kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa ujenzi wa nyumba njooni mnipe mawazo na mimi niwape kazi

    Habari, Kama nina nyumba ya kawaida tu siyo ghorofa na sitaki kuibomoa ila mahali hapo hapo nataka juu ya nyumba hii nijenge nyumba nyingine ambayo haitategemezwa na nyumba hii ya zamani kiasi hata hii ya chini ikichakaa sana na kubomoka ile ya juu itasimama bado. Watalaamu wa ujenzi nijuzeni...
  2. Exile

    JamiiForums Tanzania Hivi hizo tozo za jengo zinafanya kazi gani? maana umeme kutwa kukatika

    Wakuu juzi tu hapa wameongeza kodi ya mita za luku kutoka 1000 hadi 1500 inamaana kwa siku za tarehe 1 ukinunua umeme wa 5000 unapata unit 9, inamaana inakua umenunua umeme wa 3500. Kinacho sikitisha na kuchosha ni kukatika kwa umeme hovyo, sasa nyie wizara ya nishati hizo hela mnazotukata...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua mtu akikwambia nimeenda sehemu maalamu kufanya kazi maalumu ina maana gani?

    kuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
  4. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Poleni na mihangaiko ya siku nzima Wakubwa zangu kwa Wadogo zangu., Kama mada inavyojieleza natafuta kazi yoyote halali ambayo inaweza kunikwamua kwenye hii hali mbaya niliyonayo ya kiuchumi maana nimekuja kujikuta nina msongo mkubwa wa mawazo. Sifa zangu: Mtahiniwa wa mitihani ya ATEC 2(Hapa...
  5. Mjomba Nchumari

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Nurse/Medical Assistant

    Hello kwema? Natafuta Nurse/Medical Assistant awe amekamilika vyeti vya taaluma husika. Eneo la kazi ni Mbezi mwisho barabara ya kuelekea Kinyerezi Dar es Salaam. Awe tayari kufanya kazi shift za usiku, akiwa maeneo karibu na hayo itapendeza. Akiwa tayari hata leo aje aanze kazi, mshahara...
  6. NEGAN

    JamiiForums Tanzania IT wa HESLB hamko serious na kazi

    Hii nchi kila kitu ni cha hovyo. HESLB mmefungua dirisha la kuomba mkopo lakini mpaka muda huu watu bado wanaohangaika kukamilisha vipengele. Mfumo wenu ni mbovu nimelipia control number lakini kila nikitaka ku-create account page ina-load tu tangu asubuhi. Kama mlijua hamjajipanga kwa nini...
  7. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Wenye fani zenu za kisiasa,watanzania hawaitaji mikutano yenu,simamisheni tufanye kazi!

    Nimestaajabishwa Sana na baadhi ya mwanasiasa kufikia kukodi helikopta kupita kijiji kwa kijiji kana kwamba tupo kwenye kampeni za ugombea nafasi za uongozi wa kitaifa,sioni mantiki ya jambo hili kufanyika kwa wakati huu kwani sio muda wake,nashauri kwa weakness AMBAYO baadhi ya taasisi...
  8. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU na Usalama wa Taifa, fuatilieni haya; nchi inahujumiwa. Kuna rushwa, urasimu na ufisadi mkubwa

    Ni usiku mnene. Naamua kuandika DOKEZO hili. Kwa uchungu wa yanayoendelea katika nchi yangu. Katika mada hii, nitaomba wachangiaji kujadili kwa uwazi kabisa, na kuongezea mifano mingine baada ya hii nitakayokuwa nimeiweka hapa. Lengo ni Nia njema kabisa kurekebisha pale tulipokosea na...
  9. ElsaAnna

    JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta kazi

    Wana jf kwema, natafuta kazi yoyote iwe halali nipo Arusha, professionally mm ni mwalimu wa Geography na history. Nina ujuzi wa computer. Fluent in English and Swahili.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Serikali mtafutieni Mandonga kazi yakufanya: vipigo anavyopata tutampoteza

    Mandonga alindwe, awekewe ulinzi asiingie ulingoni Ni aibu ukawa na mwili mkubwa vile then ukawa unapigwa tu kila siku. Ngumu anazopigwa na huyu Mganda zinaitwa Kideath beeper; hizi ngumu siyo nzuri maana zinaweza kugeuka death zisipodhibitiwa. Mpeni kazi huyu mzee bado tunamuhitaji
  11. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Nia ya mheshimiwa Rais ni njema, turekebishe mapungufu yaliyoonekana ili DPW aanze kazi haraka hapo bandarini.

    Nchi hii ina mambo jamani, yaani kuna vita zinaendelea chini chini huko ndani ya chama Mungu amsaidie mama yetu SSH. Nia ya uwekezaji pale bandarini ni njema kabisa, dhamira safi kabisa. Ni uwekezaji unaokwenda kukata mirija wa watoto wa mjini ambao wamekuwa wakinyonya pale kwa raha zao. Sasa...
  12. AY 5225

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unatamani ungefanya tofauti ulipokua na umri wa chini ya miaka 25?

    Heshima yenu wakuu. Kuteleza na kuanguka kisha kuinuka tena na kusonga mbele ni shule nzuri sana ya vitendo ambayo humfanya mwanadamu kuwa na mbinu thabiti za kutatua changamoto zake za hapa na pale katika maisha. Wazungu wanasema, "mistakes are the best lessons". Nawakaribisha kwenye uzi huu...
  13. amrwanda

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kunyoa Dar au Arusha

    Habari zenu, Mimi ni kinyozi mzoefu natafuta kazi ya kunyoa, nipo tayari kufanya kazi Dar au Arusha, Aliye tayari a nitumie mawasiliano yake pm.
  14. S

    JamiiForums Tanzania karibuni vijana wenye mawazo ya teknologia ambayo mnataka yafanyiwe kazi.

    kama kichwa cha uzi kinavyojieleza . nawakaribisha vijana wote wenye mawazo ya teknologia yabayoweza kua biashara au msaada kwa taifa ili yafanyiwe kazi.
  15. CCSN

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Kazi - Kuendesha Guest House Mwanza

    Habari wana Jamii, Ninatafuta mtu anayeweza kuendesha nyumba ndogo ya wageni iliyoko mjini Mwanza, maeneo ya Buswelu. Mwombaji kazi awe na elimu na uzoefu katika mambo ya biashara na kompyuta (kwa ajili ya uendeshaji wa biashara hiyo na kuitangaza katika majukwaa tofauti tofauti likiwemo la...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kufanya kazi za welding

    Habari, Natafuta kijana wa kufanya kazi za welding. Kituo kipo tayari kuanza kazi.. Kijana mwenye ujuzi huo au alietoka veta anifuate dm kwa mazungumzo zaidi. Kituo kipo Dar es salaam. Karibuni kwa yeyote mwenye uhitaji wa kazi. Asanteni.
  17. Halmashauri ya Jiji DSM

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Nafasi za Kazi - Mtendaji wa Mtaa (Nafasi 2)

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam amepokea kibali cha kutekeleza Ikama na Bajeti kwa Ajira mpya katika mwaka wa Fedha 2022/2023 yenye Kumb. Na. FA.97/228/01’TEMP’/06 ya tarehe 06 Aprili, 2023 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
  18. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Aliyewapa tenda CCM kazi ya kutete DP world kwa wananchi ni nani? Amewapa shilingi ngapi?

    Kuna campaign nchi nzima na mikutano ya usiku na mchana kutetea uwekezaji Bandari ya Dar es salaam na uwekezaji wa baadae kwa Bandari zote za Tanzania kwa kampuni Moja tu ya DP World. Hizi pesa za campaign zingewekezwa kwenye elimu na barabara nchi ingekuwa mbali kiuchumi. Mimi naona campaign...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za Video production na Matangazo kwa kulipa anayeleta dili

    Habari wadau. Tumefungua Ofisi mpya studio tunatafuta kazi za video production, kuandaa matangazo, video shooting, Event Management kwa mwenye dili hilo anicheki tuangalie tunafanyaje. NB: Malipo yapo kwa atakayeleta dili.
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Abbas Mtemvu Awaonya Viongozi Wasiofanya Kazi za Ilani

    ABBAS MTEMVU AWAONYA VIONGOZI WASIOFANYA KAZI ZA ILANI Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Dar Es Salaam Abbas Mtemvu, amesema Diwani yoyote wa chama cha Mapinduzi katika Mkoa huo na Mbunge asiyetekeleza Ilani ya chama afai kwa uongozi . Mwenyekiti wa CCM mkoa Abas Mtemvu, alisema...
Back
Top Bottom