katiba

  1. Mystery

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai anaendesha Bunge kwa matakwa yake binafsi na si kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Nimestushwa sana na kauli ya Spika wa Bunge la Tanzania, aliyoitoa jana kuhusiana na wabunge wa Chadema, waliofukuzwa uanachama katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema. Spika Ndugai amenukuliwa akiwaambia wabunge hao kuwa hatambui kufukuzwa kwao uanachama na chama chao cha Chadema na hivyo...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kutokana na mwenendo wa Spika wa bunge , Je, kuna haja ya Raia kuendelea kuiheshimu Katiba ya Tanzania ?

    Wakuu naomba kukiri kwamba mimi si mtaalam wa sheria za Tanzania , hivyo uzi wangu waweza kuwa na mapungufu kadhaa , lakini ni dhahiri kwamba kwenye nchi hii sheria za uchaguzi zinawataka wagombea kudhaminiwa na chama cha siasa , kwa maana kwamba ili uweze kukubaliwa na Tume ya uchaguzi kuwa...
  3. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Sheria mpo? Hivi Ndugai hawezi kutimuliwa Uspika kwa kuikanyaga Katiba?

    Comreds hi! Hopes twajilinda vyema kwa kutulia nyumbani na Ku take precautions kwa kuvaa mask na kunawa mikono kwa sanitizers. Kwa ufahamu wangu sote tuko chini ya Katiba inayotuongoza. Kuikanyaga katiba kwa sisi watu wa imani nisawa na kumkufuru Roho mtakatibu . Mwalimu Nyerere aliwahi sema...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Manispaa Ubungo amfukuza Meya Jacob kwa kutumia katiba ya zamani ya CHADEMA ambayo haitumiki

    Meya Jacob wa manispaa ya ubungo amesema yeye bado ni mwanachama halali wa Chadema na kwamba mkurugenzi wa manispaa hiyo ametumia katiba ya zamani ya Chadema ambayo ilishafanyiwa marekebisho kumuengua. Bonny anasema aliletewa barua ya kufukuzwa umeya jana Jumapili saa 3 usiku nyumbani kwake...
  5. chakii

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

    Rais Magufuli anatangaza kifo cha Waziri wake wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga aliyefariki leo alfajiri Mei 01, Jijini Dodoma Taarifa iliyotolewa na Ikulu imesema Waziri huyo aliugua ghafla akiwa nyumbani kwake na alifikishwa hospitalini akiwa tayari ameshafariki dunia...
  7. Tindo

    JamiiForums Tanzania Hivi wakati wa Katiba ya mwaka 1977, na mchakato wa katiba mpya 2011-2014 uchumi ulikuwa imara kiasi gani?

    Ndugu wanajamvi kuendana na kichwa changu cha habari, najaribu kuuliza uimara wa kiuchumi uliokuwepo 1977 wakati tunapata katiba hii, na uimara wa uchumi uliokuwepo 2011-2014 wakati wa mchakato wa katiba mpya chini ya rasimu ya Warioba? Kuna lugha tuliyopewa siku mbili hizi na serikali kuwa...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Napendekeza,mdahalo ya wagombea iwe ni sehemu ya Katiba

    Ndugu wanabodi nimetafakari jinsi tulivyouziwa mbuzi kwenye gunia tukampata kiongozi wa sasa ambaye mambo mengi anayofanya si tu yanakiuka manifesto ya chama chake lakini pia wananchi hatukupata nafasi ya kuelezewa kwa kina yale amabayo angefanya. Kama tungefanya mdahalo tungeweza kumpima huyu...
  9. Francis12

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mahakama Kuu imetoa hukumu kuwa Rais wa Tanzania anaweza kushtakiwa kwa makosa ya uvunjaji wa Katiba

    Ameandika Zitto Kabwe: "Mahakama Kuu imetoa hukumu kuwa Rais wa Tanzania anaweza kushtakiwa kwa makosa ya uvunjaji wa Katiba. Jaji Lameck Mlacha ametoa hukumu hiyo katika hukumu ndogo kwenye shauri nililofungua kumshtaki Rais @MagufuliJP kwa kumvua uCAG Prof. Assad. Shauri la msingi...
  10. Mystery

    JamiiForums Tanzania Membe kufukuzwa uanachama wa CCM, je madai yake kuwa Katiba ya chama chake ilivunjwa ni ya kweli?

    Tumemsikia wenyewe aliyekuwa mwanachama wa CCM, Bernard Membe akidai kuwa katika kufukuzwa kwake CCM, Katiba ya chama chake haikuzingatiwa Kwa maelezo yake, kikao pekee chenye uwezo wa kumfukuza mwanachama yeyote wa CCM, ni Halmashauri Kuu ya CCM, jambo ambalo haliikufanyika, badala yake ni...
  11. Tanganyika Law Society

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, Dr. Rugemeleza A.K. Nshala katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria

    #WikiYaSheria2020 TAREHE 6, FEBRUARI, 2020 UKUMBI WA KIMATAIFA WA MAKONGAMANO WA MWL. JULIUS NYERERE DAR ES SALAAM Ndugu Mh. Mgeni Rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Joseph Magufuli Mh. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahimu Juma, Mh. Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi...
  12. Mmawia

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura

    Binafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM. Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana. HOTUBA YA DR. BASHIRU KWA UFUPI CCM inatoa salamu za mwaka mpya 2020, niwahakikishie watanzania kuwa tutaongoza siasa safi,ni mwaka wa kuheshimu maoni na uamuzi wa...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania yazidi kusiginwa , 8 waliojiuzulu udiwani Cuf Tanga na kujiunga na CCM wahudhuria kikao cha bajeti na kulipwa posho

    Kiukweli watu hawa ambao si madiwani tena baada ya wao wenyewe kutangaza hadharani na kuandika barua za kujivua udiwani na uanachama wa CUF na kuhamia CCM hawakupaswa kuendelea kuhudhuria vikao vya baraza la madiwani. Mkurugenzi wa Jiji la Tanga kaamua kujitoa akili na kueleza kwamba hana...
  14. w0rM

    JamiiForums Tanzania Tanzania vs Kenya vs Uganda: Zisemavyo Katiba kuhusu Ushindi wa Mgombea Urais na Msamaha unaotolewa na Rais wa Nchi

    Katiba ya Tanzania, Ibara ya 41 (6) inasema Mgombea yeyote wa Kiti cha Rais atatangazwa kuwa amechaguliwa kuwa Rais iwapo tu amepata Kura Nyingi Zaidi kuliko Mgombea mwingine yeyote Katiba ya Kenya, Ibara ya 165 (4) inasema Mgombea atatangazwa kuwa Rais Mteule ikiwa atakuwa amepata zaidi ya...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanamna uchaguzi wa serikali za mitaa ulivyoendeshwa je ni halali kuendelea na katiba inayozuia matokeo ya urais kupingwa mahakamani?

    Kwakweli sielewi hiki kipengele kinachozuia matokeo ya urais kupingwa mahakamani kina Nia njema ipi. Yani katika mazingira ya Tanzania ya Sasa yenye uvunjifu wa sheria zote pamoja na haki za binadamu bado kipengele kama hiki tukione kina nia njema kweli? Nitakuwa was mwisho kuamini . Vyama vya...
  16. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Pale CHADEMA wanaponajisi Tunu ya kwenye Katiba

    Wimbo wa Taifa ni moja ya "tunu" zilizoainishwa kwenye Katiba. Kitu kikiitwa 'tunu" sifa kuu ni kuheshimiwa. Heshima kwa wimbo wa Taifa ni pamoja na kutouimba sehemu isiyostahili, kutobadili maneno, tune au mpangilio. Kwa mfano huwezi kuimba wimbo wa Taifa kwenye mazishi ya mbwa wako au...
  17. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Magufuli anatamani nchi yetu iwe na Katiba ya nchi mbovu zaidi ya hii tuliyo nayo sasa!

    Wananchi wengi wa nchi hii wanatamani nchi yetu iwe na Katiba mpya ambayo itaendana na nyakati hizi, tofauti na Katiba tuliyo nayo hivi sasa ambayo ilitungwa mwaka 1977, ambayo wananchi wengi wanaiona kuwa haikidhi matakwa ya sasa ya kisiasa na kijamii Wakati wananchi wengi wanatamani nchi yetu...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Butiku awapa wasomi mtihani wa Katiba Mpya

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku, amesema kuna haja kwa wanataaluma nchini kuanza kuzungumzia mchakato wa katiba mpya kuliko kukaa kimya, kwani ulitumia fedha nyingi. Aliyasema hayo jana, wakati wa kumbukizi ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Chuo...
  19. Mystery

    JamiiForums Tanzania Je, Nchi yetu kubadilisha Katiba ya nchi na kuwa ya chama kimoja cha siasa?

    Kutokana na mienendo ya kisiasa inavyokwenfa nchini kwetu, kuna tetesi kuwa watawala wetu wako mbioni kurejesha mfumo wa chama kimoja Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 3(1) inatamka kuwa "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, itaendeshwa katika mfumo wa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Msajili: Nafuatilia kwa karibu sana Uchaguzi wa Viongozi CHADEMA kuhakikisha haki inatendeka na Katiba kufuatwa

    Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote. Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na...
Back
Top Bottom