katiba

  1. Valencia_UPV

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya hiyo Katiba yenu hamuiwezi

    1. Mmetoa Uhuru kupitiliza, kwa watu wapenda RUSHWA 2. Mmejaza nafasi nyingi Sana za Uongozi (kwa kuchaguliwa na kuteuliwa-@county-Governor, Deputy Governor, senator, women rep, several MPs&MCAs), 3. Taasisi lukuki, IEBC, EACC, Cohesion and nn sijui, Land Commission, senate, National Assembly...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye Katiba ya Kenya tafadhali

    Uchaguzi wa kenya matokeo yameanza utata mkubwa mitandaoni. Mwenye Katiba ya Kenya tunaomba tafadhali Ili wengine tutafute suluhu kwenye hiyo Katiba.
  3. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni mradi wa wanasiasa

    Ndio si unajua !! Wanasiasa ndio haswaa!! Wenye mradi wao. Waite wakulima ikulu ,kamwe hawatazungumzia Katiba mpya. Unajua KwaninI hii tu iliyopo imefanya maajabu nchi imepiga hatua kubwa sana kimaendeleo. Waite wavuvi na machinga ikulu waulize mnataka nini, kamwe hawatazungumzia Katiba mpya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025: Tume huru ni muhimu kuliko Katiba mpya?. (Katika mtazamo wangu)

    Utawala bora unajengwa kwa kuwa na katiba imara na madhubuti, inayoendana na wakati. Katiba yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, ni miongoni mwa katiba kongwe ambayo pasi na shaka yako mambo kadha wa kadha yanayohitaji mabadiliko ya haraka sana. Hili linajidhihirisha kupitia mapendekezo...
  5. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Inatisha! Tazama jicho la mtawala na mtawaliwa ndani ya Katiba Mpya

    Hakuna maisha kamili pasi na sheria za kuyaongoza, sheria za Mungu waamini tunamini kuwa zimekamilika lakini nijiulize mimi na wewe je sheria wanazoandaa wanaadamu zitakuwa na ukamilifu milelee? Naomba utunze swali hilo utanijibu wakati ukifika. Hayati Rais Julius Kambarage Nyerere akihutubia...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Tunduma Frank Mwakajoka akizungumzia mchakato wa katiba mpya

    July 2022 Songwe, Tunduma MBUNGE WA WANANCHI WA TUNDUMA MHE FRANK MWAKAJOKA AKIZUNGUMZIA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Tunisia: Katiba Mpya yapitishwa kwa asilimia 96.4

    Rasimu ya Katiba Mpya inayomuongezea madaraka Rais Kais Saied imeungwa mkono kwa asilimia 94.6% ya waliopiga kura huku, Wapinzani ambao walisusa kupiga kura wameshutumu Tume ya Uchaguzi nchini humo kwa udanganyifu na kusema hawatatambua Katiba hiyo - Katiba hiyo inadaiwa kumpa Rais mamlaka...
  8. Dr Count Capone

    JamiiForums Tanzania Wananchi Tunisia washerehekea katiba mpya

    Masaa kadhaa yaliyopita Wananchi wamejitokeza mitaank kusherekea kupatikana kwa katiba mpya nchini Tunisia. Katiba hiyo imepatikana baada ya ile ya zamani kuondolewa na Rais wa sasa Mhe. Kais Saeid hali iliyomfanya kuendesha nchi kwa amri yake kwa muda wa mwaka mmoja. Wakosoaji wanaeleza kuwa...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Ushauri- Raisi Samia usiogope tangaza kura ya maoni tupate katiba mpya, kisha uchaguzi wa 2025 ukishinda utaleta mapinduzi ya kiuchumi

    Miezi nane ijayo Raisi Samia atakuwa madarakani kwa mwaka wa pili tangu amrithi hayati John Magufuli na hadi sasa atakuwa amejifunza mengi na sasa unaonyesha kusimama ingawa bado, kuna figisu za hapa na pale. Kuongoza nchi ni kazi ngumu ambayo pia yahitaji maamuzi magumu pale unopoona pahitaji...
  10. nyehura

    JamiiForums Tanzania Manara amtaka Waziri Mchengerwa asimamie haki ya kiapo chake cha Katiba

    Msemaji wa Yanga Haji Manara ameongea na waandishi wa habari kuelezea sakata lake la kufungiwa kujihusisha na masuala ya michezo ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka 2 pamoja na faini ya shilingi milioni 20. Manara amemtaka Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa kwenda...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Bila U-Sri Lanka ama kuchapana kamwe Katiba Mpya iliyo bora haitapatikana

    Katiba bora ni ile inayotoa fursa sawa kwa vyama vya siasa na raia wake kwa ujumla na yenye kumuwajibisha kila anayeikiuka. Hapa nchini kuna vuguvugu la kutaka kuandikwa kwa katiba mpya. Lakini katiba itakayoandikwa kwa mazingira na mwenendo tulionao sasa itakuwa siyo bora. Itakuwa siyo bora...
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hatukuwahi kuwa na mchakato wa Katiba. Kikosi kazi cha nini sasa?

    Kama kuliundwa mpaka Bunge la Katiba na "Katiba pendekezwa" ikatolewa, leo Kikosi kazi kilichoundwa kinafanya kazi gani tena? CCM inajua sana kufuja fedha za Watanzania.
  13. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais (ikiwa Katiba itakuwa hivi hivi) nitavunja Muungano

    Katiba yetu inampa nguvu kubwa sana Mh Rais, kiasi kwamba watu wengine hujikuta wanamuunga mkono kwa hofu ya kuharibiwa maisha. Mimi nikipata hii nafasi ntatumia hiyo nguvu kuvunja muungano kwa tamko moja tu. Nitaitambua nchi inayoitwa Tanzania, na nchi yangu itakuwa na mikoa bara na visiwani...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Andrew Chenge afika kwenye Kamati ya Katiba, awataka Wajumbe warudi kwenye Rasimu ya Warioba

    Mzee Chenge , mtu anayeaminika kuwa miongoni mwa wanaccm wachache wenye busara , leo amefika kwenye Kamati ya Rais ya kuratibu maoni ya Katiba mpya na kueleza yaliyo moyoni mwake . Chenge ambaye pia ni Mwanasheria wa Zamani wa Serikali ya Tanzania hakumung'unya maneno , amewataka wajumbe wa...
  15. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Nakupongeza sana Maulid Kitenge kwa kumjibu Shaka Hamdu Shaka kuhusu Katiba

    Watanzania, Binafsi nampongeza Sana Ndugu yangu Maulidi kitenge kwa nondo zilizoshiba za kumjibu Shaka Hamdu shaka kuhusu Katiba Mpya na ushirikishwaji wake KWA wananchi! Kitenge amemjibu shaka KWA kusema"wananchi wote walishashirikishwa swala la katiba mpya tena makundi yote kuanzia MAMA...
  16. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu muhimu zaidi kuliko Katiba, kubali au kataa

    Bado nawashangaa sana watu waliokuwa wanaibeza Royal Tour na kusema kwamba Rais Samia Suluhu anapoteza muda bora katiba. Mimi nafikiri sasa watanzania tunapaswa kutambua kuna vitu vya muhimu zaidi kuliko katiba, hivi royal tour ingefanyika saa ngapi kama mama angeanza na katiba? Hivi mnahisi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kauli za jeuri na dharau za viongozi wetu kwa wananchi ni matokeo ya Katiba yetu mbovu

    Katiba bora huwafanya viongozi kutimiza wajibb wao ipasavuo na kuwaheshimu wananchi ambao ndiyo wenye nchi. Hivi unadhani katiba yetu ingekuwa bora, Samia angetoa hoja dhaifu kuwajibu wananchi wanaokosoa wingi wa safari zake za nje? Anafanya hivyo kwasabb katiba mbovu imempa nyenzo na mamlaka...
  18. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya haiwezi kupatikana kabla ya 2025 na CHADEMA haitosusia Uchaguzi Mkuu

    Niliwahi kusema hapa vyama vyama vyote vya siasa vimetokana na CCM. Ni kama vile madhehebu mengine ya dini ya kikristo yalivyomeguka kutoka Katoliki. CCM ni chama kikubwa sana barani Afrika, hivyo hakuna chama hata kimoja Tanzania kinaweza kukitingisha. CCM ni kweli wamesema kwamba wanategemea...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe msimamo na kura ya Othman Masoud Othman ktk Bunge Maalum la Katiba

    ..msimamo wa Othman Masoud ulianzia ndani ya kamati ya uandishi ktk bunge la katiba. ..Othman Masoud anadai alikataa kuburuzwa na Andrew Chenge hivyo akaamua kutokuendelea kuwa ktk kamati hiyo. ..Kwa hiyo Othman Masoud alikuja kutokea bungeni siku ya kupiga kura kama mnavyomshuhudia hapo chini.
  20. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Katiba Mpya sio Agenda mpya kwa CCM, Wenye Agenda ya katiba mpya ni CCM

    Katibu wa halmashauri kuu ya Nec Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amesema, " Agenda ya katiba mpya sio ngeni ndani ya CCM, na wakati wote ni CCM ndio imeratibu maswala yote, " Aidha kiongozi huyo wa juu kabisa wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania amewataka Watanzania kufahamu kuwa CCM ni...
Back
Top Bottom