Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,006
- 12,267
Katika vita jambo la msingi askari awepo vitani anapaswa kuwa nalo ni ile spirit ya kupambana dhidi ya adui kwa hali yoyote ili amuangamize.
Hii kwa mifano michache nayo ifahamu ni pamoja na changamoto aliyokutana nayo marekani pale alipokuwa ana pigana na Vietnam marekani alitandikwa na Vietnam chovu ya wakomunisti huku yeye akiwa na jeshi bora lenye kila kitu ila spirit ya mapambano ya Vietnam ya kila hali iliwapa ushindi.
Marekani alifanya uharibifu wa kila namna na uharamia wa kila namna ila mwisho wa siku alipakimbia Vietnam.
Hivyo hivyo miaka ya 1950s kupita Korea marekani alipambana na China na kwa asilimia kubwa alikuwa anaiteka Korea nzima ila baada ya jeshi chovu la wakomunisti wa China lililo toka kupigana vita vya wenyewe kwa mwenyewe kwa muda mrefu kutia mguu marekani na ubora wake alitandikwa na kurudishwa nyuma pakubwa sana.
Mpaka mageneral wamarekani kushangazwa na spirit ile ya mapambano waliyokuwa nayo wale wachina walikuwa wanapambana kwenye kila hali.
Kwa jinsi Israel anaendesha vita vyake pale Palestine,Gaza anapitia same scenario kama waliyokuwa wanakumbana nayo Marekani mfano wa maeneo niliyo taja vita vya Gaza ni vya muda mrefu na hali ya mapambano waliyo nayo watu wa Gaza dhidi ya Israel ndio kitu kitakacho mpatia upinzani mkubwa Israel.
Kila mbinu ya kiharamia Israel amekwisha itumia Gaza kuangamiza ila mpaka sasa haijafua dafu. Israel anapambana na watu wenye spirit ya mapambano na ambao suala la wao kufa kwa ajili ya kutetea kilicho chao sio shida hapa ndipo ulipo ugumu wa vita mara nyingi.
Unaweza shambulia na kufikiri umemaliza kikosi kizima baada ya muda wanaibuka watu wengine wakipambana na wewe lazima vita uone chungu na ukimbie.
Wanakufa hawa wanaibuka hawa hiki ndicho kitu anacho pambana nacho Israel ni ngumu kushinda aina hizi za vita labda ufanye maangamizi ya kiatomiki kama aliyofanya marekani pale Japan.