HAKI YA USAWA WA KIKATIBA.
Ibara ya 12 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema binadamu wote ni sawa na kiila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake.
Kila mtu anayo haki ya kupata heshima na thamani inayostahili utu wake.
Ibara ya 13 inasema watu wote ni...
Habari za kazi ndugu wadau. Napenda kuuliza hivi Katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu wajumbe wa nyumba kumi au mabalozi.
Maana wanateuliwa na CCM kuongoza wananchii. Balozi CCM, Mwenyekiti CCM, diwani CCM, mbunge CCM mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, wote CCM, mtendaji kata CCM, Katibu tarafa CCM...
Nccr Mageuzi wamependezwa na ubora wa Katiba ya CCM kuhusu ukomo wa muda wa Mwenyekiti wa taifa kukaa madarakani wa miaka 10
Hivyo mkutano mkuu wa Nccr nao umefanya mabadiliko ya Katiba yake na kuweka ukomo wa Mwenyekiti kukaa madarakani
Source: Selasini
Dah yaani Rais anateua IGP ila inabidi akathibitishwe na bunge na kumbuka siyo bunge la kina msukuma, huko kuna upinzani wa ODM.
Pamoja na matatizo baadhi waliyonayo hawa watu wametuacha mbali sana kiakili na kini thabiti, kilichobaki huku kwetu ni comedy, unafiki na propaganda za kiduwanzi...
Kumbe Ruto pamoja na kujishasha kwake na hatma ya majaji wale 6 mbele ya wageni wasiohusika, kingali kimeumana?
Kwa hakika ndiyo maana watawala wetu wakisikia katiba mpya:
"Huwa hawaishiwi ndoto mbaya mbaya usiku wakikimbizwa na kupigiwa kelele za wezi,,, wauawaji ... zisizokoma."
Hawa 6 kwa...
Rais mpya wa Kenya amesema nchi yake inakimbiliwa na wawekezji kwasababu kuna demokrasia na hivyo mustakabali wake unatabirika.
Uchaguzi uliyopita umeithubitishia dunia kwamba Kenya Ina misingi imara ya kidemokrasia na hivyo haitayumbishwa na yeyote.
Hapa Tanzania kwa katiba ya sasa ambayo...
Rais Samia Suluhu alisema atashughulikia suala la Katiba Mpya na kuna watu wengine wanahoji kwanini mchakato wa Katiba Mpya unachelewa.
Sababu za kuchelewesha Katiba Mpya Rais Samia Suluhu anataka kila mwananchi ashiriki kikamilifu katika mchakato wa kuleta Katiba mpya kwasababu Katiba ni ya...
Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Balozi Marten Lumbanga amesema mabadiliko ya Katiba hayakwepeki, huku akiwataka viongozi wa Serikali na CCM kutopuuza madai hayo.
Balozi Lumbanga aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi wakati wa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi na baadaye Rais mstaafu Benjamin Mkapa kabla...
Haki za binadamu zikiwamo za kuishi, usalama, kulindwa, kujilinda, kusikilizwa n.k, si hisani. Anasema beberu: "Human rights aren't negotiable."
Hizo haziombwi. Zaidi sana anasema beberu: "Human rights are enforceable."
Tunataka Katiba Mpya. Ni haki yetu. Haki hupiganiwa.
Hatuwezi kuwa...
Kupata katiba mpya ni shughuli pevu dhidi ya walamba asali, vibaraka na chawa wao. Vipi kuwatemesha matonge midomoni?
Katiba mpya haitakuja kwa maneno Matupu mezani au mitandaoni.
Katiba mpya itakuja kwa mapambano yaliyoratibiwa vyema chini ya mikakati thabiti.
Kuganga yaliyopo na yajayo...
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayotumika kwa sasa ni ya demokrasia ya Chama kimoja.
Amesema hali hiyo imechangia kuwa na demokrasia dumavu ambayo inapelekea kuchelewa kwa maendeleo, ambapo amedai kuwa kuna uhusiano wa...
Leo Trump anachunguzwa na Serikali ya Marekani kwa wizi wa siri nzito za serikali. Siri hizo Trump anazifahamu kwa vile alihusika nazo, lakini kitendo cha kuziiba(kwa maana ya kuondoka na nyaraka za serikali kijinai) , Trump inawezekan akashitakiwa mahakamani.
Nchi yetu Tanzania vivyo. Katika...
Habari wana JF
Nimewaza sana nikagundua CCM kuwepo madarakani ni tatizo kubwa kuliko hata hii katika tunayo hitaji. Hivi kwa hii CCM tunaweza pata Tume huru ya Uchaguzi?
Sasa tunayo katiba lakini tumeshuhudia mara kadhaa ikivunjwa na Kwa mizizi kiliyo nayo hiki Chama mnadhani ni rahisi Katiba...
Nawashukuru sana
Ile Tanzania nilioiota KWA muda mrefu inaenda kutimia,kuanza KWA mchakato wa katiba mpya ni Nuru KUBWA kwetu!changamoto za kimfumo zinaenda kufa na Tanzania Mpya inaenda zaliwa rasmi!
Niwaombe wadau wawape ushirikiano wa kutosha kikosi kazi cha mkandala Ili mchakato ukamilike...
Jakaya Kikwete alikuwa kiongozi wa waangalizi, kwa upande huu wa Afrika Mashariki, Katika uchaguzi mkuu, uliomazika hivi Katibuni nchini Kenya.
Tulimsikia pia Rais huyo mstaafu, akiwasihi viongozi wawili wakuu, waliochuana vikali Katika uchaguzi huo, William Ruto na Raila Odinga, waliokabana...
Mamlaka za Serikali za Mitaa zinatenga 10% ya mapato yakekwajili ya kutoa mikopo isiyo na riba kwa vikundi vya wajasiliamali vijana, wanawake na watu wenye ulemavu nchinzima. Sheria inayosimamia mikopo hii inatoa mwongozo kwa watendaji husika kuhusu kusimamia upatikanaji wa fedha kwaajili ya...
Waziri wa TAMISEMI ndugu Inocent Bashungwa, tumezisikia blah blah zako kuhusu walimu na matatizo yao ambayo ni sugu tangu Uhuru.
Walimu ndio waasisi wa Taifa hili lakini serikali ya CCM ndio imewanyonga sana na kuifanya jamii iwatukane na kuwaaibisha hadi imefikia hatua hakuna mtoto anaetamani...
Chile imepiga kura ili kupitisha au kukataa KatibaMpya iliyopendekezwa, ambayo Rais Gabriel Boric alisema ingeleta enzi mpya ya Kimaendeleo Nchini humo.
Kwa asilimia 99 ya kura za maoni, Kambi ya Upinzani ilipata ushindi wa asilimia 61.9 ikilinganishwa na asilimia 38.1 ya waliounga mkono Katiba...
UTANGULIZI
Maisha ya mwanadamu yamejikita katika ngazi mbalimbali za kijamii kulingana na muundo au mfumo ambao jamii husika hujiwekea. Ukubwa wa jamii zetu huanzia chini kabisa na hatimae kupanda juu kutoka ngazi moja had Ngazi nyingine. Ngazi hizi ni kama vile, familia, ukoo, kabila, taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.