"Nimepigwa na huyu Bondia Golola kwakuwa nimegundua ni Mganga wa Kienyeji, kwani nilikuwa naona mauzauza tupu ulingoni. Leo mnaniletea Mganga wa Kienyeji ipo siku mtaniletea hata majini ili kupigana nami sitaki jamani." Amesema Bondia Mandonga jana baada ya kupigwa kwa KO na Bondia Fundi Moses...
Rais wetu, ifike mahala watu wa aina hii wakamatwe na kushikishwa adabu haraka
Napinga sana ubaguzi wa aina yoyote, udini na ukabila.
Mwenyezi Mungu akuongoze mama yetu, na Watanzania wote kwa ujumla...wale wenye chuki dhidi ya waarabu/waislamu mtambue kuwa mnachokifanya sio sahihi, na...
Friends and Enemies.
Nimesikitishwa sana kwa kauli ya Sheikh Mwaipopo aliyotamka Leo Kwa kusema kwamba Muislam yeyote atakaehudhuria mkutano huo atamsomea kunuti na litakalo mkuta ajilaumu yeye mwenyewe.
Pia ameendelea kusema kwamba ni wakati sasa waislam wote warudishe kadi za uanachama wa...
Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia.
Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna awamu aliitwa Dhaifu tena bungeni na watu wakakaa kimya. Shujaa Magufuli aliitwa Dikteta Uchwara na huyu huyu ni yeye CCM...
Wajumbe,
Kama unajua au unaweza kusoma body language ya mtu na hasa katika eyes contact utakubaliana na mimi kuwa mjadala wa Bandari umefungwa na kinachofuata ni utekelezaji.
Samia kusema wakosoaji waje wafanyiwe vetting ili wafanye kazi pamoja na "sisi' maana yake ni kwamba hakuna kurudi...
Ali Kamwe (Msemaji Yanga SC)
Siku ya Wananchi (Yanga Day) Taifa litatulia na Watu hawatoamini kwani tunaenda Kumtambulisha Mchezaji ambaye atawafanya Watu fulani Walie, Wasiamini na Wengine hata kutamani Bora Wafe tu.kuliko Kumshuhudia huyo Mchezaji akicheza Yanga SC.
Ahmed Ally (Msemaji Simba...
Julai 12, 2023, Balozi mstaafu wa Tanzania Nchini Sweden, Dkt. Wilbroad Slaa akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari alitoa kauli inayotuhumu waandishi wa habari kwa kufanya upotoshaji wa matamshi yake kwenye sakata la uwekezaji wa Bandari.
Baada ya kauli hii, wadau mbalimbali walianza...
Wakili Madeleka amesema mamlaka aliyonayo Masauni kama Waziri wa Mambo ya Ndani ni mamlaka ya kisera kuhusu vyombo ambavyo vipo chini ya wizara ile lakini hana mamlaka ya kiutendaji ya kila siku ya vyombo vile. Kama ni polisi kuna IGP mwenye majukumu yake na yuko trained kuyatekeleza majukumu...
Ndugu zangu watanzania,
Muda mfupi nimetoka kumsikiliza Waziri wa Afya mh Ummy mwalimu kiongozi mchapa kazi na ambaye siku zote na wakati wote amefanya kazi kubwa Sana na ya kutukuka katika kila Wizara aliyopelekwa na kuaminiwa . Kauli ya Waziri inatoa ruhusa kwa madaktari kuwa na private...
Amekuwa akijinasibu kuwa mtetezi wa maliasili na uzalendo kwa Taifa.
Mpaka sasa hii ni wiki ya tatu sasa sijamsikia Kauli yake.
Juzi Jumapili nimeenda kwake lakini sikusikia akisema lolote?
Je ni Gwajima huyu yule wa zamani wa enzi za Corona au huyu tumebadilishiwa?
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapaswa Sasa kuchukua hatua Kali sana dhidi ya Makundi ya watu mbalimbali ambayo hivi Karibuni yamekuwa yakisambaza sumu ya chuki, ubaguzi na mgawanyiko juu Kwa Watanzania.
Kumekuwa na kauli za kumsema Rais wetu mpendwa kuwa ameuza Bandari za...
Anawaagiza polisi watushughulikie tunahaoji mkataba wa kuiuza tanganyika. Ni rasmi tanganyika tumekuwa koloni la Zanzbar.
Polisi msikubali Tanganyika iuzwe na wazanzibari. Tumieni akili zenu vizuri.
Hii inshu ya mwanamke ishi nae kwa akili kwako imekaaje? maana imenifanya nitafakari sana
kiutani lakini kwamba ukiacha kutafuta tu pesa basi tuakikishe tunafuta na akili, eeh hapo hapo tutulie kwanza kwani sisi hatuna akili? Sisi wakina abudala vichwa wazi? Tunazo! na kwanini tusisitizwe hapa...
SUALA la Bandari tayari limeshatolewa ufafanuzi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk. Elieza Feleshi, Waziri wa Ujenzi, Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo.
Sasa nyie mnataka Rais azungumze nini tenawakati...
"Kwanini wanaenda court ya kimataifa na sio hapa nchini? hiyo ni sheria ambayo hauwezi kupata muwekezaji. Hamna muwekezaji atakuja hapa kuwekeza pesa zake halafu kesho unamwambia aende kisutu, Kisutu ambapo mtu yeyote wa Serikali anaweza kumpigia simu jaji akamwambia huyo usimpe hukumu hiyo...
Rostom Aziz amesema hakuna mwekezaji atawekeza kwenye nchi ambayo kesi ikipelekwa hapo Kisutu kiongozi yoyote anaweza kupiga simu akaielekeza mahakama nini cha kufanya.
Na kwamba mahakama zetu hazina uwezo wa kusikiliza kesi za kimataifa hivyo lazima tuzipeleke huko nje.
Je, kauli hizi...
Waziri Mkuu, Cassim Majaliwa, alitoa hotuba zuri kuwaalika watanzania kutoa mawazo kuhusu mkataba wa DP World ili serikali iyapokee na kuyachambua. Lakini sasa ni kama bosi wake anamkana.
Jana, Rais Samia akiwa anazungumza baada ya wananchi waliokuwa wamejitokeza kumpokea katika eneo la...
1. Baba Dulla kanitesa kweli na hii Mimba.
2. Najuta kumbebea Mimba Mwanaume wangu mwenye ngumu.
3. Utamu wa dakika chache Unanitesa sasa.
4. Sizai tena labda anibake.
5. Yaani huyu Bwege ndiyo ananifanya Mimi nilambe Mkaa kila mara?
6. Safari ijayo nagawana nae Mimba ili ajue Mateso...
Rais Samia akizungumza na Wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya kuwasili kwa Ziara ya Kikazi leo Juni 12, 2023.
Akitoa Salamu kwa Wananchi wa Jiji la Mwanza waliojitokeza kwenye uwanja wa Ndege kumpokea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni Nchi...