Jina la Marehemu nalihifadhi...
Kazaliwa tarehe 7 Mwezi July, 2023
Kafariki tarehe 6 Mwezi July, 2023
Kaburi la huyu Marehemu Mpendwa liko Makaburi ya Mzimuni Kawe mita chache tu upande wa Mashariki ulipo Mbuyu mkubwa wenye Vitimbi vingi na Matukio mengi.
Kadhia hii hii (ambayo ipo sana...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amewasimamisha kazi watumishi nane katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyela wakiwepo walimu wakuu watano, wahandisi wawili na ofisa manunuzi na kuagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi.
Homera amefikia uamuzi huo jana...
Halina ubishi teuzi zote za akina Nape Nnauye, Makongoro Nyerere, Januari Makamba, Ridhiwani Kikwette, Halima Bulembo, Maharage Chande, Vita Kawawa na wengineo wengi zilikuwa ni kulipa fadhila kwa wale wanaoitwa "waasisi wa CCM."
Wateule wote hao hapo na wengine wengi lazima waepita kwa JK au...
Salaam,
Nimeona mijadala mingi humu ikizungumzia sakata la kocha wetu ambaye amenukuliwa na vyombo vya habari nchini Afrika Kusini kuhusu sababu za yeye kuondoka kambini.
Kwa upande wa klabu bado hatujasema chochote, taarifa yetu ya awali tulitoa kuhusiana na yeye kuondoka kambini kwa sababu...
Hii iwafikie wote wanajua haki za binadamu na uhuru binafsi katika kuishi maisha kwa raha bila kuvunja amani na usalama wa nchi na raia wake.
Katika hali ya kuwa vizuri kiakili, kiuchumi na kuwa baharia mpambanaji wa nguvu, napata kila kitu Kwa wakati na muda wote, najua kufanya kila aina ya...
Nawaza tu, endapo Magufuli angekuwepo leo;
1. Train ya umeme ingekuwa inapiga kazi usiku na mchana na serikali ingianza kuingiza pesa za kutosha.
2. Bwawa la Mwl. Nyerere lingeanza kuzalisha umeme wa kutosha na leo hii stori za kukatika umeme zisingekuwepo.
3. Kalemani angekuwa Waziri wa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Uvinza mkoani Kigoma, Zainab Mbunda na Mweka Hazina wa Halmashauri hiyo Majid Mabanga ili kupisha uchunguzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU), kwa madai ya kuchelewesha utekelezaji wa miradi...
Boniface Simbachawene amewachana live watu waache visingizio na watafute pesa kwa kufanya kazi zaidi kwani maisha sio magumu Bali mahitaji ya pesa yameongezeka.
My Take
Watu waambiwe ukweli hakuna kupakwa mafuta Kwa mgongo wa chupa.😂😂
=====
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya...
Nimewaza jinsi watu tunavyotumia muda mwingi kwenye maisha yetu katika kutafuta hela. Iwe ni muajiriwa wa kawaida, au hata tajiri, wote wanahangaika na pirika za kiuchumi, na kwa ujumla lengo kuu ni kupata pesa zaidi.
Sasa nimejiuliza hivi haiwezekani kuwa na hela za kutosha kiasi kwamba...
Uhuru wa Kujieleza unamaanisha kuwa Huru kutoa maoni yako kwa njia yoyote ambayo haiondoi Haki za Watu wengine. Unaweza (na unapaswa) kujisikia Huru kukosoa kazi ambayo Viongozi wako waliochaguliwa wanafanya.
Ubadilishanaji Huru wa Mawazo, Maoni na Taarifa hutupatia Maarifa tunayohitaji kufanya...
Mh.Rais Samia ameendelea kuwafundisha watanzania haki zao za kiraia....UKWELI UKWELI UKWELI.
Amelikataa ombi la mh.mbunge wa Kilwa Kusini ndg. Ally Kisinge la kulifuta eneo lililo zaidi ya kilomita moja kutoka pwani linalomilikiwa kisheria na kampuni ya kiwekezaji ya KILWA YARK CLUB.
Mbunge...
Wakuu,
Watoto ni moja ya kundi ambalo linapitia sana unyanyasaji wa kijinsia hasa kwa kuwa hawawezi kujitetea kutokana na udogo wao.
Kwenye upande huu majumbani, wazazi/walezi huwa macho hasa wakiwa na mfanyakazi wa kiume, mfanyakazi akiwa wakike kunakuwa na ka uaminifu kuwa hawezi kuwafanyia...
Hili ndilo kundi kubwa linaloibuka kwa kizazi hiki cha dot.com, kijana akishasoma na kuhitimu na bahati mbaya ajira ya fani yake ikachelewa kidogo huwa hajiongezi hata kidogo unfortunately linalofuata ni kukata tamaa na kuona serekali hii mbaya Sana labda lissu atakapokuwa rais nitapata ajira na...
Heshima yenu wakuu.
Niko Zanzibar kwa siku kadhaa sasa na nimekuja kwaajili ya kutafuta ridhiki. Naomba tips/muongozo kwa yeyote anayejua wapi naweza kupata kazi/kibarua na itapendeza zaidi malipo yakiwa ni kwa siku maana sina makazi.
Lengo langu ni kuwa na kazi mbili; moja ya kuifanya asubuhi...
Siku moja baada ya Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (CA) kutoa taarifa ya kumsimamisha Kazi Ezra Chiloba, imebainika sababu ni ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 11.2, ambazo ni Fedha za Akiba za Mradi wa Nyumba za Wafanyakazi.
Ripoti ya Kamati Maalum ya Ukaguzi na Kamati ya Dharura...
Wakati wa Merchantalism, Nchi za ulaya zilitumia sana Jeshi kutoa ULINZI kwa wafanya biashara na misafara Yao iliyozinguka duniani kote kukusanya vitu vya thamani ambavyo vilikuwa muhimu kwa ustawi wa mataifa Yao.
Kwenye Colonialism naona Hali ni sawa, wazungu kwalitumia Jeshi lao kupata...
Wakuu nauliza swali kutokana na Tangazo la kazi la NSSF, wanasema only wanaojitolea na mikataba ya muda mfupi.
Sasa je Kuna watu wanajitolea katika taasisi mbali mbali, za Serikali. Na wana vigezo husika kama vinavyotakiwa lakini hawaruhusiwi kuomba kwa sababu ya hawajajitolea NSSF.
So...
Wakuu habari, kama mmeona sikuwa active hapa online, hata kwenye simu kwa wale mliokuwa na my contacts since March.
Nitaelezea one day ilikuaje but kwa wale mnaofatilia habari mtakuwa mliona this year March ilitokea ajali mbaya sana ya treni ya Tazara, mtu aliyegongwa it was me, na nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.