kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Huu ni mti Gani!? Kazi yake ni ipi!?

    Nimeukuta umejiotea pembeni ya nyumba... Je ni dawa!?... Inatumika kuponya nini!? 👇
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini wamasai wengi wameridhika na kazi za ulinzi? Je, huwa ni ndoto zao?

    Walinzi wengi ni wamasai na wanaonekana kuipenda na kutokuchoshwa na kazi hii ya ulinzi , je ndiyo ndoto yao kubwa na yenye sifa?
  3. JamiiForums Tanzania Nisaidieni kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online iitwao tausi portal

    Habari, naomba mwenye uzoefu wa kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online uitwao tausi portal unaopatikana katika tovuti ya Tamisemi, anisaidie namna ya kupata mawasiliano ya huduma kwa wateja, kwani mtandao umekuwa na changamoto ya kuchelewa kutoa control number ili kupata leseni ya...
  4. JamiiForums Tanzania Majura, Askari wa Kituo cha Mabatini-Kijitonyama anayefanya kazi akiwa amelewa

    Huyu Askari anafahamika kama Majura yupo Kota za FFU Mombasa karibia na shule ya msingi. Nae alikuepo kwenye kikosi kinachovamia bar na bunduki kutafuta mabinti wanaojiuza. Huyu Askari huwa yuko chakari (kalewa) muda mwingi wa kazi na hata boss wake wa Mabatini anajua na hajawahi kumchukulia...
  5. JamiiForums Tanzania Kama umejiajiri unapaswa kufanya kazi kwa bidii, ukiajiriwa acha sifa fanya jukumu lako tu

    Hello! Ndio hivyo wazee, kama umejiajiri fanya kazi kwa bidii maana biashara ikifilisika na wewe umefilisika automatically bila kipingamizi. Ila kama umeajiriwa neno bidii halikuhusu, kumbuka kuwa kama ulijaza mkataba wa kuanza kazi ni vyema ujue kuna mkataba wa kumaliza kazi. Watu wengi...
  6. JamiiForums Tanzania Kitengo cha Huduma kwa Wateja TANESCO kinafanya kazi chini ya kiwango

    Moja kati ya changamoto kubwa ambayo Watanzania tunayo kwenye huduma zenu ni kuhusu kuwahudumia wateja au watu wenye uhitaji. Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi, kwa miezi kadhaa nimekuwa nakwaruzana na watu wa TANESCO kuhusu huduma kwa wateja “Customer Service”. Inawezekana...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hawafanikiwi kutokana na kazi zao?

    Dr. John C. Maxwell ni Mwalimu mashuhuri wa uongozi duniani. Kabla ya kufika barani Afrika, aliamini yafuatayo kuhusu mafanikio, kwamba: 1. Mafanikio yanatokana na kufanya kazi kwa bidii. 2. Wamarekani wanaongoza kwa kufanya kazi kwa bidii. Lakini baada ya kufika Afrika, alibadilisha mtazamo...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina Diploma ya IT, Dereva, Data Clerk na Graphic Designer

    Tayar
  9. JamiiForums Tanzania Abiria tunaovuka Kivuko cha Kigamboni leo ni kero tupu, kivuko kimoja tu ndio kinafanya kazi

    Leo Novemba 28, 2023 sisi Wakazi hasa wa Kigamboni tumepata changamoto ya Kivuko. Yaani leo kivuko kinachofanya kazi ni MV Kazi tu, kingine wanasema ni kibovu, watu wanachelewa makazini, Azam ameleta kivuko kidogo kimoja nacho ni kama kinazidiwa kutokana na idadi ya watu wanaohitaji kuvuka...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi wakuu, aliye na connection ya kazi anisaidie

    Nina umri wa miaka 24 ni Mwanachuo lakin nimeweza kuahirisha mwaka kutokana na Hali ya kiuchumi kuwa hairuhusu kuendelea naomba mwenye connection ya kazi yoyote WAKUU ya kuingiza kipato ANISAIDIE hata Kama no wewe mwenyewe utaona ninafaaa sawa kunipa kazi hata Kama no part time. Nilikuwa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Trafiki Kigamboni wanalalamika uzembe wa Tanroad/Tarura Kigamboni unavyowapa kazi ya ziada

    Huko kigamboni maeneo ya kisiwani (kwa Steven) pameonekana kulalamikiwa sana na baadhi ya askari wa usalama barabarani kutokana na foleni ya kijinga inayochangiwa na uzembe wa Tarura/ Tanroad! Itakumbukwa kila mwaka serikali hutoa fungu la kurekebisha kurudia eneo hilo! Hadi sasa eneo hilo...
  12. JamiiForums Tanzania Komredi Shemsa Mohammed: Wakandarasi Wanaokwamisha Mradi Wasipewe Kazi

    Komredi Shemsa Mohammed: Wakandarasi Wanaokwamisha Mradi Wasipewe Kazi CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimeitaka serikali kutowapa tenda za ujenzi wa miradi ya maendeleo Wakandarasi weazembe na wanaokwamisha utekelezaji wa miradi. Aidha, CCM imewataka watendaji wa serikali na...
  13. JamiiForums Tanzania Maana ya kiroho mtu akichota mchanga katika eneo lako la kazi, biashara au mahali ulipokanyaga

    Nitaeleza kwa uelewa wangu, Mtu akikuchota namaanisha akichota mchanga wa unyayo wako (ulipokanyaga) au eneo unalofanyia biashara, tegemea mtaji kushuka wateja kuisha kabisa au mambo yako kuyumba kila utakacho fanya utaangukia pua. UFANYE NINI UNAPOONA MTU KAKUCHOTA? Unachota mchanga wa hapo...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani alipigwa na Vietnam,China kwa sababu ya spirit ya mapambano Israel ana kazi ya kupambana na watu wenye spirit ya mapambano.

    Katika vita jambo la msingi askari awepo vitani anapaswa kuwa nalo ni ile spirit ya kupambana dhidi ya adui kwa hali yoyote ili amuangamize. Hii kwa mifano michache nayo ifahamu ni pamoja na changamoto aliyokutana nayo marekani pale alipokuwa ana pigana na Vietnam marekani alitandikwa na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ni yapi majukumu au kazi ya Katibu Mkuu Utumishi?

    Habarini, Hivi ni yapi majukumu ya katibu mkuu utumishi nijuzeni au Kama Kuna PDF ya majukumu hayo nipeni link
  16. JamiiForums Tanzania Wakandarasi Wababaishaji Wasipewe Kazi: Waziri Bashungwa

    Waziri wa ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), kuhakikisha kuwa Wakandarasi wasumbufu na wababaishaji hawapewi kazi za ujenzi wa barabara nchini kote. Akizungumza alipokagua Barabara ya Handeni - Mafuleta yenye kilometa 20, Bashungwa amesema...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia unapoitwa kwenye Usaili wa Kazi

    Fahamu mambo ya kuzingatia wakati unapoitwa kwa ajili ya Interview: 1. Fanya Utafiti kuhusu Kampuni iliyokuita kwa kufahamu Huduma na Maono yake ili majibu yako yalingane na malengo ya Kampuni 2. Elewa vizuri Majukumu ya nafasi uliyoiomba yaani (Job discription) ili uwe tayari kujadili jinsi...
  18. JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Wilaya ya Temeke lifanyie kazi hili

    Jana tarehe 23, majira ya saa tatu usiku nilifika hospitali ya Malawi - Yombo, (yenye hadhi ya kiwilaya - ni referral hospital katika ukanda wa temeke) nikiwa na kijana wangu mdogo ambae alikuwa na homa, huduma zikawa zimesimama kwa kinachoelezwa umeme hauko sawa katika majengo ya mapokezi...
  19. JamiiForums Tanzania Kupata maendeleo katika MAISHA yako hakutegemei aina ya kazi pekee bali Malengo, hivyo ualimu pia ni kazi inayoweza kukuvusha

    Katika MAISHA Kazi pekee haitoshi kukufanya kufika hatua kubwa ya MAISHA pasipo wewe mwenyewe kuwa na Malengo . Hivyo linapokuja swala la kuijenga kesho yako iliyo bora kinachotangulia ni malengo na sio Aina ya Kazi unayofanya. Kazi yoyote iwe decent Job (Kazi ya heshima ) au Kazi isiyo ya...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Forex, Crypto na utapeli mwingine wa uwekezaji hufanyaje kazi? Unapaswa kufanya nini ikiwa umetapeliwa?

    Nimeona kashfa ya Noelbillions nikaona bora nije na ninachokijua maana serikali ya CCM imekaa kimya toka enzi za Ontario. Ingawa kuna aina mbalimbali za kashfa za utapeli katika uwekezaji. Katika mazingira mengi, huwa zinafanana kwa kiasi fulani. Unaweza kuepuka miradi mingi ya ulaghai ikiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…