kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Natafuta mtu mwenye maarifa ya uokaji (Bakery)

    Hello. Natafuta mtu mwenye maarifa ya uokaji (Bakery). Mjuzi katika utengenezaji wa mikate,cakes na maandazi. Mwenye kujua kutumia vifaa vya uokaji eg. Mixer, ovens etc. Yoyote mwenye interest na baking anaweza ku apply. Ofisi zipo mwanza mjini. Karibuni.
  2. azithromycim

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Clinical officer

    Mimi nikijana mwenye mika 28 ninaishi mkoa wa Tanga nimehitimu chuo mwaka 2021. Kwa sasa nimejitolea katika hospitali ya wilaya. Natafuta kazi mkoa wowote na wilaya yoyote. Kwamawasiliano na kupata CV yangu: kclafya@gmail.com
  3. Mchawi mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Mkata nyasi za garden natafuta kazi

    Natafuta kazi za 1; Kutunza garden 2; Kukata nyasi za garden Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye kazi za garden Nipo Dar Mtoni kijichi 0715271246
  4. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

    INTRODUCTION: Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini. Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa. SCENARIO Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ghana: Maafisa 27 wa Uhamiaji wasimamishwa kazi kwa kuruhusu nyaraka bandia

    Watumishi hao wametuhumiwa kushiriki katika makosa mbalimbali yanayohusisha nyaraka bandia ikiwemo suala la kughushi visa. Kati ya waliosimamishwa Watumishi watatu ni wazoefu wakati 24 ni Maafisa wa ngazi za chini, ambapo uchunguzi unaendelea dhidi yao. Kati ya wote waliosimamishwa kwa tuhuma...
  6. P Accountant

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Dar es Salaam

    Natumaini nyote ni wazima wa afya njema. Natafuta kazi ya aina yoyote, ambayo itaweza nipatia kipato ambacho kitanisaidia kupata walau chakula na malazi. Ndani na nje ya Dar es Salaam. Taarifa zangu binafsi kwa ufupi: Kijana mchapakazi, mwenye nidhamu na mwepesi kuzoea mazingira ya kazi...
  7. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Tupe mbinu zako unawezaje ishi mjini bila kazi ya kudumu?

    Unawezaje kuishi mjini, kama DSM, bila deal la maana 🤔🤔🤔🤔
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Usimuunganishie ndugu, rafiki au mtu wa karibu nafasi ya kazi ofisini kwako

    Hii ni nature na hakika, Usijaribu kujionyesha kuwa u mwema au u mtoto wa mjini kwa kumuunganishia mtu wa karibu nafasi ya kazi kazini kwako. Mtavurugana mpaka mchanganyikiwe. Hii nimeiona kazini kwa watu kadhaa nami yalitaka yanitokee sema nikapanchi. Mtafutie kazi ndugu au rafiki katika...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kazi U.A.E ya ubaharia niliyotafutiwa na shangazi

    Wakuu hope salama, polenii na majukumu ya kulijenga taifa na familia kwa ujumla. Dhumuni la kuandika huu uzi ni namna now navyojiskia, ilikuwa mwaka 2018 baada ya kumaliza chuo nikiwa kitaa sina mchongo nikapata taarifa kuwa kuna kampuni ipo Abu Dhabi inahitaji wafanyakazi wa kwenye meli yani...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi medical laboratory assistant

    Anahitajika mtaalamu aliyesomea medical laboratory assistant/technician. Kwa mawasiliano zaidi piga 0745225561
  11. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mtanzania ndio binadamu pekee bila kumbembeleza hawezi kufanya kazi ipasavyo

    Ndugu zangu mimi ni mtanzania, ila watanzania tunahitaji mabadiliko makubwa sana hasa kwenye sekta ya ajira. Watanzania tunaringa, wavivu japo siyo wote ila asilimia kubwa tupo hivyo, nenda kwenye mabank, hosptalini, nida, manispaa, tra kwenye viwanda nakadhalika, aiseeh utachoka. Alafu umkute...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Lodhia group of companies, mwisho wa maombi ni Augusti 11, 2023

    EMPLOYMENT OPPORTUNIES AT LODHIA GROUP OF COMPANIES Lodhia Industries is one of the leading and fastest growing steel & plastic manufacturers inTanzania and is currently operating out of two locations, Dar-es-salaam and Arusha. Since thefoundations of the company laid back in 1996, Lodhia...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi la watu wa Mauzo

    Hello, Natafuta watu wenye uzoefu wa kazi hizi. -Marketing. -Sales Wakiwa jiji la Mwanza watapata kipaumbele. Tuma cv yako. Only shortlisted candidates will be contacted.
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu amtengua Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Simiyu kwa kukiuka maagizo ya Mkutano Mkuu wa BAKWATA

    Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar Zuber Bin Ally amemsimamisha Sheikh wa Mkoa wa Simiyu, Mahamoud Salum Kalokola kutokana na kukiuka maamuzi halali na maagizo ya mkutano Mkuu ya Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Mkoa uliofanyika Juni 10, 2023. Baada ya maamuzi hayo Khadhi wa Mkoa wa Simiyu, Issa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Barabara ya Mwendokasi Mbagala, inaanza kuzibwa viraka hata kabla ya kazi kuisha

    Leo, naomba kutoa dukuduku langu kuhusu hali ya barabara ya mwendokasi iliyojengwa kutokea Kariakoo Gerezani kuja Mbagala Rangi Tatu. Kwa taarifa, barabara hii inakaribia kukamilika kwa asilimia 95, na majaribio ya kutoa huduma kwa wananchi yalifanyika hivi karibuni kwa takribani wiki 2...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Kazi Iendelee hadi 2035

    Mambo mazuri yanataka muda, nasi tumeamua kwa kauli moja twende pamoja kwa umoja hadi 2035 kutekeleza miradi ya kimkakati; 1. Bomba la mafuta toka Hoima -Tanga, 2. Upanuzi wa Bandari zote nchini. 3. Bwawa la Mwl. Nyerere. 4. Reli ya SGR (Dar-Mwanza/Kigoma). 5. Upanuzi wa Uwanja wa KIA, JNIA...
  17. Yohana Ezekiel Kanyamala

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuwa Katibu Muhtasi

    Naitwa Yohana Kanyamala, natafuta Kazi katika fani ya Secretary (Katibu Muhtasi) Nina ujuzi mbalimbali pia, kama kutumia kompyuta na nyinginezo
  18. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Rais, Waziri na Wabunge hawawezi kuacha hizo kazi wakafanya kama tunazofanya sisi?

    Nazungumza hili na wao wakakumabna na tunayokumbana nayo sisi, kutokana na maamuzi wanayofanya juu yetu. Kwa sababu, kiuhalisia:- Rais hawezi kuhisi madhara ya kupanda kwa bei ya mafuta wala Waziri au Mbunge. Hawawezi kuona machungu ya kupanda kwa bei kunakosababishwa na kodi zao Hivi ni...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wagner wamepewa kazi ya kuishughulikia Poland?

    Mpaka sasa haijakuwa wazi sana juu ya kilichotokea pale kiongozi wa Wagner, Prigozhin alipofanya uasi na kuelekea kama kutaka kuipindua serikali ya Urusi. Nchi rafiki za Ukraine zilionenaka kufurahia tukio lile japokuwa wachache walitilia mashaka mtiririko mzima wa matukio.Jambo...
  20. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Watu wanaomba kazi sio masimango, hili ni jukwaa la connection za kazi sio jukwaa la show off

    Unajua vijana hamjitumi kijana una degree unaomba kazi ya hovyo. Ningekusaidia ila ujanifata PM (mtu anaesaidia hana manyanyaso)....ndio maneno yao kila siku na kwa kila mtu. Guys Ili ni jukwaa la kazi yani waomba kazi na watoa kazi wanakutana. Kwa nini utoe maneno ya kejeli kwa mwenzio. Ajira...
Back
Top Bottom