Nimesikiliza hizi za Harmonize (Kwangalu ya Magufuli) na Zuchu (Tanzania ya Sasa Mama) ni nyimbo za karne.
Naamini kabisa vizazi vijavyo vitamuenzi sana Magufuli kuliko hata sasa.
Mwamba anatikisa Dunia sasa hata baada ya kufariki.
Hello!!
Nimetafakari kiasi ni kwa namna gani mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa inavyoweza kuinua uchumi na molari wa kujituma katika upambanaji hasa endapo viongozi wanasiasa kwenye mikutano yao wakihimiza bidii ya kazi.
Na wakahusisha ratiba za mikutano yao na kauli mbiu tufanye kazi...
Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Tanga, Wilaya Kilindi, Kijiji cha Kikunde naona huku wazee wanapata shida sana.
Wale wazee ambao hawajiwezi wanaopokea pesa za TASAF wamegeuzwa makatapila huku wanatengeneza barabara za mitaa sio mchezo.
Najiuliza kama Serikali inataka kutuulia wazee wetu waseme au ni...
Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa...
Wakuu kwema?
Naombeni ushauri mimi nafanya kazi sehemu x ila nataka kuacha kazi sababu nalipwa 3000 kwa siku hiyo hiyo nifanyie Kila kitu kula, kodi, kuvaa yani Kila kitu nimefanikiwa kufanya ujanja ujanja mwingi kazin hadi nimesevu milion moja kwa miaka miwili ila Sasa ujanja unakuwaga na...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema ana imani mahakama itamsaidia Rais katika eneo la utoaji haki. Dr. Tulia amesema kuna watu hawaelewi kama mhimili wa mahakama nao unafanya kazi ya kumsaidia Rais.
Dr. Tulia amesema anaamini watu huwa wanasoma vitabu vya dini, ambapo...
Ushauri kwa wizara utumishi kipindi mnaelekea kwenye bajeti ya wizara kuna jambo naomba mlimulike kuna wafanyakazi wapo tu kazini kutimiza siku na kupokea mshahara, nashauri kila mwajiriwa wa serikali awe na target asipo ifikia angaaliwe kama anahitajika katika iko kitengo au asimamishwe kazi...
TARURA MKOA WA IRINGA KAZI INAENDELEA
NDANI ya miaka miwili ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumekuwa na uimarikaji kwa mtandao wa barabara za vijijini na mijini kwa Mkoa wa Iringa hatua iliyorahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii.
Meneja wa...
Hii Dunia isikie vituko na majanga yake kwa wengine yasikukute.
Dada Jenifa amepitia visa na mikasa vya housegirls wachawi kwa uchache ntaweka visa vitatu (3).
1. Huyu alimtoa kijijini kwao kwa ant yetu alikuwa na kawaida yq kuharibu kila aina ya mmea dawa uliopo bustanini hasa ukifikia hatua...
leo nina furaha sana , nimepiga hela nzuri sana na aliyechangia nipigie hii pesa ni mfanyakazi wangu tena , tena ana umri mdogo ukilinganisha na watu wote ninaofanya nao kazi , i think nimpe vyeo awe msaidiz wangu tu...
Uamuzi huo umetolewa na Mkuu wa Utumihsi wa Umma, Felix Koskei dhidi ya Mdhibiti Mkuu wa Viwango Nchini Kenya na Maafisa wengine 26 wa serikali waliohusika na kutoa Vibali vya kuruhusu kuuzwa Tani 1,000 za Sukari iliyokwisha muda wake.
Taarifa imeeleza kuwa mifuko 20,000 ya Sukari iliingizwa...
NATAMANI KIKOSI KAZI KILICHOUNDWA NA WAZIRI MKUU,TRA na SERIKALI WANGEWEZA KUTATUA TATIZO LA PENATI KWA KUTO KUFANYA FILING ZA P.A.YE,SDL,VAT, MAKADIRIO, NA RITANI ZA MWAKA KWA KAMPUNI/BIASHARA ZENYE MTAJI CHINI YA BILIONI MOJA
Awali ya yote, mimi ni mdau na mfanyabiashara ndogondogo wa sector...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.