Mdada wa kazi ya Upishi Zanzibar

7jero

Member
Oct 8, 2021
46
46
Habari zenu ndugu na jamaa katika jukwaa hili
Mdada wa kazi anahitajika Bububu, Zanzibar.

Majukumu yake: Kupika tu

Vigezo:
1. Awe anafaham lugha ya kiingereza. Anaowapikia wanatumia lugha ya kiingereza kama njia pekee ya mawasiliano.
2. Awe mkristu
3. Awe msafi
4. Ajue kupika vyakula mbali mbali ikiwezekana Asian food na awe mwepesi kuelewa pale atakapoelekezwa
5. Awe anaishi Zanzibar. Hii ni kwa sababu atatakiwa kufanya kazi asubuhi na jioni atarudi nyumbani kwao/kwake

Note: Usafiri wa kuja kazini na kurudi nyumbani atapatiwa.

Nicheki inbox kwa maelezo zaidi au mpigie mhusika 0788231952
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom