katiba

  1. Ileje

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji katiba iliyo juu ya watawala

    Makamu wa Rais wa Malawi Bw. Chilima amekamatwa na kushtakiwa kwa kupokea rushwa ya takribani USD 200,000/- kutoka kampuni ya ujenzi ili kupata tenda katika miradi ya serikali. Kwa Tanzania hii haiwezi kutokea kwa katiba tuliyonayo kwani watawala wako juu ya katiba. Tunahitaji katiba mpya...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Upinzani haipo Katiba Mpya bila kutoleana uvivu

    Nani asiyejua umuhimu wa katiba mpya? Nani anaweza kuthubutu kujipa jukumu hilo peke yake na kuwasusa wengine kwa sababu zozote zilizokwisha pita? Misahafu inasema ni furaha kuu mbinguni kwa mwenye dhambi mmoja akitubu. Hivi hata ya waungwana hatuyasikii? Nini tofauti ya ya chawa uchwara...
  3. Kazi iendeleeeee

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi behewa mpya za treni, tuendelee kudai Katiba Mpya

    Kampuni tanzu kampuni ya Eurowagon kutoka uturuki iliyopewa tenda hayat John Pombe Magufuli kutengeneza reli na mabewa iliondolewa na kuletwa kampuni kutoka China Korea kusini ambazo zimeleta izi bewa na na lijua Aya yatatokea bewa zilizo wasili pale bandarin hakuna mtanzania aliependa hata za...
  4. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Katiba inaweza kuchelewa kidogo

    Kama vijana wako bize wanalike Picha za mazigo mitandaoni. Vijana wa ovyo kabisa.
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tuanze kuwatoza kodi wafanyabiashara wanaofanya matangazo ya sauti kwenye maeneo ya biashara

    Kama umewahi kutembelea maeneo ya biashara mfano Kariakoo n.k utagundua kila mahali ni kelele. Kila mtu anatangazo lake na wakati mwingine kusababisha noise pollution kwa watu wengine. Sasa kwanini tusianzishe kodi itakayotozwa kwa hawa wanaosababisha makelele kwenye maeneo hayo? Ni wakati...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania na Sifa za wabunge

    Hivi ni kweli Watanzania wanahitaji KATIBA MPYA kwa sasa? 1) Wasomi na wote wasio na maslahi binafsi na katiba. Hawa watasema ndio kwa kuangazia mambo kadha wadha ambayo yanaonekana ni chechefu. Mfano, KATIBA ya sasa ya Tanzania inazitambua sifa nyingi za mgombea nafasi ya siasa km Ubunge...
  7. Msanii

    JamiiForums Tanzania Katiba ya CCM ni ya kibaguzi

    Viongozi wa dola kupitia CCM kuanzia Wabunge, Madiwani na Wenyeviti Mitaa, Vijiji na Vitongoji hawaruhusiwi kugombea nafasi yeyote ndani ya chama. Ingawa wanaingia kamati za siasa ndani ya ngazi maeneo yao. Katiba ya CCM imewawekea utaratibu wa mtu mmoja nafasi moja. Lakini ukiangalia katiba...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kifungu gani cha Katiba kinazuia Kesi zinaposikilizwa kurushwa mubashara Runingani? Mahakama ni muhimili huru?

    Hapo Kenya siyo Kesi tu bali hata usahili wa kumpata Jaji mkuu hufanywa hadharani kupitia Runinga zote. Usaili wa kumpata Inspector General wa police hufanywa mubashara ndani ya bunge Tanzania tunafeli wapi?
  9. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania JIKUMBUSHE (VIDEO): Tundu Lissu akisambaratisha hoja za watetezi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar usio na ridhaa ya wananchi

    Anaanza kwa kukaribishwa na "Hangaya" kwa sauti nyororo ya Kizanzibari... Lakini all in all, nasema..; Huyu jamaa ni mtukutu sana. Anapiga nyundo sadistically kiasi cha kukera sana...! Lakini ndo hivyo tena. Ukweli uliofichwa kwa nia ovu, ukifichuliwa na kuwekwa wazi, huwaudhi waliokuwa...
  10. Patriot

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya Muhimu, Mawaziri na Makatibu wakuu ni wadhaifu

    Muundo wa serikali yetu, rais analazimika kuteua mawaziri kutoka ktk wabunge. Akikosa mtu anayefaa, rais amepewa nafasi za kuteua wabunge. Utaratibu huo unampa rais nafasi ya kuteua mbunge ili amtumie ktk nafasi ya uwaziri. Ubunge wa kuteua umekuwa ni kama sadaka na zawadi tu. Katika uteuzi wa...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika ya Kati amfuta kazi Jaji Mkuu aliyekataa kubadili Katiba kuruhusu agombee muhula wa 3

    Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amemfuta kazi Jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba, Danielle Darlan, na kumuwekea "kizuizi cha kudumu". Agizo la Faustin Archange Touadera linakuja baada ya jaji huyo mwenye umri wa miaka 70 mwezi uliopita kutupilia mbali ombi la chama tawala la kufanyia marekebisho...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tunataka Katiba ya kutuondoa utumwani ili tuanze maisha mapya ya uhuru

    Kazi ya kuandika katiba inapaswa kupewa umuhimu wa juu kwani ni tendo takatifu linalotupeleka kwenye maisha mapya ya uhuru wetu. Taifa letu bado liko katika mfumo wa kikoloni lakini mkoloni wa sasa ni mweusi sio kama wale weupe wa zamani. Viongozi wa kwanza wa taifa letu ndio waliamua...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kikosi Kazi kiliundwa ili kuchelewesha mchakato wa Katiba Mpya

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameitaka Serikali kuweka wazi gharama ambazo kikosi kazi kimetumia huku akisema hakukuwa na haja ya kuundwa kwa kikosi hicho kwa sababu kazi ya kutafuta maoni ya wananchi ilifanywa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba. Mnyika...
  14. A HUMBLE LEADER

    JamiiForums Tanzania Walimu wamelipokea tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini, LAKINI wanataka Katiba mpya Ili apatikane kiongozi atakayetatua Matatizo yao sugu

    Wakuu Tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini KWA walimu wamelipokea,LAKINI changamoto ZAO ni nyingi Sana na serikali imeshindwa kuzitatua,wanadai Katiba mpya Ili achaguliwe kiongozi atakae tatua Matatizo yao,huyu aliepo ameshindwa kabisa! Wanajua urejeo wa Kairuki Tamisemi ni kuspin maslahi yao...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hivi Zitto yupo? Na Mbowe alipotoka jela alirudishwa tena? Angekuwa huru sasa hivi angedai Katiba na Mikutano

    Zitto ni muda nadhani hayupo sayari hii. Atakuwa sehemu analamba tu Asali. Asikwambie mtu. Nampenda Rais Samia. Hatumii nguvu kuwanyamazisha wanasiasa. Magufuli alikuwa Mjeuri na mbishi. Acha alale huko aliko. Ashakum si matusi. Wanasiasa wanapigania kupata "Kula" wakipata kula zao tu basi...
  16. MANKA MUSA

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

    Akiwa kwenye mahojiano na kipindi maalum cha Clouds leo aliyekuwa Rais wa awamu ya Nne Jakaya Kikwete amesema kuwa mchakato uliokuwa mgumu zaidi kwake ni kuzuia uhuni wa kubadili muhula wa uongozi ndani ya CCM kutoka miaka mitano kuwa saba. Jakaya anasema mjadala ulipoletwa ulikuwa ni moto ila...
  17. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Haki ya usawa wa kikatiba

    HAKI YA USAWA WA KIKATIBA. Ibara ya 12 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema binadamu wote ni sawa na kiila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake. Kila mtu anayo haki ya kupata heshima na thamani inayostahili utu wake. Ibara ya 13 inasema watu wote ni...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Katiba inasemaje kuhusu kuongozwa na Mabalozi wa CCM nchi nzima?

    Habari za kazi ndugu wadau. Napenda kuuliza hivi Katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu wajumbe wa nyumba kumi au mabalozi. Maana wanateuliwa na CCM kuongoza wananchii. Balozi CCM, Mwenyekiti CCM, diwani CCM, mbunge CCM mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, wote CCM, mtendaji kata CCM, Katibu tarafa CCM...
  19. J

    JamiiForums Tanzania CCM na NCCR ndio Katiba zao zimeweka ukomo wa miaka 10 Mwenyekiti wa taifa kukaa madarakani. Vingine Mwenyekiti ni wa Maisha!

    Nccr Mageuzi wamependezwa na ubora wa Katiba ya CCM kuhusu ukomo wa muda wa Mwenyekiti wa taifa kukaa madarakani wa miaka 10 Hivyo mkutano mkuu wa Nccr nao umefanya mabadiliko ya Katiba yake na kuweka ukomo wa Mwenyekiti kukaa madarakani Source: Selasini
  20. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katiba ya kenya ina 'checks and balance', IGP anakuwa vetted na Bunge

    Dah yaani Rais anateua IGP ila inabidi akathibitishwe na bunge na kumbuka siyo bunge la kina msukuma, huko kuna upinzani wa ODM. Pamoja na matatizo baadhi waliyonayo hawa watu wametuacha mbali sana kiakili na kini thabiti, kilichobaki huku kwetu ni comedy, unafiki na propaganda za kiduwanzi...
Back
Top Bottom