Taja kauli moja ya kibabe sana ambayo haikosekani kwenye daladala

b9698bec-98b9-4002-84bc-8b840bee2827.jpg
 
Dada Amina.

Daladala zinatweza UTU wa mtu.
Jikwamue Kiuchumi uache kupanda Daladala.

Tafuta Usafiri wako.

Maneno ya kwenye Daladala si ya kuyaleta hapa kwa Great thinkers.
Kuna watu wametoka kimaisha through JF.

Ningetamani ulete hata Nukuu za VITABU vilivyojaa MAARIFA.

FICHA UJINGA.
 
Ningetamani ulete hata Nukuu za VITABU vilivyojaa MAARIFA.
Tuanzie hapa.

Weka nukuu yako moja, kama mfano kuonyesha kile ambacho wamaanisha.

Mie yangu hii hapa:
"Mabadiliko makubwa katika maisha yetu yanaweza kuanza kwa hatua ndogo tu." - Melody Beattie, The Language of Letting Go.

"Kile tunachoamini kwa ndani, ndicho tunachovutia kwa nje." - Stephen R. Covey, The 7 Habits of Highly Effective People.
 
Kuna konda nilimskia anamuambia abiria aliesimama mlangoni eti aingize roho ndani.🤣
 
Unakaribia makaburini...konda anasema "mwisho wa nyodo" ..anaeshuka sogea mlangoni
 
Back
Top Bottom