Trafiki Kigamboni wanalalamika uzembe wa Tanroad/Tarura Kigamboni unavyowapa kazi ya ziada

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Huko kigamboni maeneo ya kisiwani (kwa Steven) pameonekana kulalamikiwa sana na baadhi ya askari wa usalama barabarani kutokana na foleni ya kijinga inayochangiwa na uzembe wa Tarura/ Tanroad!

Itakumbukwa kila mwaka serikali hutoa fungu la kurekebisha kurudia eneo hilo!
Hadi sasa eneo hilo limesharudiwa kufumuliwa mara ya tano kila mwaka na bado mashimo eneo hilo hayaishi!

Wakitolea mfano shimo lililopo eneo la MOIL (ESCROW) limeonekana kuwa kero kubwa kwa watumiaji wa barabara hata kwa askari kutokana na msongamano ambao unachangiwa sana na uchakavu wa barabara eneo hilo Ambapo magari yanalazimika kupita upande mmoja kwa foleni!

Askari hao wanasema taarifa zimeshapelekwa tarura/tanroad kuomba wafukie pale hata kwa dharula lakini hakuna chochote kilichofanyika hadi sasa jambo linalowagharimu kama askari kushindwa kwenda sehemu nyingine kutekeleza majukumu yao ya usalama barabarani!

Tunaomba waziri Bashungwa na wizara ya ujenzi mtuondolee watu wazembe wasiyoweza kusimamia majukumu yao kwa wakati!
Tunaomba mtuondolee hawa watumishi wazembe kigamboni

IMG_20231128_162910_922.jpg
 
Tanroad vs Police HT 2 : 0
 
Huo msemo hauna maana yoyote maana wanaotaabika ni wananchi wapiga kura,

Foleni inayochangiwa na uzembe inatakiwa kulaaniwa na wote haijalishi askari au mwananchi

Malamiko yotote ya polisi ni kero kwa wanachi waliofanywa kuwa wahanga wao wa kudumu
 
Jeshi letu linatumika vibaya sana kukava mapungufu yanayohitaji miundombinu!

Hata kwenye mataa kama hawaziamini taa waziondoe kuliko kuweka polisi kuongoza magari!

Sehemu ya kuongoza na mashine anakaaje binadamu kama siyo uzembe
 
Huko kigamboni maeneo ya kisiwani (kwa Steven) pameonekana kulalamikiwa sana na baadhi ya askari wa usalama barabarani kutokana na foleni ya kijinga inayochangiwa na uzembe wa Tarura/ Tanroad!

Itakumbukwa kila mwaka serikali hutoa fungu la kurekebisha kurudia eneo hilo!
Hadi sasa eneo hilo limesharudiwa kufumuliwa mara ya tano kila mwaka na bado mashimo eneo hilo hayaishi!

Wakitolea mfano shimo lililopo eneo la MOIL (ESCROW) limeonekana kuwa kero kubwa kwa watumiaji wa barabara hata kwa askari kutokana na msongamano ambao unachangiwa sana na uchakavu wa barabara eneo hilo Ambapo magari yanalazimika kupita upande mmoja kwa foleni!

Askari hao wanasema taarifa zimeshapelekwa tarura/tanroad kuomba wafukie pale hata kwa dharula lakini hakuna chochote kilichofanyika hadi sasa jambo linalowagharimu kama askari kushindwa kwenda sehemu nyingine kutekeleza majukumu yao ya usalama barabarani!

Tunaomba waziri Bashungwa na wizara ya ujenzi mtuondolee watu wazembe wasiyoweza kusimamia majukumu yao kwa wakati!
Tunaomba mtuondolee hawa watumishi wazembe kigamboni

View attachment 2827631
Mkuu hii sehemu hadi leo bado inasumbua kweli. Shimo moja linasababisha foleni kubwa miezi zaidi ya 6! Hii nchi sasa hivi ni bora liende tu
 
Back
Top Bottom