Nasubiri kauli ya Dkt. Askofu Gwajima juu ya haya yanayoendelea

Amekuwa akijinasibu kuwa mtetezi wa mali asili na uzalendo kwa Taifa.

Mpaka sasa hii ni wiki ya tatu sasa sijamsikia Kauli yake.

Juzi jumapili nimeenda kwake lakini sikusikia akisema lolote?
Je ni Gwajima huyu yule wa zamani wa enzi za Corona au huyu tumebadilishiwa?
Hata akina Mrisho mpoto wameuchuna kama sio Watanzania vile.
 
YOHANA 3:20-21

²⁰ Maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasije yakakemewa.

²¹ Bali yeye aitendaye kweli huja kwenye nuru, ili matendo yake yaonekane wazi ya kuwa yametendwa katika Mungu.

HILO NDILO NENO LA MUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii biblia ime andikwa na nani?
 
Amekuwa akijinasibu kuwa mtetezi wa mali asili na uzalendo kwa Taifa.

Mpaka sasa hii ni wiki ya tatu sasa sijamsikia Kauli yake.

Juzi jumapili nimeenda kwake lakini sikusikia akisema lolote?
Je ni Gwajima huyu yule wa zamani wa enzi za Corona au huyu tumebadilishiwa?
siyo mpumbavu km wewe, na iyo mnafiki kujidai ni wazalendo kumbe mmelishwa asali.
 
Amekuwa akijinasibu kuwa mtetezi wa mali asili na uzalendo kwa Taifa.

Mpaka sasa hii ni wiki ya tatu sasa sijamsikia Kauli yake.

Juzi jumapili nimeenda kwake lakini sikusikia akisema lolote?
Je ni Gwajima huyu yule wa zamani wa enzi za Corona au huyu tumebadilishiwa?
Bado unasubiri safari ya carlifonia!
 
Back
Top Bottom