Nimepata likizo ya kikazi ya siku 28 nikasema ngoja nitumie hii likizo kupima Imani ya mtu ,sasa hii ni wiki ya 3 tangu nilipomwambia wife nimefukuzwa kazi, ndani ya wiki 2 za mwanzo alijifanya kuvumilia hali ananipa moyo ila ugali na dagaa zilivyozidi kutaradadi leo ameamua kufunguka ya rohoni...
Habari wana jamvi,..baada ya kutoa ya moyoni kuhusu Yule binti wa kazi ambae nilikuja kuthibitisha kuwa Ni miathirika wa ugonjwa huu unaosumbua dunia...nimesoma comments zenu ambazo zilikuwa na maoni mengi
Ambayo yamenisaidia Sana katika kufanya maamuzi ,..binti nimemrudisha kwao japo hakujua...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetangaza nafasi za kazi 42 katika taaluma mbalimbali kwa Watanzania wasiozidi umri wa miaka 45 kuanzia leo Ijumaa Aprili 21, 2023 na mwisho wa kutuma maombi ni Mei 4, 2023.
Tangazo hilo la kazi limetolewa leo Ijumaa Aprili 21, 2023 likitoa nafasi kwa...
Kufanyakazi kwa bidii zote.
Usimssikikize mtumishi mwenzio fuata sheria za kazi.
Jambo usilolijua la kiutumishi kabla ya kuchukua hatua uliza. Usiwaulize watumishi wapya uliza wale senior.
Fomu za mikataba uwe makini na vipengele, kwa mfano place of domicile.
Jizoeze kuamka saa 11 kasoro...
Tofauti na zamani kwenye matangazo ya kazi mbali mbali hivi karibuni serikalini kumekuwa na uhuru wa watumishi kuomba hizo kazi ila kigezo kimojawapo ni kutakiwa kupitisha barua ya maomba kwa mwajiri husika, mfano mkurugenzi wa halmashauri.
Kwa kiasi kikubwa hiki kimekuwa kikwazo kwa mtumishi...
Habari ya maandilizi ya sikukuu,
Kuna hii tabia ya mabinti tena wadogo kwenye early 20s wakipata tu vikazi hata iwe saluni au mgahawani wanakimbilia kupanga ili wajitegemee.
Kusema kweli hii imekuwa kero kwa sie hasa wa maofisini, hawa mabinti wanaojitegemea ni kama wanageuka omba omba, hapa...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27,nimekuwa nikijaribu kutafuta kazi ya udereva kwa muda mrefu bila mafanikio mpaka nafirikia kwenda kusoma tena operator ili kuongeza wigo wangu katika soko la ajira.
Nimejaribu kuandika barua tofauti katika ofisi tofauti kuomba nafasi ya kujitolea lakini...
Tunahitaji Mhazili - Secratarial awe mwanamke kati ya miaka 20-35, mwenye cheti cha uhazili na uzoefu wa kufanya kazi kwa kujitegemea. Awe na uwezo wa kufanya muda wa ziada walau mpaka saa 2 Usiku muda mwingine. Muda wa Kuingia Ofisini saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni.
Mshahara kwa mwezi...
Kila siku wafanyakazi wanatafutwa kutoka mikoa mingine na kwenda Dar Es Salaam. Hilo jiji halina watu wenye wanaoihitaji hizo kazi?
Kitakwimu ndio jiji lenye watu wengi nchini? Mbona kila kutwa ninyi ndio wakuletewa wafanya kazi wa ndani na wasaidizi wa kazi kutoka mikoani?
Sio kijana wa...
Mhe.Rais wa JMT,
Mhe.Waziri wa TAMISEMI
Nawapongeza kwa jitihada zenu katika kutengeneza na kutoa fursa za ajira nyingi sana katika kada ya ualimu na Afya. Ni ishara njema katika kupunguza tatizo la ajira nchini.
Mhe. Waziri wa TAMISEMI, maoni na mapendekezo haya ni kwa ajili ya ofisi yako...
NAFASI ZA KAZI
Posts: 2
-Elimu kuanzia form four
-Uwe unajua kutumia computer, nb kama hujui computer usiombe plz
-Ukiwa na certificate ya computer ni kigezo cha nyongeza
-Kama una degree au diploma hatukuhitaji usiombe plz
-Location ya kazi ni Dar es salaam
-Jinsia ya kiume tu
-Umri...
Maisha hata yasikie tu kwa mwebzio yaani kufupisha story ni hivi,
Saa 12 asubuhi natoa kichwa change chini ya mabehewa ya treni, nakaa kwnye kiti pembezoni mwa dirisha, macho yanavutiwa na mandhari nzuri ya kijani na miti mirefu na mifupi ya michikichi\migazi,
Naona watu wamesimama pembezoni...
Habari ndungu zangu
Nimehitimu shahada ya Mechanical Engineering. Naombeni msaada kupata kazi au internship maana nimeshazunguuka sana maofisini kuomba kazi bila mafanikio.
Mama yetu Janeth Magufuli alikuwa mwajiriwa WA serikali Mwalimu; baada ya Magufuli kuteuliwa kuwa mgombea Urais na baadaye Rais kazi ya ualimu ilisita japo kwenye utumishi WA umma sijui kama kuna kipengele kinachotoa ajira automatic Kwa mke wa kiongozi. Na kama kipo je ni ajira zote?
Kutokana...
Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.
Bado hajui chochote na kwangu imekua...
Prof. Idris Suleiman Kikula, mwenyekiti wa Tume ya Madini amekiri kuwa Mtandao tajwa hapo juu umezima kama sio kushindwa kufanya kazi kwa kipindi cha miezi minne sasa.
Kukosekana kwa huduma hiyo muhimu kumeikosesha serikali hasara ya bilioni 7 kwa mwezi jambo ambalo sio la kuvumiliwa.
Waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.