Uamuzi huo umetokana na tukio lililotokea vyumba vya kubadilisha nguo wakati timu hiyo ikifungwa 3-0 na Manchester City, ikidaiwa kutokana na wawili hao kupishana kauli ndipo Mane akampiga ngumi ya uso Leroy Sane.
Mane hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza dhidi ya Hoffenheim katika...
Habari wakuu!
Nadhani kwa kipindi hiki wengi mnaelewa katika tathnia ya usafirishaji abiria (mabasi) kumekuwa na ushindani mkunwa sana.
Yaani katika ushindani huo imefikia kipindi watu wanaingiza mabasi nchini kwa wingi kuliko kawaida, lengo ni kuweza kuhimili ushindani huo kwa kuboresha huduma...
Naziona sana aina hii ya nguo, ama kwenye mwili wa mwanamke au madukani.
Kitamaduni nguo hii ni maalumu kwa ajili ya kuuficha uchi ili usionekane kirahisi na kuutia joto ubaki na vuguvugu.
Naona kama maana ya vazi hili imepotea. Zinavaliwa nyavu ambazo uchi unaonekana moja kwa moja bila kificho
Location - Tanzania
Salary - USD3000 to USD4000 plus accommodation, vehicle and medical aid, depending on experience
Our client is a large established agricultural organisation who is looking for an additional 1 or 2 Agricultural Managers to join the team in Tanzania.
Our client is a...
TAMISEMI yatangaza ajira 21000 afya na elimu 2023
======
Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ajira mpya 13,130 za kada ya Ualimu watakaofundisha katika Shule za Msingi na Sekondari.
Aidha, idadi ya watumishi...
Mzee Yusuph Makamba amesema "Tusimfundishe namna ya kufanya kazi hatumtendei haki...niulize kwa haya yanayoendelea je kuna mwenye mashaka tena na uwezo wake hadi sasa? Rais Samia kwetu Watanzania ni kiongozi bora, anatosha. Wakae watulie sasa"
Ameongeza kuwa "Muhimu tumwombee kwa kuwa ni...
Hello wadau,naombeni msaada kidogo,huwa ninaomba ajira za nmb bank kupitia site yao https://careers.nmbbank.co.tz/ lakini cha kushangaza sijawahi kuitwa hata katika interview au hata kuambiwa maombi yako yamekatatliwa yaani kimya tu.
Naombeni msaada hivi kuomba ajira zao unataikiwa upitie njia...
Leo jioni nilienda kumjulia hali mgonjwa wangu aliyelazwa Cancer Center. Sikuamini macho yangu kutokana na usafi niliouona pale Cancer Center.
Chumba cha wagonjwa ni safi sana na sasa ukija kwenye mashuka ambayo ni meupe ni masafi kweli kweli. Hapa Bugando wodi zote ni safi.
Mimi binafsi...
Wapendwa habari zenu
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Wanajamvi hivi ikitokea umepata kazi lakini kwasababu fulani ukahitaji kutokwenda kazini. Je ni hatua gani unatakiwa kuzifuata ili uwe salama hata baadae utakapoomba kazi serikali uwe eligible kupata kazi?
Wakati serikali ya awamu ya sit chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu ikianza kuchukua hatua kutokana na mapungufu yaliyoainishwa katika ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)watu mbalimbali wametoa mitazamo yao ikiwemo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba anasema...
Katiba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inaitaka Bodi ya Wadhamini ya Chama kufanya mikutano isiyopungua mitatu kila mwaka.
Hata hivyo, nilibaini kuwa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haikufanya mikutano yoyote katika mwaka huu wa fedha...
Tumesikia hivi karibuni, tangazo la Polisi Trafiki kupitia kwa Kamanda wa Trafiki Ramadhani Ng'azi kuwa dereva aje na leseni, kitambulisho cha NIDA, kitambulishi cha mlipa kodi TIN, cheti cha afya na shada ya shule aliyisomea udereva!
Kwa hayo masharti tu, unagundua kuwa kitengo chetu kina...
Mh Judge Biswalo ni kiongozi muadilifu, mchapakazi, mtenda haki.
Aliopokuwa DPP aliifanya kazi yake kwa weledi mkubwa. Alihakikisha mafisadi wanaonja uchungu wa kuiba mali za watanzania bila kuonea mtu.
Sasa mafisadi na majizi yanatumia nafasi waliyopewa kulipiza kisasi kwa kumchafua na...
Chombezo : Beki Tatu Mcharuko Sehemu Ya : Kwanza (1)
“Shogaa yule mfanyakazi nimeshampata ni wewe tu uje kumchukua maana kadada kenyewe kamekaa kazungukazungu kasije kuniibia mume haka.”
“Mhhh! Uzungu huo vipi, kwahiyo ndo umenitafutia huyo aje kuwa mke mwenzangu au? Kwani amna wadada wengine...
Habari wana JF,
Nimepata chimbo la kupata vioo original vya simu za samsung kutoka China, nakuagizia ndani ya siku 14 za kazi unapokea mzigo wako kwa bei nzuri kabisa.
Nicheki whatsapp 0657940974
Mimi ni dereva natafuta kazi ya udereva. Nipo Dar Es Salaam, Kijichi
Leseni Yangu ni Class C1,E,D. Nina Uzoefu Wa Miaka Miwili
Cv
(1)Elimu Form 4 cheti
(2)Cheti Cha Udereva
Umri wangu miaka 26
0756912507
Pasaka njema kwa wakristo wote, naomba niwape kisa hiki cha ukweli kilichotokea kusini mwa Tanzania mkoa x katika nyumba moja ya Bibi mstaafu.
Jinsi nilivyo muonekano wangu, sio mfupi sana wala mrefu sana niko wastani,mweusi ila nina sura ya upole, sina ndevu nina mwili wa wastani sio mnene...
Hope ni wazima Wana Jf
Nina sister yangu upande wa baba mwingine (baba mkubwa)kanipita kidogo umri ni mkubwa kwangu baada ya kumaliza degree ya uhasibu miaka Ile alipata kazi benki ya N.... mkoa x
wakati sister yupo chuo alikuwa na mtu wake ambaye amemuoa.
Kabla ndoa walikuwa wanaoishi wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.