katiba

  1. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania CCM yetu kipaumbele ni miradi mikubwa ya maendeleo, Katiba mpya baadae sana

    Wana Jf, salaam! Nianze kwa kukipongeza CCM kwa upendo wake kwa Watanzania lakini pia nikipongeze CDM kwa namna inavyokubali kazi inayofanywa na CCM. Wengi wetu kipaumbele ni Serikali kuongeza kasi ya kutekeleza miradi ya maendeleo nchini. Suala la Katiba mpya lifuate hapo mbeleni hasa miaka...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Lissu: Mazungumzo na Rais yataendelea, lakini Katiba Mpya italetwa na pressure ya wananchi

    Lissu amesisitiza wananchi waweke shinikizo kudai Katiba Mpya. Kwamba Mbowe ataheshimiwa ktk meza ya maridhiano kama itaonekana anaungwa mkono na umma wa Watanzania. https://m.youtube.com/results?sp=mAEA&search_query=Lissu%2C+Mbowe%2C+Heche
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Webmaster wekeni katiba mpya tuanze kuijadili

    Haya ni mawazo yangu wengi wetu hatuna nakala ya katiba ya sasa. Ili tupate katiba mpya wekeni hapa katiba ya sasa tuweze kujadili mazuri, mabaya na mapendekezo. Najua topic inasema katiba mpya lakini ni katiba ya sasa ili tuweze kujadili katiba mpya
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi ni Haki ya Msingi ya Binadamu

    Siku ya Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi (Data Privacy Day) inaadhimishwa kila Januari 28 Haki ya Faragha inawezesha Raia kufurahia Haki nyingine kama: - Uhuru wa Mawazo - Uhuru wa Kujieleza - Uhuru wa Kukusanyika Ni Msingi wa Jamii ya Kidemokrasia Katika Nchi nyingi, Faragha...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Bila Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, hakuna Uchaguzi Mkuu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesisitiza bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi basi hakutakuwepo na uchaguzi mkuu nchini. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini Musoma leo Jumapili, Januari 22, 2023, Naibu katibu mkuu wa Chadema bara, Benson Kigaila amesema msimamo huo...
  6. winnerian

    JamiiForums Tanzania Mamlaka na nguvu ya Rais iendelee kubaki kama ilivyo kwenye Katiba

    Kamwe mtu ambaye hana nguvu wala mamlaka hawezi kufanya maamuzi sahihi na yenye tija kwa wale anaowaongoza. Pia kinga ya Rais ibaki kama ilivyosasa kumtoa wasiwasi wa kufanya maamuzi na kutoa amri. Unapokuwa na wasiwasi pamoja na uoga wa kukosea huwezi kufanya kazi kwa ufanisi na uhuru. Kitu...
  7. Maya Goodlett

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya Inaitwaje kwa KABILA LAKO

    HAPA KAZI TU NA KAZI IENDELEE HATUTAKI KUFA TUTAMPATAJE!? MCHEZO TUNAUPENDA LAANA ZA KUJIAJIRI WAPO 2 KAMA MILIONI 677... TUTAMPATAJE TUMUANDAE (Katiba Mpya Inaitwaje kwa KABILA LAKO MAANA LABDA IPO SIKU WATU WAKO NDIO WANATAKIWA WAELEWE) Waakie Waakiek Waalagwa (pia: Wasi) Waarusha Waassa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Kuelekea Jan 25 tunayo ya kujifunza kutokea Gambia

    Harakati za mapambano ya kujikomboa hazijawahi kuwa rahisi. Harakati hizi zinahitaji uongozi mahiri wenye kuweka maslahi ya taifa mbele dhidi ya maslahi yote binafsi. Ujio wa Mh. Tundu Lissu Jan 25 unapaswa kuonekana nI mbaraka kamili kutokea kwa Mola na kwa hakika na aje na wenzake. Mama...
  9. Fukua

    JamiiForums Tanzania Rais Samia endelelea kuwatumikia Watanzania kwa uaminifu, pia Katiba Mpya ni muhimu sana

    Watanzania wenzangu habarini. Mama Samia shikamoo, pia nakusalimu Kwa jina la JMT. Mama, Umeruhusu mikutano ya hadhara kuendelea ni jambo kubwa.Unaendelea kuwafariji watanzania Kwa Kila jambo mfano mafuriko mbeya ni jambo jema. Umeruhusu ukosoaji, uhuru wa vyombo vya habari ni jambo jema...
  10. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmelewa kahawa na kashata za Ikulu mpaka wimbo wenu wa Katiba Mpya mmeacha kuuimba

    Kuna mwanafalsa mmoja wa kiingereza aliwahi kusema "To be or not to be that is question" hivi ndivyo ambavyo wanachadema tunaposhindwa au ndivyo tunavyoweweseka kuimba Ile nyimbo yetu Pendwa ya katiba mpya kwa sababu tunaona aibu kuendelea kuimba kuhusu katiba mpya baada ya kulewa kashata na...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Katiba Mpya tutapata?

    Kizazi hiki wanazaliwa vijana wengi hawana akili.. yaani mtu unamkuta mzito wa akili anawaza mademu, kujichua, kubet, kushabikia. Vijana wengi wame opt ushoga, hawajagangamaa kama sisi miaka yetu, wamelegea sana. Yaani inasikitisha wanapita wanalamba lips na kubinua makalio. Vijana wameopt kuwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Urais unachosha, ila ni mzuri. Rais Samia akituachia katiba mpya akastaafu 2025 itampa heshima yeye na kizazi chake kuliko kutuachia katiba baada 2025

    Nitaeleza Kwa kifupi faida za Mhe. Rais kutuachia katiba awamu yake ya Kwanza then akastaafu Kwa heshimu 1. Tayari amaeshakuwa Rais na hakuna Jambo jipya analoweza kulipata kwenye urais hata aliongoza miaka Mia. 2. Endapo ataamua kuingia kwenye uchaguzi 2025 Ndipo mchakato wa katiba uanze...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, TISS ya Diwani haikuwa na mawaa; ni moja kati ya waliopambana na timu ya jiwe iheshimu katiba. Kongole kwake!

    TISS ya Diwani Athumani ndio walau ilitulia, kutekana kukaisha, mambo ya hovyo hovyo yakapungua, hata Jiwe naye akapunguza machachari. Tofauti na Ile ya kipilimba na wenzake walioshughulika kwelikweli na akina Mdude na wengine. Ni TISS ya Diwani Athumani, pamoja na taasisi nyingine...
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ataacha Katiba Mpya basi itatupatia picha kuwa uongozi ni akili na siyo nguvu

    Yaani huyu Mama naona anaenda kuwa Rais was pili ukimtoa Baba wa Taifa, maana Kama atatupatia katiba Mpya Basi Legacy yake itakuwa kubwa Sana. Nilichogundua Uongozi ni akili. Legacy sio kujenga barabarani mbovu zenye mashimo na ujanja ujanja. Mama akiacha katiba Basi peponi moja kwa moja.
  15. comte

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katukumbusha kuwa Katiba Mpya ni dhana tu na mkachakato unapaswa kuwahusisha Watanzania wote

    Hivi tumemsikia Mama na kumwelewa kuhusu Katiba Mpya? Neno "KATIBA MPYA" Ni dhana tu, ni neno la kudanganyia watu kujipatia POLITICAL POPULARITY, hakuna jipya tunatakiwa kubadilika kulingana na wakati na ndiyo nasema; Mimi nimemsoma mama mambo matatu (Na ngoja niandike kwa herufi kubwa...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Dhamira njema ya Katiba Mpya ni kuwa na jopo jipya lisilohusisha Wabunge waliopo

    Salaaam! Kuhusu kuundwa katiba mpya serikali haina budi kutenda haki juu ya muundo wa jopo au kamati au bunge ambalo halitahusisha mbunge yeyote na wa chama chochote, katiba iundwe na wasiofungamana na siasa za uwakilishi wa kibunge na Baraza la wawakilishi. Ni matumaini yetu ya kwamba...
  17. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania MWAKA 2023: Mwaka wa Tafakuri na Katiba Mpya - 3

    Hali ngumu ya maisha inayosababishwa na mfumuko wa bei za bidhaa masokoni,wazo la katiba mpya litatawa mwaka 2023 nguvu kutoka kwa wananchi,trade unions,NGO'S,wataalamu wa elimu ya siasa na uraia na vyama vya upinzani bila kusahau Media za Tanzania.Tunaweza ku-adopt mapendekezo...
  18. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania MWAKA 2023: Mwaka wa Tafakuri na Katika Mpya - 2

    Mwalimu Julius Nyerere alisema kuwa mpinzani wa kweli ni lazima atokee ndani ya CCM, Je maono ya Mwalimu yalimlenga Hayati Rais John Pombe Magufuli, kwa namna anavyochukuliwa sasa hivi ndani ya CCM,ni kama alikuwa mpinzani ndani ya CCM. Au je kauli ya Mwalimu ilimlenga Ndugu Edward Lowassa baada...
  19. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania MWAKA 2023: Mwaka wa Tafakuri na Katiba Mpya - 1

    Mwaka 2023 ukawe mwaka wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya, Ukawe mwaka wa utekelezaji wa mapendekezo ya kikosi kazi cha Rais kuhusu Demokrasia nchini. Heri ya mwaka mpya Watanzania, hongereni sana kwa kufika mwaka 2023 pamoja na changamoto zote za Nchi yetu, vikiwemo maji, umeme kukatika...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni watu wa maneno maneno, kupiga kelele na kulialia tuu, Tukija kwenye Vitendo ni sifuri, 0, zero, nil, hamna kitu!. Je Tutabadilika?

    Wanabodi, Leo 30/12/2022 tunapoanza safari ya kuuaga mwaka 2022 hapo kesho na keshokutwa kuukaribisha mwaka mpya wa 2023 hivyo naomba nianze makala yangu hii ya "Kwa Maslahi ya Taifa" kwa kusema "kwaheri 2022, na Karibu 2023, kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya 2023 in advance, kwa rai moja tuu...
Back
Top Bottom