Katiba yetu ya 1977 na uchaguzi wa 2020

Katiba yetu ya 1977 na uchaguzi wa 2020

Sijijui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
7,877
Reaction score
8,812
Katiba Yetu inaweza ikawa na mapungufu mengi, katiba hii hii pamoja na mapungufu yake mengi, Mwinyi, Mkapa na Kikwete waliilinda hata kama chaguzi za wakati huo zilikuwa na makando kando lakini hayakuwa Kama haya ya leo.

Lakini pia rais aliyeapa kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba inayotamka kuwa kila Mtanzania ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kuwa kiongozi katika nafasi yoyote ile.

Ile tu kutamka hadharani "Kwamba siwezi nikakuteua, nikakupa gari, nikakulipa mshahara halafu ukamtanza Mtanzania ninayetofautiana naye kimawazo" is abuse of power aliyopewa na katiba aliyopewa kuilinda, mtu anayetumia Kodi za watu wake kunyanyasa Watanzania wenzake tena kwenye nchi yao, huyu si tu anatakiwa asemwe kwa jumuiya za kimataifa bali pia sisi wenyewe tunatakiwa tumpinge kwa vitendo.

Acha niende kwenye maandamano.
 
Back
Top Bottom