Jabiri kuwa makini na kauli zako za kidini/kibaguzi

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
6,324
5,934
Screenshot_20230730-103602_Instagram.jpg

Rais wetu, ifike mahala watu wa aina hii wakamatwe na kushikishwa adabu haraka

Napinga sana ubaguzi wa aina yoyote, udini na ukabila.

Mwenyezi Mungu akuongoze mama yetu, na Watanzania wote kwa ujumla...wale wenye chuki dhidi ya waarabu/waislamu mtambue kuwa mnachokifanya sio sahihi, na hakitawasaidia chochote. Poleni sana. Waarabu oyeeeeeee
 
View attachment 2702801

Kwani Kasema uongo? Waarabu ni watu katili sana
 
View attachment 2702801

Rais wetu, ifike mahala watu wa aina hii wakamatwe na kushikishwa adabu haraka

Napinga sana ubaguzi wa aina yoyote, udini na ukabila.

Mwenyezi Mungu akuongoze mama yetu, na Watanzania wote kwa ujumla...wale wenye chuki dhidi ya waarabu/waislamu mtambue kuwa mnachokifanya sio sahihi, na hakitawasaidia chochote. Poleni sana. Waarabu oyeeeeeee
Mwisho umemaliza kwa kuandika?Kwa hiyo nani siyo oyeeeee?Unakataa ubaguzi huku mwili mzima umekujaa ubaguzi!
 
View attachment 2702801

Rais wetu, ifike mahala watu wa aina hii wakamatwe na kushikishwa adabu haraka

Napinga sana ubaguzi wa aina yoyote, udini na ukabila.

Mwenyezi Mungu akuongoze mama yetu, na Watanzania wote kwa ujumla...wale wenye chuki dhidi ya waarabu/waislamu mtambue kuwa mnachokifanya sio sahihi, na hakitawasaidia chochote. Poleni sana. Waarabu oyeeeeeee
Kuna mtu mbaguzi na mdini kama huyo mwarabu, vipi ulifurahishwa na ule ukatili wake wa kuwauza mababu zetu kama bidhaa, vipi mabinti zetu wanaofanya kazi za ndani huko visa vya manyanyaso wanavyofanyiwa kwa sababu ya rangi yao, usitake kujitoa ufahamu...​
 
View attachment 2702801

Rais wetu, ifike mahala watu wa aina hii wakamatwe na kushikishwa adabu haraka

Napinga sana ubaguzi wa aina yoyote, udini na ukabila.

Mwenyezi Mungu akuongoze mama yetu, na Watanzania wote kwa ujumla...wale wenye chuki dhidi ya waarabu/waislamu mtambue kuwa mnachokifanya sio sahihi, na hakitawasaidia chochote. Poleni sana. Waarabu oyeeeeeee
Hv unaelewa nin hoja za wakosoaji? samiya anawalipa hao akina Jabir ili kupindisha dhamira ya wakosoaji , hawa ndo viongoz wanatuingiza kweny machafuko sabab za tamaa zao , hoja ya Lissu , Mbowe , Dr.Slaa , viongoz wa dini kote waislam na wakristu , maprofesa na mawakili , huyo rais wenu hajajib hata mara moja na uzur ni hoja kuu tatu muda wa mkataba , uhalali wetu kuvunja au kuwaadhibu wasipotimiza makubaliano yetu pia maslai yetu ndan ya mkataba huob, huku wanakwepa wanakimbilia udini na ubaguz ambao wao wamewalipa watu kututoa kweny reli , viongoz wetu ndo chanzo cha hv vita vyetu unaona afrika wala sio wazungu
 
Kumwondoa Mtanzania kwenye reli ni kazi rahisi sana. Hivi suala nyeti la rasilimali na mustakabali wa taifa wapuuzi wachache wanatutoa kwenye mstari kwa vigezo rahisi vya dini? Hizi dini zilizoletwa na wageni? Kama ni kurogwa, mchawi wetu alishafariki zamani sana.

Ilitarajiwa ziletwe HOJA kujibu malalamiko na madai ya ubovu wa vipengere vya mkataba na maslahi lakini siyo VIOJA hivi tunavyoshuhudia.
 
Kuliko Wanyakyusa wanaochuna ngozi Ndugu yake ili awe Tajiri

Waarabu ni makatili kuliko Wasukuma wanaoua Mtu aliemzalia Mzazi wake kwa kuwa tu rangi ya macho imekuwa nyekundu kutokana na Moshi wa kuni wa kumkuza Mzazi aliemzaa huyo muuaji?
Aisee !!!!

Binadamu wote resources zikiwa ndogo ni makatili; Ukiwapa sababu ile roho ya wao na sisi inachukua mkondo; Ila hapo uliposema ni ukatili wa wao kwa wao kutokana na kutokujua na hio ni kwa wachache na sio wote...., Sidhani kama hao wanyakyusa walienda kuyafanya hayo India au Middle East....; (Historically - Collectively Watu wa pande hizi walikuwa wakarimu na wakaribisha wageni wasio na hiyana - maybe sababu ya natural resources hawakuwa na utamaduni wa kichoyo)

Tukija kwa Waarabu na mataifa mengine historically walichofanya kwa nchi za Ki-Africa na nyingine ni mambo ya aibu; sisi kama wastaarabu tunaamua kuyafumbia macho (na you should not accuse the child for the sins of their fathers) ila sio kusema kwamba hayakutokea (Nina uhakika hata muarabu mwenyewe mwenye busara atasema hio sio sawa na sio kuleta justification ambazo hazina maana)

Mwisho kabisa kuna tabia ambazo ki-utamaduni zinafanya jamii moja ione jamii nyingine inferior kwa Mmoja kutokuchanganyikana na jamii nyingine ama mafunzo kwamba wengine ni duni kuliko wewe (hio hupelekea watu wa jamii hizo kupofushwa na Ujinga wao)

Binafsi siangalii race wala kabila naangalia individually (ila hio haibadilishi historically facts of what happened - Ingawa when that happened haimaanishi wote walifanya hivyo ) au haibadilishi majority ya watu wa aina fulani kuwa na tabia fulani kutokana na tamaduni zao (ingawa kuna exceptions) - Na kinachofatia ni hawa walamba asali wa sasa wasishangae wajukuu zao (surnames zao) kuchukiwa na raia wenzao kutokana na upuuzi wanaoufanya leo refer case study ya igbo people...

During the beginning years of Nigeria's colonial independence, the Igbo people increasingly came to be perceived as a disproportionately-favoured ethnic group with affluence and multi-regionalistic opportunity due to the Igbo being employed within colonial Nigeria by the colonial authorities and in the public sector in regions throughout the country. This aroused the ire of others toward the Igbo.[5]

This was exacerbated by the short-lived government of General Johnson Aguiyi-Ironsi, whose military junta consisted mostly of Igbo and who abolished the federated regions; this led to his assassination in a counter-coup led primarily by Northern participants. It was followed by the massacre of thousands of Igbo in pogroms in the Northern region, which drove millions of Igbos back to their homeland in Eastern Nigeria; ethnic relations deteriorated rapidly, and a separate republic of Biafra was declared in 1967, leading to the Biafran War.[5]
 
Back
Top Bottom