MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Ali Kamwe (Msemaji Yanga SC)
Siku ya Wananchi (Yanga Day) Taifa litatulia na Watu hawatoamini kwani tunaenda Kumtambulisha Mchezaji ambaye atawafanya Watu fulani Walie, Wasiamini na Wengine hata kutamani Bora Wafe tu.kuliko Kumshuhudia huyo Mchezaji akicheza Yanga SC.
Ahmed Ally (Msemaji Simba SC)
Tumeshatambulisha Vyuma Vitatu tayari ila kuna Vyuma vingine Vinne Balaa na kuna Mmoja atafanya Umeme uzimike nchi nzima huku Watu fulani wakitafuta kwa Kujificha kwani tunaenda kupiga pale pale tena kwenye Maumivu baada ya Kuwapora Bonge la Mchezaji Uwanja wa Ndege JNIA wakiwa Wamezubaa tu sehemu za Mapokezi na Kumkosa mazima.
Je, na Wasemaji wa Liverpool FC, Manchester United FC, PSG, Real Madrid na Barcelona FC nao huwa na huu Upumbavu na Ushamba?