Je, Katiba za nchi zinaruhusu Nchi moja kuinunua Nchi nyingine?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,063
40,724
Mfano labda Tanzania ikataka kuinunua Rwanda pamoja na watu wake wawe mali binafsi ya TZ, utaratibu kama huo unawezekana katika mantiki na misingi ya kibiashara baina ya pande mbili husika?
 
Yaani unamaanisha country to purchase another country??
Yeah, once USA alitaka kuinunua Greenland toka Denmark, panua mawazo kidogo. Sema dau likawa kubwa sana, mchakato ukasimama. Hivi unafikiri DRC akaamua kuiuza Kivu anashindwa? Mfano Tz anaweza akaamua kununua ka-corridor route through Rwanda to DRC, hiyo inawekana! Its cheaper kuliki kujenga daraja hadi DRC through L. Tanganyika
 
Mfano labda Tanzania ikataka kuinunua Rwanda pamoja na watu wake wawe mali binafsi ya Tz, utaratibu kama huo unawezekana katika mantiki na misingi ya kibiashara baina ya pande mbili husika?
Labda tuanze na mikoa, mkoa wa mara uinunue mwanza. Just joking
 
Angalia ramani ya USA halafu iangalie Alaska ilipo. Ndo utajua hiyo sehemu ilinunuliwa kuwa part ya USA
Yes ilinunuliwa tokea USA. Mbona hata sultan seyyid Said wakati anatawala Zanzibar, baada ya mkutano wa Berlin alipewa kuitawala bara km 200 kutokea baharini kwa umbali huo ila baadaye alikuja kuwauzia wajerumani akabakia na visiwa vya Zanzibar pekee
 
Back
Top Bottom