Anayefanya kazi halmashauri yoyote Dar es Salaam anisaidie kupata nafasi ya kujitolea

Hongkong

Member
Dec 27, 2022
51
139
Hi,

Naomba msaada anaefanya kazi halmashauri yoyote hapa dar anae weza nisaidia nikapata nafasi ya kazi yaani kujitolea nijishikize tu.

Nimechoka haya maisha hamuwezi amini najua ila ukweli ni kwamba nimechoka sana natamani nipate msaada wowote akili imekuwa domat unakuwa na jambo unataka kulifanya huoni njia.

Au pia mtu mwenye anakampuni ya kupika sawa ipo tayari ukitoa njee ya taaluma yangu napenda pia maswala ya catering nitajibu pm nimefungua.
 
unatafuta kazi halafu unalimit watu wa kuview profile yako,, nilikua nipo interested na utaalam wa kupenda kupika. But haupo serious.
Mkuu km unanafasi ya kumsaidia mtu msaidie tuu dunia inazunguka hii huyo huyo anaweza kukusaidia baadae .
 
Kujieleza 0....ingetakiwa uonyesha unajua nini..kujitolea nini
 
Hi,

Naomba msaada anaefanya kazi halmashauri yoyote hapa dar anae weza nisaidia nikapata nafasi ya kazi yaani kujitolea nijishikize tu.

Nimechoka haya maisha hamuwezi amini najua ila ukweli ni kwamba nimechoka sana natamani nipate msaada wowote akili imekuwa domat unakuwa na jambo unataka kulifanya huoni njia.

Au pia mtu mwenye anakampuni ya kupika sawa ipo tayari ukitoa njee ya taaluma yangu napenda pia maswala ya catering nitajibu pm nimefungua.
kujitolea ni janga la taifa waulize walimu waliojitolea ajira zikitoka mfumo hauwatambui waliojitolea ivyo inakua gombania goli hlf pia siku izi ajira zote ajira portal hata ukijitolea vipi nafasi zinapelekwa huko na inakua gombania goli kwa wote na hawakujui kama ulikua unajitolea
 
Why ujitolee yani ? Mimi nina ndugu yangu kaishia form 4 tena failure sahz ana ajira na analipwa vizuri tu sababu ya kupata kazi ujanja wa mjini sasa huwa nashangaa sana watu kama wewe hebu changamka tafuta kazi hata sehemu 100 ukose uje useme hapa maana kila siku naona ajira zinatsngazwa hasa private acha uvivu.
 
Kujitolea kwa halmashauri yataka moyo kule kugumu, zamani kulikuwa Ela njenje mpaka wa field wanapewa Ela, siku hizi Mambo magumu.
 
Umesomea nini?una degree yoyote? Ungekua mbeya ningekupa chance, unapewa nauli kila siku elfu tano kwa miezi sita na utapangiwa majukumu unayotakiwa kufanya kila siku. In future kuna uwezekano wa kuajiriwa ajira 90%
 
Na mimi nahitaji mwenye connection ya halmashauri yoyote kati ya Dar au Dodoma nina degree ya Sheria. Mtaa umekuwa mgumu sana kwangu
 
IMG_20230503_141010_410.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom