Wanazuwoni na magwiji wa Sheria Mimi naomba kuuliza kwani nchi ipo ktk hali ya hatari? Au kuna tamko la nchi Kuwa ktk hali ya hatari?
Je Rais anaweza kuiweka nchi ktk hali ya hatari bila kutangaza ktk umma?
Why I'm asking?
Kuzima mitandao ya SIM na Uhuru wa kuwasiliana ni moja ya mambo...
Nichukue fursa hii kuwaambia watanzania kwamba huenda future yetu si nzuri sana. Hii ni kwa tafsiri ya kwamba pasipo na haki popote amani haiwezi kupatikana. Kama ipo amani ni ya kulazimisha tu kwa maana ya uvumilivu.
Haiwezekani mtu anaamka anaamua kuvunja katiba ya nchi makusudi kabisa kwa...
Spika wa Bunge Job Ndugai leo November 30,2020 atawaapisha Wabunge wawili walioteuliwa na Rais Magufuli, Wabunge hao ni Humphrey Polepole ambaye ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM na Riziki Said aliyekuwa Mbunge Viti Maalum katika Bunge la 11 kupitia CUF.
Shughuli za uapisho zitafanyika...
Spika Ndugai alisema kanuni za bunge zinaruhusu mbunge kuapishwa nje ya ukumbi wa bunge jambo muhimu ni lazima mbunge aape mbele ya Spika wa bunge.
Mwenyekiti wa Chadema ambaye ni mbunge mstaafu na pia alikuwa mjumbe kwenye kamati ya kanuni amesema kanuni ile inakwenda kinyume cha katiba...
Natabiri ya kuwa jaribio lolote la kubadili katiba na kurefusha ukomo wa Rais litazua Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili.
Yani hamtoamini wala kudhania. Itakuwa ni siku mbaya na nzito kwa Taifa ndipo sote tutaamini kweli kuna deep state in side state.
Nasali...
Watu wenye akili wanaelewa wazi kuwa Halima James Mdee kuendelea kubishana na kamati kuu ya CHADEMA ni kupoteza muda wake bure kwa sababu swala hili limeshafika mwisho
Binafsi nimemuelewa Spika mstaafu wa Bunge ambaye sahihi yake imo kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nimeona...
Taifa letu tangu limepata uhuru limekuwa likitawaliwa kwa misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sheria za nchi yetu
Ndio maana hatuoni nchi hii ikiendeshwa kwa presidential decrees au ubabe na udikteta.
Tulishuhudia bunge la kumi jinsi lilivyoweza kuiadhibu serikali kwa...
Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa Wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.
Kauli hiyo ameitoa hii...
Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni.
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama
Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa.
Stay Tuned for Updates...
chadema
habari
halima mdee
kanuni
katiba
kesi
maamuzi
mahakama
mahakama kuu
mbowe
nchi
ndugai
sheria
tamko
taratibu
ubunge
viti maalumu
waandishi
watanzania
Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Profesa Adelardus Kilangi amewaonya CHADEMA kutowabugudhi wabunge wa chama hicho wa viti maalum kutoka chama hicho.
Profesa Kilangi amesema, mchakato wa Wabunge wa viti Maalum kutoka CHADEMA umefuata Sheria na Katiba, hivyo hawapaswi kubugudhiwa.
Awali Spika wa...
Mheshimiwa Rais nilipokuwa kidato cha pili katika somo la fizikia nilifundishwa kwamba mwendo wa gari anayeuona vizuri vizuri ni yule aliyeko pembeni na sio yule aliyeko ndani ya gari linalotembea kwani huyu anaweza kuona miti ndiyo inatembea kumbe gari alilolikalia ndilo linatembea na miti...
Tulimsikia Rais Magufuli wakati akimwapisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisema kuwa Profesa Kabudi na William Lukuvi hawawezi kuwa miongoni ya wagombea wa Urais wa CCM kwa mwaka 2025, kwa kuwa tu umri wao hauwaruhusu, kwa kuwa watakuwa na umri mkubwa, kwa kuwa ameeleza kuwa Rais ajaye atakuwa...
Imeandikwa na Malisa Godlisten
Katiba ya nchi ibara ya 55 inataja mchakato wa uteuzi wa mawaziri na manaibu waziri. Ibara ya 55(1) inasema Rais atateua mawaziri baada ya kushauriana na Waziri mkuu. Tasfiri ya kingerereza limetumika neno "shall" kuonesha kwamba ni lazima Rais ashauriane na...
Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli amesema uchaguzi mkuu wa 2025 utatoa fursa kwa vijana kwa sababu zaidi ya 65% ya wapiga kura ni vijana
Rais Magufuli ametoa mfano wa mh Lukuvi kwamba hawezi kuwa Rais wa JMT 2025 kwa sababu atakuwa na miaka zaidi ya 70.
Maendeleo hayana vyama!
=======
RAIS...
Nalifananisha bunge la Ndugai linaloanza leo sawa na lile bunge la katiba baada ya UKAWA kususia wakiongozwa na Prof. Lipumba.
Tutegemee mambo mengi mazuri na mengi ya kushangaza lakini zaidi ni kuibuka watu aina ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar mh Othman kadhalika aliyekuwa mbunge wa...
Marekebisho ya katiba yamepitishwa kwa asilimia 66.8 ya kura zilizopigwa na robo ya wananchi waliojiandikisha kushiriki kwenye zoezi la upigaji kura nchini Algeria.
Akizungumza na waandishi wa habari leo hii, Mwenyekiti wa Tume Kuu ya Uchaguzi ya Algeria Muhammed Shurfi alisema kuwa pingamizi...
Kwasasa ni dhahiri CCM imedhamiria kushinda majimbo yote ya uchaguzi Tanzania Bara uwe ushindi halali au haramu. Hii ina maana kuwa lolote atakalotaka rais Magufuli pamoja na serikali yake halitapata mkwamo wa namna yoyote ile bungeni.
Tujiandae kwa mabadiliko ya Katiba kumuwezeha Magufuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.