Anamlalamikia kama ilivyo kawaida ya wamama kulalamikia karibia kila kitu. ila mimi sijaona sababu ya msingi ya kumtimua lakini najua nikimwambia si ajabu akadhani nnamtaka huyu dada
Nimefanikiwa kupata Bachelor of Education, hivyo basi kwa yeyote mwenye uhitaji au connection itakayoniwezesha kupata kazi ya kufundisha au inayoendana na taaluma yangu.
Naomba kutanguliza shukrani.
Mimi ni kijana mwenye miaka 25, naishi mkoa wa Arusha ,elimu yangu ni kidato cha nne, naomba mwenye kazi yoyote kama kichwa cha habari nilivyo andika anisaidie, nna uzoefu mzuri katika kazi za jikoni kwa upishi wa vyakula mbalimbali ikiwa ni pamoja na usafi wa jikoni unahusika pamoja na vyombo...
Mko poa
Nisiwachoshe Ipo hivi juzi hapa jumuiya ilikuwa kwangu tulisali vizuri tu sasa baada ya kumaliza ambaye anachukua msalaba ni mtu wa iabu huyu dada tumuite Bupe.
Aliniomba nimpelekee msalaba jioni kwao ana kaa na wazazi wake kwao wako na mapesa nje yapo magar 5 kuna nissani duals 2...
Miaka 11 iliyopita niliandika makala mitandaoni nikipendekeza Ikulu ya Dar es Salaam ihamishwe mahali ilipo Magogoni jijini Dar es Salaam, nilipendekeza wazo la Mwalimu Nyerere kuhamishia ikulu Dodoma lizingatiwe na kama hilo litakwama basi Ikulu inaweza kubakia Dar lakini ijengwe pembeni ya mji...
Habari ndugu zangu, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24. Ninaomba msaada wenu kama kuna mtu yeyote anaweza kunisaidia nikapata kazi.
Elimu yangu kidato cha sita japo chuo nimesoma Ila niliishia mwaka wa pili.
Msahada wenu jamani, kwa yoyote mwenye connection maisha ni kusaidiana please...
Mtu wa kubadilishana kituo cha kazi anahitajika, mimi nipo Dodoma Mpwapwa DC.
Kituo ni kizuri, mazingira mazuri, maji yapo, usafiri upo 24hrs. Wa kubadilishana nae awe mikoa ifuatayo;
1. Iringa
2. Mbeya
3. Morogoro
Habari Wana JF,
Nimehitimu shahada ya Maendeleo Jamii. Natamani nipate internship au kazi halali. Msiulize kama sitafuti nipo natafuta na nimesambaza barua sehemu kadhaa lakini sehemu nyingi wanasema hawana nafasi so, kupitia Wana JF naweza kupata chochote.
Shukrani
Naibu Waziri Dugange aipongeza TARURA kwa kazi nzuri ya Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Festo Dugange ameipongeza TARURA kwa kazi nzuri ya ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini.
Pongezi hizo amezitoa wakati alipotembelea mabanda ambayo yapo...
Habari wana jamvi,
Natafuta kazi yoyote ya halali,
Elimu: Bachelor degree (shahada) ya ualimu masomo kiswahili na Geography
Umri: Miaka 28
Eneo nilipo: Dae Es Salaam, Goba
Lugha: kiswahili na English fluently (speaking and writing)
Uzoefu: Nina uzoefu wa mambo mbalimbali ikiwa ni ufundi wa...
Greetings members and guests!!!!!
Napokea malalamiko/Kero/misuguano/sintofahamu n.k kuhusu wanawake kuacha kazi kisa wanaume....
Wadada acheni hizi eti unaacha kazi kisa jamaa kasema acha mwisho wa siku ni kuonewa mpaka kufikishana dawati la jinsia na mahakamani.
Kwani nini mnafanya hivo...
Watanzania tuchangamkie fursa hizi, wakenya wasije kuwapiga bao
FaizaFoxy
USSR
Maghayo
instanbul
Pascal Mayalla
Mshana Jr
OKW BOBAN SUNZU
FRANCIS DA DON
Msanii
Mpwayungu Village
Bufa
Kaka yake shetani
UMUGHAKA
ChoiceVariable
Baada ya kutoa maoni yangu kwenye Uzi wa Bongotunacheza uitwao " FAIDA nilizo zipata baada ya kuwatoa watoto wangu English Medium na kuwaleta Kayumba" nimepokea pms nyingi sana watu wakiniuliza ninatumia mkakati gani kuhanikisha watoto wangu wanafanya vizuri kwenye somo la kiingereza kama...
Habari ya asubuhi.
Leo nina maumivu mno🥹. Moyo wangu unawaka moto wa tanuru na nahisi katika hali ya kibinadamu ninakosa uvumilivu💔.
Nilimpa mtu connection ya kazi lakini amegeuka mwiba kwangu🥹. Yes, ninajijua ni mwanamke jasiri sana katika kuvumilia changamoto lakini katika hili ninahisi moyo...
Nmechoka kuficha ndugu zangu mimi kazi kubwa mjini nabeti hakuna kingine uboss wote nautolea hukoo kwenye igaming jamani, Ni pata potea hapakaliki kivumbi uko kwenye maslots mpaka ugali upatikane...😆😆😆 Niambie slot yako moja unayoipenda na inapatikana kampuni ipi. Je ushindi wako mkubwa pia...
Hello.
Natafuta mtu mwenye maarifa ya uokaji (Bakery).
Mjuzi katika utengenezaji wa mikate,cakes na maandazi.
Mwenye kujua kutumia vifaa vya uokaji eg. Mixer, ovens etc.
Yoyote mwenye interest na baking anaweza ku apply. Ofisi zipo mwanza mjini. Karibuni.
Mimi nikijana mwenye mika 28 ninaishi mkoa wa Tanga nimehitimu chuo mwaka 2021. Kwa sasa nimejitolea katika hospitali ya wilaya. Natafuta kazi mkoa wowote na wilaya yoyote.
Kwamawasiliano na kupata CV yangu: kclafya@gmail.com
INTRODUCTION:
Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini.
Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa.
SCENARIO
Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.