katiba

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na Maalim Seif siyo Wanachama tena

    Ndugu zangu, Katiba ya ACT Wazalendo inapinga mwanachama kumuunga mkono mgombea asiye mwanachama wa ACT. Fuatilia mwenyewe hapa chini, Bernard Membe akitumia vema turufu anaweza kuwavua uanachama hawa "wavamizi" ndani ya ACT.
  2. comte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta ametusaidia kuwaambia wanaotaka katiba mpya kuwa siyo jibu la matatizo yetu

    Kenya Considers New Constitution To Avoid Perennial Violence Kenya’s President Uhuru Kenyatta has called for a change of the constitution, outlining the benefits it will have for future generations. “We spend almost two years after every election on conflicts,” he said, “and that is what we...
  3. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Misingi ya katiba yetu na uchaguzi mkuu: CCM na viongozi wa dini mnaijua/ mnaikumbuka/ mmeisoma?

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, toleo la 20 Juni 2005 imeainisha misingi inayohakisi maamuzi mazito ya watanzania wote juu ya nchi yao kwenye utangulizi wake. Misingi hiyo ni uhuru, haki, udugu na amani. Nukuu yake ni: "KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya itampa kura Lissu

    Katiba yetu inahitaji kuandikwa upya kwakuwa Ina kasoro nyingi sana na viraka vingi. Uandishi wake umeshatafuna hela zetu nyingi Sana lakini hatukufika mwisho kwenye awamu ya 4 na haitaandikwa upya kwenye awamu ya 5 ingawa rasimu ipo. Na inavyoonekana hakuna Rais kutoka CCM atapenda iandikwe...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: DUh! Kuna wakati Watanzania akili huwakaa vizuri, hadi wanaanza kutamani katiba nzuri yenye ubora kama hii yetu Kenya

    Hapa katibu muenezi wa CCM anazungumza na kuachia nondo, sijui nini huwaingia Watanzania ghafla mnabadilisha na kuanza tena kuponda umuhimu wa katiba nzuri.
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Katiba ya upendo...

    Natumai hamjambo wapendwa, Upendo wa ndoa/mahusiano strong huhitaji katiba itakayoufanya uwe active na wenye msisimko kwa wahusika, katiba hiyo itakua na mapendekezo mlokubaliana kufanyiana ajili ya kuimarisha na kudumisha upendo baina yenu. Mfano katika katiba yenu mtaandika namna ya kushow...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, kwa kuwa CCM imekataa kutupatia katiba mpya wananchi wanayoitaka, njoo upinzani ili usaidie katiba hiyo ipatikane

    Ndugu Polepole Ulishiriki mchakato wa kutafuta katiba mpya, Chini ya uongozi wa Genius Jaji Warioba ulizunguuka nchi nzima kutafuta maoni ya wananchi, kuyachakata na hatimaye kutuletea rasimu bora kabisa ya katiba al-maarufu rasimu ya Jaji Warioba. Na baada ya kuiandaa rasimu hiyo, ulizunguuka...
  8. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu 27 za kwanini Magufuli hafai kupewa miaka mingine 5 ya kuwa Rais

    Magufuli kauliza katenda dhambi gani asipewe tena miaka 5. kwanza dhambi kubwa sana ni RAMBIRAMBI za tetemeko, kivuko kwa wahusika ziligeuzwa kuwa mali ya serikali na ikafanya kazi ya serikali huku mfuko wa maafa upo na bajeti yake ilipitishwa. Sasa majibu yake haya hapa: 1. Hajatoa ajira...
  9. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Kwa jibu la mmoja wa wagombea Urais nchini kwetu Tanzania, hivi Katiba ya nchi inasemaje haswa juu ya uhuru wa faragha (privacy)?

    Kuna mgombea mmoja wa kiti cha Urais amekuwa akinukuu katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (toleo la 20 Juni, 2005) ibara ya 16 mara anapojibu swali la waandishi wa habari akiwemo yule wa BBC wakati wa hardtalk kuhusu masuala ya ushoga. Ibara hiyo inahusu haki ya faragha na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Tundu Lissu anatumia muda mwingi kutafsiri Katiba na Sheria badala ya kutangaza sera?

    Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi. Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya Tume ya Uchaguzi kwa Tume ya Katiba

    Wakati Tume ya Katiba ya judge Warioba ikikusanya maoni ya wadau mbalimbali nchini, Tume ya Uchaguzi iliweka wazi kwamba haipo huru na ikashauri ipewe uhuru wake ili iweze kutekeleza majukumu yake kwa uhuru na kuweza endesha chaguzi ambazo zitakuwa free, fair and credible. Rasimu ya katiba mpya...
  12. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Kama Serikali ya CCM inapinga kweli ushoga basi ikafute kipengele cha Katiba kinachoinyima Serikali kuingilia faragha ya mtu

    Tundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa "Wanaleta vihoja kuwa naunga mkono ushoga, katiba ya JMT inasema kila mmoja ana haki ya kulindiwa faragha yake, naunga mkono msimamo huo wa Katiba, siyo kazi ya Serikali kuchungulia kwenye vyumba...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katiba inaposema sifa za mgombea Urais ni kuwa na afya njema, msilidharau hili

    Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya. Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Hebu Tukumbushane Misingi ya Katiba Yetu na Hali Halisi

    Ndugu wana Jamvi, naleta kwenu misingi ya Katiba yetu ili tuijadili na kuona kama kuna haja ya Katiba mpya Tanzania Misingi ya Katiba yetu inasema hivi: Kwa Kuwa Sisi Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayozingatia misingi ya...
  15. The Boss

    JamiiForums Tanzania Mbona sijaelewa katiba inasemaje?

    Naifatilia kampeni kwa redio naona Kassim Majaliwa anaitwa Mjumbe wa NEC wa CCM. Lakini kwenye kampeni hizo hizo Magufuli anampigia simu waziri Jaffo na kumpa maagizo. Sasa kama Magufuli bado Rais na Jaffo bado waziri, Inakuwaje Majaliwa sio Waziri Mkuu? Kuna shida ya kikatiba?
  16. CHEF

    JamiiForums Tanzania Sina shaka na Tundu Lissu, nina shaka na Katiba ya chama chake

    Ndugu wapendwa salaam, leo wakati nawaza nani wa kumpigia kura, pamoja na kuona TAL anaweza kuongoza nikiwa na maana ya kusimamia katiba na Sheria za nchi kuongoza kama Rais jambo ambalo ni udhaifu wa mgombea wa CCM JPM , wakati udhaifu wa TAL ni kwamba tusitegemee maendeleo makubwa ya kiuchumi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Job Ndugai na mabadiliko ya Katiba na Sheria. Je, wananchi tunaonewa au tukubali mitano tena?

    oi
  18. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sera ya majimbo sio ya CHADEMA, ilipendekezwa kwenye rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba

    Wasalaam, Huwa inashangaza kwa mtu msomi mwenye akili timamu anapoamua kwa makusudi kupotosha jambo lenye maslahi kwa umma, ambalo linatambulika vema kwa jamii husika. CCM wameparamia kujibu hoja Lissu kuhusu sera ya majimbo eti tutarudi enzi za ukoloni, ukiisoma rasimu ya katiba ya Warioba...
  19. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Sasa hawaitaki tena Katiba ya Warioba, wanataka kama ile ya Marekani yenye mfumo wa utawala wa majimbo

    Sasa wameweka wazi aina ya katiba mpya wanayoitaka. Wanakusudia kuufumua kabisa mfumo wa utawala wa nchi yetu na kuufanya uwe kama ule wa Marekani wa majimbo yanayojitegemea. Nchi yetu itagawanywa kwenye majimbo (kanda) kama tisa hivi kama zilivyo kanda za chama hicho. Kila kanda itaongozwa na...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

    Wakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo itapigwa Mkoani Katavi na Kigoma . Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari za uhakika. ---- Napenda...
Back
Top Bottom