kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kazi 8 zinazoongoza kwa kuchochea Msongo wa Mawazo

    Kazi zenye msongo wa mawazo zinaweza kutofautiana kulingana na mazingira ya kazi, utamaduni na hali ya uchumi katika maeneo tofauti barani Afrika. Hata hivyo, kuna kazi kadhaa ambazo zinaweza kuwa na uwezekano mkubwa wa kusababisha msongo wa mawazo kutokana na shinikizo la kazi au mazingira...
  2. josias

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Luku haufanyi kazi

    Jioni ya Leo Tarehe 28/08/2023 mfumo wa ununuzi wa LUKU kupitia njia zote (Mitandao ya Simu, Bank na hata Mawakala) haufanyi kazi. Jambo la kusikitisha TANESCO hawajatoa taarifa yoyote kuhusu jambo hili. Tuna safari ndefu kama Taifa.
  3. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Alilaumiwa Magufuli kuhusu Maded: Leo Samia afukuza Kazi maded walioruhusu Kadi za CCM kurudishwa

    Najiuliza wajibu wa MA DED na DC ni kulazimisha wanachama kubaki CCM? Chadema mliingia kwenye Maridhiano kichwa kichwa, haya lazima yawatokee puani 2025 kama ilivyokuwa 2020. Bila kukomaa na Katiba mpya msahau uchaguzi huru na haki.
  4. thee kid

    JamiiForums Tanzania Ombi la Kazi

    Heshima zenu wakuu! Kama kichwa Cha Uzi kinavyojieleza. Mimi ni Kijana wa miaka 23 Nina shahada ya kwanza (Bachelors degree) ya usimamizi ya Manunuzi na Ugavi niliyohitimu mwaka 2022.Tokea nimehitimu sijabahatika Bado kupata kazi,hivyo basi ninaandika Uzi huu kuomba kama Kuna mtu yeyote humu...
  5. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Meli yenye Mitambo ya ujenzi wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) yawasili

    Meli kubwa ya kwanza MV Innovation Way kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu iliyobeba mitambo kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP). kutoka Hoima, Uganda hadi mkoani Tanga. imewasili katika bandari ya Tanga. Meli hiyo imebeba mitambo kwa ajili ya...
  6. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kazi na dawa, chimbo gani zuri kwa hii wkend?

    Ijumaa ndio hii, inakaribia kuishia. Maisha ni kufurahi na marafiki, sio kila siku kuwaza kununua matofari tu; kuwekeza mwilini kwa kuupa furaha ni muhimu zaidi. Wako wapi wazee wa kale, waliishi miaka mia mbili, wengine miaka mia tisa, sasa wako wapi? Kwa sababu tunaishi mara moja, muhimu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

    Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege Watanzania tumuombee apumzike kwa amani! Source: Al jazeera ==== Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika...
  8. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Ni sawa dalali kufanya kazi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa?

    Naomba kupata Uelewa kuna jamaa mmoja ni dalali wa magari na mambo kama hayo ila anafanya kazi ofisi ya mkuu wa mkoa fulani hivi hii iko sawa?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi kuweni makini na Watanzania, wengi wao ni Wanafiki

    Asalaam Aleykum. Bila shaka wote mko vizuri na mnaendelea na kazi za ujenzi wa Taifa letu. Leo ninao wosia kwa viongozi wa nchi yetu kuwa makini na raia wao, maana ni ukweli usiopingika kwamba Watanzania wengi ni wanafiki. Mnafiki ni mtu anayejifanya vile asivyo. Kwa maneno mengine, mnafiki ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Simbachawene na Kikwete kwa kazi nzuri mnayoifanya Utumishi hadi sasa

    Nawasalimu kwa Jina la JMT! Nimeona niandike machache kupongeza kuhusu hawa Wateule wa Wizara hii yenye kubeba masuala ya Utumishi. Toka wameingia kwenye hii Wizara hawa Waheshimiwa kuna mabadiliko mengi tumeyaona. Kuanzia kiutendaji hata malalamiko ya watumishi yamepungua. Hongereni sana...
  11. covid 19

    JamiiForums Tanzania 📢Tangazo: Nafasi za Kazi (Field Personnel)

    Wanahitajika watu wa nne 4 tu wa Field Personnel. 🔍 Majukumu: Kutekeleza kazi za field kulingana na maelekezo na ratiba iliyowekwa. Kukusanya taarifa muhimu na data katika mazingira yakazi. Kufanya usimamizi wa malipo ya ofisi kwenye eneo la field. Kuripoti mara kwa mara kuhusu maendeleo ya...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar: Mkuu wa Shule asimamishwa kazi kwa tuhuma za kunyanyasa Wanafunzi Kingono

    Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam imemsimamisha kazi Mkuu wa Shule ya Sekondari Makumbusho, Juma Mulindani kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili za kuwanyanyasa wanafunzi kingono. Hatua hiyo imekuja siku nne tangu Mwananchi imeripoti tuhuma hizo zinazodaiwa kufanywa...
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania ILE KAULI YA SAMIA " KAZI IENDELEE" JE ALIMAANISHA NA KUKAMATA NA KUTESA KUENDELEE ?

    Huyu mama ambae ni Rais wetu alianza vizuri sana lakini tunapokuja kwenye swala la kutofautiana kimtazamo amekua akitoa amri za watu kukamatwa kuteswa na kubambikizwa kesi za uhaini au uhujumu uchumi....hili jambo lina fedhehesha sana hasa pale ambapo unashindwa kupokea ushauri na mawazo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, ataweza kufanya kazi kweli? Aliyeajiriwa ameanza na Tgs C huku yeye akiwa na Tgs B. Na wote wanadiploma

    Umeme umekatika na baada ya mshahara kuingia ameniamsha na kuanza kuwaza tu Mbona ajira mpya wanashahara mkubwa kuliko yeye?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi za nyumbani anahitajika

    Dada wa kazi za nyumbani anahitajika, nyumba ipo Kinondoni studio Dar es Salaam. Kuna dada mwingine yupo anahitajika mwingine wa kusaidiana naye. Kazi za kawaida za nyumbani na malezi ya Watoto. Kazi sio ya kuja na kuondoka ni ya Kuishi apo apo. Mshahara utakuwa makubaliano baina ya pande...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=0du5OfCnYHM Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  17. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Wakati KKKT wakiunga mkono Uwekezaji Bandarini Rais Samia asema hakuna wa kuligawa Taifa

    "Nimeyasikia yote uliyoyasema kuhusu usalama, amani, umoja na muendelezo wa taifa letu, niliamua kunyamaza kimya, na naendelea kunyamaza kimya, nachotaka kuwahakikishia hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili, na hakuna mwenye...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo kama Taifa tumekubali kuwa bodaboda ni kazi rasmi?

    Habari! Kila kona kijiwe cha bodaboda. Kila kwenye kauwazi kijiwe cha bodaboda. Haya ndiyo maendeleo? Kwamba watu hawana mawazo mbadala zaidi ya kuwa bodaboda? Kwamba serikali imehalalisha bodaboda kuwa ajira rasmi? Watozwe kodi basi kama ni ajira rasmi. Wazee kwa vijana sasa wamekuwa...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Usalama wa taifa wamshauri Putin kumfuta kazi waziri wa ulinzi maana aibu imepitiliza

    Wanashangaa kwanini bado yupo ilhali taifa linapitia aibu yote hii na mateso mengi tu....wanajeshi wanauawa kama senene kule kwenye uwanja wa mapambano huku drones za Ukraine zinajipigia popote ndani ya Urusi ikiwemo hata ikulu. Some in Russia's intelligence services are calling on dictator...
  20. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Fundi kupaua (mrejesho wa kazi)

    Napatikana kwa namba 0743257669 TUMEKABIDHI KAZI PANDE ZA KIGOGO MABIBO NYUMBA INAUKUBWA WA MITA 4.6 KWA 12M Mbao 4×2 pcs 80×5500= 440,000 Mbao 2×2 pcs 60× 2800= 168,000 Mbao 10×1 pcs 12×16000= 192,000/= Misumari nch4 kg 25×3500= 87,500/= Misumari nch3 kg 5×3500= 17,500/= Misumari nch2 kg...
Back
Top Bottom