"Nani atakubali kiuwekeza kama halindwi na Sheria za kimataifa, hawezi kuja mtu hapa. Watakuja watu wachina kuleta vitu vidogo vidogo lakini biashara kubwa zinaangalia pia ulinzi wa mali yao. Na ulinzi wa mali zao lazima uendane na sheria za kimataifa, na sheria za kimataifa zinasema hiyo ndio misingi ya kuwekeza"
"Mimi ningekuwa mwekezaji wa nje, halafu nikija unaniambia niwekeze kwa dola bilioni 1, halafu nikipata matatizo niende kisutu siwezi kuleta hela yangu hapa"
Rostam Aziz
Juni 26, 2023
Kauli iliyotolewa jana na mfanyabiashara Rostam Aziz juuu ya Mahakama za Tanzania ni tusi kubwa sana kwa Viongozi wote wa serikali.
=====
UPDATES;
=====
Rostam Aziz atakiwa kutoa ushahidi au kukanusha habari hii kwa uzito uleule.
Zaidi soma;