Wajuba. Nilichokiona leo na ambacho...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Kwenye nchi zilizoendelea kwasasa kuna uhaba mkubwa wa vijana wa kufanya kazi lakini wakati huohuo kuna janga kubwa la vijana wasikuwa na kazi Tanzania. Pamoja ni jitihada nyingi za serikali za kusaidia vijana kupata kazi na kufanya shughuli za kilimo ni lazima vijana nao wajiongeze walau kuweka...
  19. mama D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri wa Mali asili na Utalii, Bodi ya Utalii na Mabalozi wetu pokeeni ujumbe toka tour guide Saimon Sirikwa

    Kutoka kwenye clip fupi ya mtanzania mwenzetu Bwana Saimon Sirikwa anayefanya kazi kwenye sector ya utalii nimejifunza mambo machache ambayo nadhani tunayapuuzia au hatutaoni japo ni muhimu Kwanza, serikali haijawatumia kabisa hili kundi la hawa watu wanaokutana na watalii moja kwa moja na...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari acheni kuonea watumishi maskini, mnawasimamisha kazi waliowashauri mtoe fedha za matengenezo ya mfumo wa umeme mkakataa?

    Mhe. Rais kilichofanywa na wizara ya Habari hakina hata chembe ya Haki. Ukisoma barua ya wizara inasimamisha wafanyakazi kazi kisha barua hiyo hiyo inaeleza kwamba wanaharakisha mchakato WA tenda; unajiuliza Nani kawaambia wizara kama hitilafu ilivyotokea inahitaji tenda? Maana yake wanayo...
Back
Top Bottom