kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Kwahiyo kama Taifa tumekubali kuwa bodaboda ni kazi rasmi?

    Habari! Kila kona kijiwe cha bodaboda. Kila kwenye kauwazi kijiwe cha bodaboda. Haya ndiyo maendeleo? Kwamba watu hawana mawazo mbadala zaidi ya kuwa bodaboda? Kwamba serikali imehalalisha bodaboda kuwa ajira rasmi? Watozwe kodi basi kama ni ajira rasmi. Wazee kwa vijana sasa wamekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Usalama wa taifa wamshauri Putin kumfuta kazi waziri wa ulinzi maana aibu imepitiliza

    Wanashangaa kwanini bado yupo ilhali taifa linapitia aibu yote hii na mateso mengi tu....wanajeshi wanauawa kama senene kule kwenye uwanja wa mapambano huku drones za Ukraine zinajipigia popote ndani ya Urusi ikiwemo hata ikulu. Some in Russia's intelligence services are calling on dictator...
  3. JamiiForums Tanzania Fundi kupaua (mrejesho wa kazi)

    Napatikana kwa namba 0743257669 TUMEKABIDHI KAZI PANDE ZA KIGOGO MABIBO NYUMBA INAUKUBWA WA MITA 4.6 KWA 12M Mbao 4×2 pcs 80×5500= 440,000 Mbao 2×2 pcs 60× 2800= 168,000 Mbao 10×1 pcs 12×16000= 192,000/= Misumari nch4 kg 25×3500= 87,500/= Misumari nch3 kg 5×3500= 17,500/= Misumari nch2 kg...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimemaliza (UDOM) Bachelor degree in instructional design and information technology(IDIT).

    Kazi ambazo naweza kufanya ni: ✅Graphics Design(Logo design, posters design....nk) ✅Motion graphics ✅Video editing ✅Photography ✅2D animation ✅Design learning content for adults ✅Online courses development ✅Mobile maintenance ✅Computer maintenance ✅Maintain daily website activities Email...
  5. JamiiForums Tanzania Mama Samia Mungu yu Pamoja nawe adui yako unaye ndani kwako piga kazi

    Angalizo Mods naomba huu uzi usiunganishwe na uzi mwingine tafadhali. Juzi walikusifia Jana walikuchoka Leo wanakuzomea kesho watakufukuza lakini hao hao kesho kutwa watarudi tena kwako hivyo wazoee endelea kupiga kazi. Walianza wanaojiita wanaojiita wanaharakati kupinga baadhi ya vipengele...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna mwanamke amepanga kuniroga ili uume wangu usifanye kazi baada ya kumwambia nataka tuachane, naomba msaada nimdhibiti.

    Habari wajameni, Kwa unyenyekevu kabisa wapendwa, jokes aside please, nakuja mbele yenu kinyonge na kuomba msaada. Kuna mdada mmoja wa kimag'hati niko nae kwenye mahusiano miezi kama mitatu. Huyu manzi yuko Bomba sana yaani bonge la pisi kali na shoo anaweza sana. Tatizo lake limetokea hivi...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada Waifu anataka kumtimua dada wa kazi, mimi sitaki

    Anamlalamikia kama ilivyo kawaida ya wamama kulalamikia karibia kila kitu. ila mimi sijaona sababu ya msingi ya kumtimua lakini najua nikimwambia si ajabu akadhani nnamtaka huyu dada
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha masomo ya History na Kiingereza

    Nimefanikiwa kupata Bachelor of Education, hivyo basi kwa yeyote mwenye uhitaji au connection itakayoniwezesha kupata kazi ya kufundisha au inayoendana na taaluma yangu. Naomba kutanguliza shukrani.
  9. JamiiForums Tanzania Natafta kazi yeyote halali Niko mkoa wa Arusha

    Mimi ni kijana mwenye miaka 25, naishi mkoa wa Arusha ,elimu yangu ni kidato cha nne, naomba mwenye kazi yoyote kama kichwa cha habari nilivyo andika anisaidie, nna uzoefu mzuri katika kazi za jikoni kwa upishi wa vyakula mbalimbali ikiwa ni pamoja na usafi wa jikoni unahusika pamoja na vyombo...
  10. JamiiForums Tanzania Wadada mnaoendesha magari na wenye kazi nzuri acheni kulinga mtazeeka mkiwa kwenu

    Mko poa Nisiwachoshe Ipo hivi juzi hapa jumuiya ilikuwa kwangu tulisali vizuri tu sasa baada ya kumaliza ambaye anachukua msalaba ni mtu wa iabu huyu dada tumuite Bupe. Aliniomba nimpelekee msalaba jioni kwao ana kaa na wazazi wake kwao wako na mapesa nje yapo magar 5 kuna nissani duals 2...
  11. JamiiForums Tanzania Miaka 11 ya ushauri uliofanyiwa kazi, Najisifia, Hutaki Acha!

    Miaka 11 iliyopita niliandika makala mitandaoni nikipendekeza Ikulu ya Dar es Salaam ihamishwe mahali ilipo Magogoni jijini Dar es Salaam, nilipendekeza wazo la Mwalimu Nyerere kuhamishia ikulu Dodoma lizingatiwe na kama hilo litakwama basi Ikulu inaweza kubakia Dar lakini ijengwe pembeni ya mji...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kazi, yeyote atakayenisaidia nitashukuru sana

    Habari ndugu zangu, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24. Ninaomba msaada wenu kama kuna mtu yeyote anaweza kunisaidia nikapata kazi. Elimu yangu kidato cha sita japo chuo nimesoma Ila niliishia mwaka wa pili. Msahada wenu jamani, kwa yoyote mwenye connection maisha ni kusaidiana please...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote inayohusisha matumizi ya computer. Naishi Mwanza

    👨‍💻
  14. N

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Uhamisho wa watumishi kubadilishana kituo cha kazi

    Mtu wa kubadilishana kituo cha kazi anahitajika, mimi nipo Dodoma Mpwapwa DC. Kituo ni kizuri, mazingira mazuri, maji yapo, usafiri upo 24hrs. Wa kubadilishana nae awe mikoa ifuatayo; 1. Iringa 2. Mbeya 3. Morogoro
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kazi au internship Mwanza, (BA Community Development)

    Habari Wana JF, Nimehitimu shahada ya Maendeleo Jamii. Natamani nipate internship au kazi halali. Msiulize kama sitafuti nipo natafuta na nimesambaza barua sehemu kadhaa lakini sehemu nyingi wanasema hawana nafasi so, kupitia Wana JF naweza kupata chochote. Shukrani
  16. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Dugange Aipongeza TARURA kwa Kazi Nzuri ya Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara

    Naibu Waziri Dugange aipongeza TARURA kwa kazi nzuri ya Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara Naibu Waziri, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Festo Dugange ameipongeza TARURA kwa kazi nzuri ya ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini. Pongezi hizo amezitoa wakati alipotembelea mabanda ambayo yapo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ndani na nje ya Tanzania, nina elimu ya Degree ya Education

    Habari wana jamvi, Natafuta kazi yoyote ya halali, Elimu: Bachelor degree (shahada) ya ualimu masomo kiswahili na Geography Umri: Miaka 28 Eneo nilipo: Dae Es Salaam, Goba Lugha: kiswahili na English fluently (speaking and writing) Uzoefu: Nina uzoefu wa mambo mbalimbali ikiwa ni ufundi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke usiache kazi kisa mwanaume

    Greetings members and guests!!!!! Napokea malalamiko/Kero/misuguano/sintofahamu n.k kuhusu wanawake kuacha kazi kisa wanaume.... Wadada acheni hizi eti unaacha kazi kisa jamaa kasema acha mwisho wa siku ni kuonewa mpaka kufikishana dawati la jinsia na mahakamani. Kwani nini mnafanya hivo...
  19. JamiiForums Tanzania Tangazo la Kazi Kwa Watanzania Ktk Kampuni ya Space X (Twitter) Nchini Marekani

    Watanzania tuchangamkie fursa hizi, wakenya wasije kuwapiga bao FaizaFoxy USSR Maghayo instanbul Pascal Mayalla Mshana Jr OKW BOBAN SUNZU FRANCIS DA DON Msanii Mpwayungu Village Bufa Kaka yake shetani UMUGHAKA ChoiceVariable
  20. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi: Walimu wa English kufundisha "twisheni" watoto wa shule za kayumba

    Baada ya kutoa maoni yangu kwenye Uzi wa Bongotunacheza uitwao " FAIDA nilizo zipata baada ya kuwatoa watoto wangu English Medium na kuwaleta Kayumba" nimepokea pms nyingi sana watu wakiniuliza ninatumia mkakati gani kuhanikisha watoto wangu wanafanya vizuri kwenye somo la kiingereza kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…