kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. U

    JamiiForums Tanzania Je, Dkt. Wilbroad Slaa anajipenyeza CHADEMA kiaina kuimaliza kazi aliyopewa na CCM?

    Siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 Dr Wilbroad Slaa wakati huo akiwa GS wa CHADEMA na akiwa mchezaji tegemeo ktk safu ya ushambuliaji aliwatosa wenzake dakika chache kabla ya mchezo kuanza... Kila mtu (nikiwemo mimi) alipigwa na butwaa na mioyo ya matumaini ya ushindi dhidi ya CCM...
  2. JamiiForums Tanzania Mungu alifanya kazi kwa siku 6 kisha ya saba akapumzika. Tuliwezaje kuijua kama ni Ijumaa, Jumamosi au Jumapili?

    Wakuu nina swali kidogo hapa.Inasemekana Mungu alifanya kazi Kwa siku 6 kisha ya 7 akapumzika.Sasa sisi waumini wa madhehebu mbalimbali tuliwezaje kuijua kama ni IJUMAA, JUMAMOSI au JUMAPILI?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Kigamboni

    Habari za saizi wakuu, Naitwa Mary nina miaka 24 nina elimu ya chuo naombeni kazi yoyote halali. Nifanye nakaa Kigamboni hata kesho Niko tayari kuanza. Simu: 0682787031
  4. JamiiForums Tanzania Simba kazi kwenu

    Yamebaki masaa machache Simba kwenda kulitia taifa aibu.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole anafanya kazi ya Ubalozi hasa! Anatafuta fursa kwa nchi. Kwa hili, nampongeza

    Diplomasia ya uchumi anaimudu na hii si mara ya kwanza. Kiwanda cha biological pesticide hicho hapo kinakuja Kibaha. Msikilize hapa kwenye video clip hii
  6. JamiiForums Tanzania Kazi nimemaliza

    Jana nilipost kuhusu hii engine kuchanganya maji na oil. Na hatimae leo nimemaliza kurekebisha na engine iko safi haichanganyi tena
  7. JamiiForums Tanzania Chalamila amesema anaweza kupigana ngumu na yeyote, anaweza kutumia chuma chake ndani ya sekunde na hakuna wa kumfanya chochote

    Shibe ni mwana malevya na njaa ni mwana malegeza.. 🤸🤸🤸 Chalamila amesema anaweza kupigana ngumu na yeyote, anaweza kutumia chuma chake ndani ya sekunde na hakuna wa kumfanya chochote. Hii kauli hutolewa katika mizozo au matisho vikao vya kifamilia au kiukoo, Mkoa wa DSM wageuka ni ukoo wa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu au yoyote

    Kwa majina naitwa Abdallah nna miaka 23 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi ya ualimu shule binafsi au hata Hotelini, Kiwandani nipo tayari nipo Dodoma mawasiliano 0657897884
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwakubusi: Vyama vya Upinzani kazi yao ni kufukuzia tu ubunge na ruzuku, haviwezi kulikomboa Taifa

    "Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani. Kila...
  10. JamiiForums Tanzania Wasichana wa kazi wa ndani

    Jamani nafikiri muda wa kubadilisha sheria au ku enforce vizuri na vikali sawa; wasichana wa kazi iwe marufuku kulipwa at the very most minimum ya 200k kwa mwezi na wale wa kwenda na kurudi at least 150k and I thk minimum salary is around hiyo kwa Serikali; which means hata kama ukiwaongeza Poa...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro: Haikuwa Kazi Rahisi Kushinda Kuandaa AFCON 2027

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema haikuwa kazi rahisi kwa nchi za Tanzania, Kenya na Uganda kushinda zabuni ya kuandaa Fainali za Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027). Dkt. Ndumbaro amesema hayo Septemba 29, 2023 jijini Dar es Salaam...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Postamasta wa Zamani Macris Mbodo atakuja kufanya kazi gani? Je, Mamlaka ya Uteuzi ilichemsha kumlinda Maharage?

    Yeye mwenyewe anatuambia kuwa POSTA MASTA aliyekuwapo anafanya kazi nzuri sana. Macris Mbodo ameifanya Tanzania Posts Corporation kuwa mbele kuliko mashirika ya Posta yaliyo mengi katika bara la Afrika. Na kwa kutambua hilo yuko masomoni kujinoa ili afanye vizuri zaidi. Huku nyuma anatuletea...
  13. JamiiForums Tanzania Mapenzi au kazi kipi kitangulie?

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Chochote kinaweza kutangulia hasa Kwa wale Watu Exceptional, wateule, wenye bahati zao. Ambao Watu hao Duniani ni wachache yaani mmoja mmoja. Watu hao ndio wanaovunja Kanuni za Asili na kuwafanya Watu wengine waseme Maisha hayana Formula. Ni kweli Maisha...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Chura, shape, sura na kazi nzuri ya mkeo vimekusaidia nini katika maisha?

    Moja ya matarajio yasiyo na uhalisia ktk maisha ya ndoa ni kuwaza kuwa "kwenye ndoa kuna Raha na furaha". Kamwe hili halipo. Huwa wanaume wanahangaika kutafuta wanawake wenye mjumuiko (package) wa chura, shape, sura, rangi na kazi nzuri wakidhani vitu hivi vitaongeza raha na furaha ktk ndoa...
  15. JamiiForums Tanzania TRA fanyeni kazi kwa weledi sio kwa uonevu na kisiasa

    Kuna malalamiko mengi sana TRA wako mtaani kukamata kamata magari ambayo hayajalipiwa Kodi ya Makadirio na kuna mengine yamelipiwa kodi tayari lakini mnalazimisha liingie YARD halafu mtu akienda kulitoa baada ya kua mmejiridhisha limelipiwa YARD wanadai walipwe 25,000 kwa siku au masaa hayo gari...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Ufanyaji kazi wa viagra

    Hivi vidonge vya viagra,ukimeza na ukataka kuviua nguvu mwilini unatumia nini, nilikuwa na mechi ya ugenini leo,sindio nikameza vya gram50, aisee ni headache na kizunguzungu,nyuchi zitatuua wallah
  17. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta Afisa Mauzo

    MAPADA SOAP is an industry that deals with the production of soap. The industry is located in Ilala District, Dar es Salaam, Tanzania. The industry is situated at the foot of Banana Bus Stop, 6.8 km from Kitunda. Plot.Mzg 19. Phone: +255765180704, +255627753135, Email: mazingirapacha@gmail.com...
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa IT kuna kazi anifanyie

    Nahitaji mtu wa IT Kuna kazi nataka anifanyie, 0624835630 Kuna maokoto yake apa chap
  19. JamiiForums Tanzania Naombeni kazi wakuu hali ni mbaya

    Habari zenu wakuu, Hope ni wazima otherwise Allah awafanyie wepesi. Lengo la uzi huu ni kuomba kazi, kibarua au shughuli yoyote halali itayoniingizia kipato. Nina umri wa miaka 27, nina elimu ya Diploma ya Information Technology ila sijabahatika kupata hata kazi ya kujitolea (mimi ni kati ya...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba Serikali iwashughulikie ipasavyo CWT pamoja na Afisa Utumishi wasio na weledi

    Hakuna Mwalimu yoyote yule ambae anakikubali hicho chama Cha CWT kwa miaka mingi sana wameendelea kutafuna ada ya 2% kwa Kila Mwanachama ambao ni wengi mnoo, kipindi Cha Magufuli alisema inakadiriwa kwamba wanakusanya zaidi ya Tsh billion 3 kwa mwezi huku impact ya moja kwa moja kwa walimu hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…