MBUNGE KUNTI MAJALA - NINI KAULI YA SERIKALI KUHUSU MAKATO YA TOZO NA MTANDAO KUTOKUFANYA KAZI VIZURI
Mhe. Kunti Majala Mbunge wa Viti Maalum amemuuliza swali Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
Kuchekelea na kufurahia anapokufa mtu hata kama huyo mtu alikuwa adui yako, bado ni ujinga!
Kauli ya wazuri hawafi, ilikuwa ni kauli moja Wapo kutoka kwa mtu mjinga aliyesahau kuwa naye iko siku na wakati asioujua atakufa!
Mbingu ni ya kila mtu na ingawa inawahusu wanyoofu wa moyo, na ili mtu...
Miongoni mwa masuala yanayowafanya wafanyakazi kushindwa kuuelewa umuhimu wa vyama vya wafanyakazi ni pamoja na kauli tata za viongozi wa vyama vya wafanyakazi hususani wanapouulizwa maswali yanayowasumbua wafanyakazi wengi.
Katibu alipoulizwa kuhusu kikokotoo jibu alilolitoa kwa kweli ni swali...
" Kama kuna Timu naiogopa na Mchezaji Hatari kwa sasa Africa basi ni ya Yanga SC na Fiston Mayele. Hakika wako vizuri sana na Mayele atawafikisha mbali kwa Umahiri wake wa Ufungaji na ana uwezo wa hata Kucheza Timu Kubwa Uingereza na Kwingineko Ulaya" Dylan Keir Kocha Mkuu wa Timu ya Marumo...
..Boni Jacob amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu haki, siasa, katiba, na sheria.
..mojawapo ya mambo aliyoyatilia msisitizo ni jeshi la Polisi kuheshimu sheria na katiba badala ya kutekeleza maelekezo batili ya watawala na wanasiasa.
..fuatilia mahojiano yake na GlobalTv hapa chini.
Hivi mnajikutaga wakina nani? Elimu huna ata maarifa sifuri kila kitu unajua ,unafahamu wewe.
Hata kama unakijua kitu sikiliza pinga kwa hoja sio kubishana. Kitu hujui ila utasikia unambii kitu wewe. Au wewe kama nani? Daah
Kweli baadhi ya vijana wa kitanzania ni wendawazimu
Nakuandikia Waziri wangu wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda,
Mnamo mwezi Disemba, 2022 wewe Mhe Waziri ulitoa kauli: Waziri Mkenda: Ajira ya Chuo Kikuu isiwe kuangalia GPA pekee lazima wapimwe, wafanye na usaili.
Mimi ni mstaafu chamani na Serikalini. Pamoja na kwamba nami pia nimehitimu Chuo Kikuu...
Kwa wakati huu wakati taifa linakabiliwa na tatizo kubwa la kukosa maadili kumetokea pia namna nyingi za shetani na wafuasi wake kuwakatisha tamaa wale wote wanaopigania maadili mema. Imefikia wakati mtu ambaye anashauri kuhusu mwenendo mzuri kwenye jamii kudhalilishwa na kuonekana mjinga na...
Ally Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) Siku ambapo Simba SC ilifungwa na Raja Casablanca FC Goli 3 kwa 0 ( tena akiwa Clouds FM Kipindi cha Sports Extra ) Studioni akiwepo Mtangazaji mwana Yanga SC Prisca Kishamba na Mchambuzi mwana Simba SC Master Tindwa alitudhihaki wana Simba SC kuwa Tumebikiriwa...
Baadhi ya Wanahabari na Wachambuzi wa Soka nchini wamemtaka Afisa Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally kuomba radhi kufuatia kauli yake ya kusema "Yanga ni kama maiti hivyo wanakwenda kuwakamua" kauli hiyo imevuka mipaka ya utani wa jadi na ni kinyume na ueledi na ni tusi baya.
Hivi Mwanamke akisema hata Mwanaume umpe umpe nini haridhiki, hiyo ‘nini’ humaanisha kitu gani?
Tuambieni hizo nini ni nini basi. Kama hamsemi mtaendelea kuita wanaume wote ni Mbwa.
Juzi walisema wameichukua Bakhmut, leo wameibuka na mengine na kusema bado ni mziki mkali na itachukua wiki kadhaa, wamekiri imewagharimu sana, makaburi kama yote....
=====================
Kiev, April 7, (dpa/GNA) - Ukrainian forces are continuing to resist Moscow’s attempts to seize the...
Wanajukwaa nawapungia mkono wa salam
Leo akipokea ripoti ya CAG iliyoibua madudu lukuki Rais Samia aliongea mengi lakini nimeona nigusie kauli moja ambayo inaonekana kuwapa mwanya wabadhirifu.
Amesema kila mwaka kuna madudu na wahusika wa ubadhirifu wanahamishwa tu ofisi.
Rais Samia...
Kuna watu wameongeza 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani.
Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania...
hii
kauli
kuhusu
kutokana
maamuzi
manufaa
mara
mara ya kwanza
matusi
mizigo
mjadala
rais
rais samia
tujadili
ununuzi wa ndege
upigaji wa pesa za ndege
video
wazi
Kauli kama hii ni mwiba mkali sana kwa muzee RAO ambaye anajinasibisha kuwa kinara na bingwa wa mabadiriko ya siasa za Kenya.
Jamaa anamponda Odinga na Uhuru na kusema waende wakafanya bargain amendment wa walichopora na siyo kutaka hand shake!
Taarifa kwenye vyombo vya habari vya Kimataifa...
Akiwa 'nyumbani kwake' huko Ubelgiji, makamu wenyekiti wa mitandaoni wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu ameandika hivi mtandaoni.
Je huku sio kumkosea adabu partner wa CDM kwenye maridhiano ambaye technically ameshika upande wa mpini?
Si amesema hadharani kuwa mchakato unakuja na utakuwa...
Hii kauli ya kanjibai kwa wanasimba ingekuwa kwa wana yanga kusinekucha kuachia ngazi. Sema wanasimba hawajali sana wapo wapo tu. Ifike wakati wanasimba tuamke bora timu iwe kama PRISON kuliko kusimangwaaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.