Habari za majukumu wakuu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 ninaishi Dar es salaam, Ninawaomba kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata kazi nitashukiru sana, Nimeambatanisha CV yangu tafadhali nahitaji msaada wenu, Ahsante.
Wakuu,
Nimani ulishawahi kusikia au kuambiwa kama una upungufu wa damu kunywa anjali, au kunywa chemicola inaoza damu fasta, au kuambiwa usinywe sana juice hizo kwani damu itakuwa nyingi sana.
Hii ni kweli?
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea, Wakala wa Serikali, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia nne sabini (470) kama...
Nina miaka sasa zaidi ya 10 katika mkoa wa Mara.
Katika kipindi chote hicho nimeshuhudia makamanda wengi wa polisi wa huu mkoa wanavyowajibika ila kwa huyu mkoa umepata kamanda haswa! Anasikiliza matatizo ya Wananchi na kuyafanyia kazi haraka iwezekanavyo.
Halewi madaraka, ni mtu...
Request for proposals
Survey of best practices for the success of women in technical and vocational short courses
Bids are to be returned by email to info@tz.collegesinstitutes.ca by September 15, 2023.
Contact for queries on the RFQ:
Email: info@tz.collegesinstitutes.ca
Subject Line: ESP...
Kazi ya sanaa kama ilivyo taaluma nyingine inahitaji sana discipline.
Na nidhamu ya kazi ni tatizo kubwa sana kwa kaka yetu Juma Nature.
Hatukatai Juma ni legend anaepaswa kupewa heshima, ila amekuwa anazingua sana kwa kutokubali kukua.
Usela wa uswahilini unamharibia sana.
Nature bado...
Hello guys.
Natafuta kijana wa kuuza duka la dawa za binadamu awe na zifa hizi:
1. Mwenye cheti cha Ado na umiliki wa duka la dawa.
2. Awe tayari kufanya kazi kwa bidii.
Eneo ni Dar es salaam- Kigamboni- Kisarawe 2.
NB: Kuhusu mshahara tutaelewana akijitokeza.
Asanteni.
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ameshauri Serikali kuweka utaratibu maalumu wa kuwazingatia kwanza Watumishi wanaofanya kazi za kujitolea wakati Serikali ikiendelea kufanya maboresho ya Sheria ya Ajira ili kuwasaidia kupata ajira bila kikwazo pindi zinapotangazwa.
Katika swali la msingi...
Wasalaam,
Walimu kwenye mashule ya umma yote sekondary na primary schools licha ya maslahi duni pia hawana amani, hawaheshimiki, kila boss wao ni Mfalme na Malkia, wanadhulimiwa sana, wanaonewa, elimu inapata ongezeko la laana kila siku.
Walimu na elimu vinahitaji good governance...
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe lililojigeuza kamati ya Uamuzi, limemfukuza kazi aliyekuwa Ofisa wa Afya wa Wilaya, Winston Nongwa, kutokana na kughushi cheti cha kidato cha nne kinyume cha sheria na kanuni za nchi.
Sambamba na azimio hilo, baraza hilo limetoa onyo kali...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, naomba msaada wenu kwa yoyote ambae ana fursa ya kazi kutokana na fani yangu au nje ya fani yangu.
Elimu yangu ni shahada ya elimu katika masomo ya sanaa (history na geography), nimejitolea katika shule moja ya serikali bila malipo
na...
Hellow Wana JF.
Dirisha la Usajili la shirikisho la Soka Tanzania TFF na Lile la CAF limefungwa RASMI Jana 31AUGUST 2023.
Yale yote niliyoyaomba na Kupendekeza yafanyike ndani ya wekundu WA Msimbazi hayajafanyiwa kazi kwa asilimia 90% Hii imeniuma mno kama shabiki mwanachama na Mfanyakazi wa...
Wakuu habarini za muda,
Nimerudi mbele yenu wakuu kama kichwa cha habari kisemavyo naombeni mnipatie kazi yoyote na mahali popote.
Niko tayari kufanya Niko Mwanza NNA UJUZI WA COMPUTER ila hata kazi za nguvu naweza natanguliza shukrani wakuu PM yangu iko wazi 24/7 kwa kwenye uwezo wa kunisaidia
Heshima yenu wakuu.
After a long while of unsuccessfully seeking for a job in Dar, nataka nijivike mabomu na niende Zanzibar kutafuta kazi/kibarua.
Kwa anaefahamu, kuna fursa za manual labour maeneo gani ndani ya Zanzibar?
Stay blessed.
Ndugu yetu Pascal Mayalla amesugua benchi sana. Na kama kutumia uwezo wake kuwashawishi viongozi, ametumia wote.
Ni muda mwafaka sasa wa mwana JF mwenzetu kuukwapua ukuu wa wilaya ya mtwara. Bwana Pascal Mayalla anayohaiba ya kuwa mkuu wa wilaya na anaijua miiko ya uongozi.
Napaza sauti yangu...
Ni ile njia kuu ya kati unakuta muda wowote inawaka taa ya njano pekee hali inayosababisha kuharibu utaratibu kwa watembea kwa miguu hasa wanaotoka Stendi Kuu kuelekea kupanda gari zinazoenda sehemu mbali mbali ndani ya jiji,
Mara nyingi wavuka kwa miguu ni wengi muda wowote hivyo huvuka baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.