Maana ya kiroho mtu akichota mchanga katika eneo lako la kazi, biashara au mahali ulipokanyaga

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,650
9,239
Nitaeleza kwa uelewa wangu,

Mtu akikuchota namaanisha akichota mchanga wa unyayo wako (ulipokanyaga) au eneo unalofanyia biashara, tegemea mtaji kushuka wateja kuisha kabisa au mambo yako kuyumba kila utakacho fanya utaangukia pua.

UFANYE NINI UNAPOONA MTU KAKUCHOTA?
Unachota mchanga wa hapo hapo kwenye biashara yako (kiasi kidogo) ila usichote kwa mkono wako tumia kitu kuchota mchanga huo, kisha unaenda kuuzamisha chini kwenye mto usiokauka.

Baada ya hapo unachota mchanga wa chini wa kwenye huo mto kwa kuzamisha mkono chini ya maji unaondoka nao ukifika kwako unauchanganya na chumvi ya unga kisha unaukaanga kama karanga, baada ya hapo unauacha upoe ukipoa unaenda nao kunyunyizia kwenye eneo lako la kazi au biashara kwa nje.

NB: Hii thread nmeandika baada ya kusoma stori ya mbunge flani kumbananisha mtu aliyetaka kuchota mchanga kwenye hoteli yake

Wazee wa maombi mnisamehe hii itawafaa wote tunaoamini ktk upande wa pili wa kiroho ukiona haikuhusu pita kimya kimya.
 
Halafu mwisho wa siku wote tunakufa na kuzikwa kasehemu kadogo mno ka ardhi bila ya chochote kile kingine.
 
UFANYE NINI UNAPOONA MTU KAKUCHOTA?
Unachota mchanga wa hapo hapo kwenye biashara yako (kiasi kidogo) ila usichote kwa mkono wako tumia kitu kuchota mchanga huo, kisha unaenda kuuzamisha chini kwenye mto usiokauka,

Baada ya hapo unachota mchanga wa chini wa kwenye huo mto kwa kuzamisha mkono chini ya maji unaondoka nao ukifika kwako unauchanganya na chumvi ya unga kisha unaukaanga kama karanga, baada ya hapo unauacha upoe ukipoa unaenda nao kunyunyizia kwenye eneo lako la kazi au biashara kwa nje.

NB: Hii thread nmeandika baada ya kusoma stori ya mbunge flani kumbananisha mtu aliyetaka kuchota mchanga kwenye hoteli yake

Wazee wa maombi mnisamehe hii itawafaa wote tunaoamini ktk upande wa pili wa kiroho ukiona haikuhusu pita kimya
Unaweza kuyafanya hayo ukatengeneza shida mpya, nadhani njia rahisi kwa zote ni kutumia hii software 👇

1701078592036-png.2826630
 
Attachments

  • 1701078592036.png
    1701078592036.png
    10.9 KB · Views: 18
Wanaoweza kusanya mchanga mwingi ni wale wamiliki wa mabasi.. vyombo vya usafiri
 
Nitaeleza kwa uelewa wangu,

Mtu akikuchota namaanisha akichota mchanga wa unyayo wako (ulipokanyaga) au eneo unalofanyia biashara, tegemea mtaji kushuka wateja kuisha kabisa au mambo yako kuyumba kila utakacho fanya utaangukia pua,

UFANYE NINI UNAPOONA MTU KAKUCHOTA?
Unachota mchanga wa hapo hapo kwenye biashara yako (kiasi kidogo) ila usichote kwa mkono wako tumia kitu kuchota mchanga huo, kisha unaenda kuuzamisha chini kwenye mto usiokauka,

Baada ya hapo unachota mchanga wa chini wa kwenye huo mto kwa kuzamisha mkono chini ya maji unaondoka nao ukifika kwako unauchanganya na chumvi ya unga kisha unaukaanga kama karanga, baada ya hapo unauacha upoe ukipoa unaenda nao kunyunyizia kwenye eneo lako la kazi au biashara kwa nje.

NB: Hii thread nmeandika baada ya kusoma stori ya mbunge flani kumbananisha mtu aliyetaka kuchota mchanga kwenye hoteli yake

Wazee wa maombi mnisamehe hii itawafaa wote tunaoamini ktk upande wa pili wa kiroho ukiona haikuhusu pita kimya kimya.
Ikitokea hata Marekani tufanye hivi hivi au ni bongo tu ?
 
Nitaeleza kwa uelewa wangu,

Mtu akikuchota namaanisha akichota mchanga wa unyayo wako (ulipokanyaga) au eneo unalofanyia biashara, tegemea mtaji kushuka wateja kuisha kabisa au mambo yako kuyumba kila utakacho fanya utaangukia pua.

UFANYE NINI UNAPOONA MTU KAKUCHOTA?
Unachota mchanga wa hapo hapo kwenye biashara yako (kiasi kidogo) ila usichote kwa mkono wako tumia kitu kuchota mchanga huo, kisha unaenda kuuzamisha chini kwenye mto usiokauka.

Baada ya hapo unachota mchanga wa chini wa kwenye huo mto kwa kuzamisha mkono chini ya maji unaondoka nao ukifika kwako unauchanganya na chumvi ya unga kisha unaukaanga kama karanga, baada ya hapo unauacha upoe ukipoa unaenda nao kunyunyizia kwenye eneo lako la kazi au biashara kwa nje.

NB: Hii thread nmeandika baada ya kusoma stori ya mbunge flani kumbananisha mtu aliyetaka kuchota mchanga kwenye hoteli yake

Wazee wa maombi mnisamehe hii itawafaa wote tunaoamini ktk upande wa pili wa kiroho ukiona haikuhusu pita kimya kimya.
🤣🤣🤣
 
WAziri ana imani ya kichawi
Wananchi nao hawako nyuma
 
Umechelewa sana kuja kumtetea, ananuka sasa kama Lazaro
Wanasiasa wote hizo ndo mambo zao wewe unadhani mtu aliyefukuzwa uwaziri mara tatu ndani ya awamu moja anarudije madarakani? Unadhani inatokea tu ?
 
Back
Top Bottom